SIASA: Jeshi la Polisi jijini Dar es Salaam limetoa kibali kwa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kufanya Maandamano yaliyotangazwa kufanyika Januari 24, 2024 katika baadhi ya Mitaa ya Jiji la Dar
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Mkuu wa Polisi Wilaya ya Kipolisi Kariakoo, Jeshi la...
Waziri mkuu wa zamani wa Israel, Ehud Baraka amemwambia waziri mkuu wa sasa,Bejamin Netanyahu kuwa kwa jina la Mungu aondoke madarakani.
Ehud Barak amesema kwa kuendelea kuwepo madarakani kwa Benjamin Netanyahu basi Israel itaendelea kuzama kwenye tope la Gaza. Akahimiza wakati wa kuondoka ni...
Armed Conflict Location & Event Data Project (ACLED) provides that while a majority of the events analysed did not feature contestation by competing sides, roughly 7 per cent involved some sort of interaction. The police or military were deployed in 5 per cent of events, a substantial number at...
Ndugu zangu habari za leo.
Imefahamika hivi sasa kila anayetetea haki na amani ndani ya Nchi hii anaonekana kwenye jamii kama vile ni Mwana chadema.
Hii inatokana na Chama hicho kuwa na misingi ya kuunganisha watu wote wenye mapenzi mema na Nchi hii.
Misingi hiyo imejengwa kwenye Haki...
Huku kukiwa Tayari kumetolewa ratiba kamili ya maandamano ya Chadema na Wananchi , ili kupeleka ujumbe duniani wa kushinikiza kuondolewa kwa miswada mibovu ya Sheria za Uchaguzi bungeni , Tayari lundo la Wadau wameunga Mkono jambo hilo wakiwemo Waandishi wa habari
Hesabu ya leo inaonyesha...
Salaam, Shalom!!
Ndugu Chalamila, uliwahi Kutoa kauli kuhusu kuhamasisha maandamano na kuandika mabango Ukiwa RC Mwanza.
Ulisema, ni Ruksa kubeba mabango yenye jumbe mbalimbali.
Ni muhimu ukawapa ushirikiano CHADEMA maana Dar Ina wapiga kura pia ambao wangependa kushuhudia na kushiriki...
Kwa kipindi kirefu sasa sera ya mambo ya China imekuwa ni sera inayozingatia kanuni ya kujiamini na kujitegemea, uwazi na ushirikishwaji, haki na ushirikiano, na kutafuta njia za pamoja za kutatua changamoto mbalimbali duniani. Sera hii imekuwa endelevu, na msingi wake umekuwa imara, lakini huwa...
Wakuu habari za uzima?
Leo nilienda msibani kwa rafiki, mdogo wangu na jirani yangu wa muda kidogo.
Rafiki yangu huyu amefariki taarifa zikiwa zimeletwa Leo alfajiri saa kumi.
Kifo cha mdogo wangu huyu kimeniumiza sana, amezaliwa mwaka 2003 na alikuwa amemaliza UDSM mwaka jana na baada ya...
Waziri Mhagama Awaomba Wananchi Kuendelea Kulinda Amani na Mshikamano wa Kitaifa
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge na Uratibu Mhe. Jenista Mhagama ametoa rai kwa wananchi kuendelea kuzilinda tunu za umoja wa kitaifa za utulivu, amani na ushirikiano...
Ujumbe wa Umoja wa Mataifa (UN) wa kulinda amani katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) ambao umesaidia katika vita dhidi ya Waasi kwa zaidi ya miaka 20, unatarajiwa kuondoka rasmi Nchini humo ifikapo Disemba 2024.
"Baada ya miaka 25 ya kuwepo, MONUSCO itaondoka kabla ya mwisho wa 2024,"...
Yaan best final ever ya mlandege
Mwingine akamjibu zile dk mlizokuwa mkiongezewa kwa wenzenu leo wamezipunguza muwe wapole...Tuliwasubiria final
Shirikisho la znz lina akili sanaa baada ya kuona mlandege in...
Singida akiingia anabeba kombe refa akapewa majukumu fanya ufanyalo hili boya...
Leo saa 2:15 usiku ni Singida Fountain Gate dhidi ya Simba SC katika mtanange wa nusu fainali ya Kombe la Mapinduzi itakayopigwa leo 10.01.2024.
Tayari timu ya Mlandege kutokea Zanzibar imeshatangulia fainali.
Je, unaipa nafasi timu gani kuifata Mlandege?
Kikosi cha Simba kinachoanza
Kikosi...
Mwishoni mwa mwaka 2023 ambayo ilikuwa Disema 27, rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Hussein Ali Mwinyi alifanya sherehe kubwa katika uwanja wa Amani, ikiwa ni moja ya mafanikio yake mengi makubwa tangu aingie madarakani mwaka 2020.
Sherehe hiyo ambayo ilikuwa ni mahsusi...
Hivi karibuni serikali ya Marekani ilitangaza bajeti ya matumizi ya kijeshi kwa mwaka 2024 ya dola bilioni 886 za kimarekani, na kuongezeka kwa karibu dola bilioni 30 ikilinganishwa na mwaka jana, na kuvunja rekodi ya historia tena.
Katika miaka ya hivi karibuni, ili kudumisha umwamba wake...
Heri ya mwaka mpya!
Mwaka unaanza kwa wababe wa dunia kutunishiana misuli pale red sea huku russia akishambuliwa belgorod na huku mitambo ya Urusi ndani ya Syria ikitungua makombora ya Israel na wakati huo huo wairan wamepeleka destroyer red sea hapohapo wamarekani wameshambulia speed boat ya...
Tazama kwanza Mama huyu akipelekwa kwenda kutumikia kifungo Cha miaka 22 kwa kosa la kukutwa na vipande 12 vya nyama ya swala miezi miwili iliyopita.
NB- tuzingatie na kutafakari pia wawindaji waliomuua mamba wamepigwa marufuku kufanya uwindaji nchini kwao.
Sasa twende kwenye tukio lilisambaa...
Tanganyika ni kubwa mara elfu kwao, lakini pale Amani leo tumekwama.
Je, hawa jamaa wakiwa na uhuru wa kiuchumi, kisiasa na kijamii tutawakamata kweli?
Nadhani ndio maana tunaogopa kuwaachia waende, watatutawala kama walivyotawala Dsm kibiashara.
1. Alikiri beberu mwenye vita vyake, uwepo wa mazungumzo makini kuelekea vita kusita na wafungwa kubadilishwa:
2. HaIna shaka kuwa #1 ni pamoja na mbinyo kutokea nyumbani:
3. Ni wajinga peke yao wenye kuiona faida ya vita ambayo matokeo yake ni vifo zaidi:
4. HAMAS na mwenzake Islamic...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.