Waleta Fujo na Wavuruga Amani Wajikuta Kwenye Mtego Mkali

Ertugrul Bey

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2020
Posts
14,705
Reaction score
30,041
file_0000000055ec71fd87ea5b2484893222.png

My people,​

Hawa watu wasio itakia meme nchi yetu wanajikuta katika mtego ufuatao

Kwanza wakiandamana kuna uwezekano wa kuingia mwaka 2026 wakiwa selo au hospitalini wakijiuguza,kwahiyo watakuwa wamejichagulia wenyewe wauanze vipi mwaka

Na wasipoandamana basi ndio itakuwa mwisho wa mikakati yao hiyo,kwani watapuuzwa na kudharauliwa kabisa,kwa maana hakuna mtu atakaye waapa kipaumbele tena

Ikumbukwe vile vile kuna wafanya fujo na waharibu amani ya nchi hii wanafaili lao huko korokoroni walipo sekwa kwa mara ya mwisho,hawa wakikutwa tena wanaleta vurugu na fujo kwa mara pili,wataonekana ndio vinara wa machafuko na mwisho wao utakuwa mbaya

Kwahiyo kwa kifupi hawa wafanya fujo na waleta vurugu wa nchi hii wamejikuta kwenye mode ya ukisimama nchale na ukikaa nchale

Kwa upande mwingine tofauti na siku za nyuma ambazo tumezoea kuwaona wana usalama mapema mabarabarani na kwenye vituo vya mwendo kasi,hivi Sasa hali ni tofauti,mpaka asubuhi hii naandika huu uzi sijawaona hawa wadau

Huenda wameona hakuna tishio la hawa wapuuzi,ndio maana this time hawaja lichukulia hili jambo very seriously

Au wanakuja na mpango ambao utawashangaza wale wote ambao watajifanya kichwa ngumu na kujaribu kutia ngoko zao barabarani

Tufanye subira muda ni mwalimu mzuri sana, vijana mmebakiwa na siku mbili tu,leo na kesho kufanya maamuzi sahihi,maamuzi ambayo yatakuokoa wewe dhidi ya matatizo pamoja na kuiweka familia yako mbali na matatizo

Maisha yenyewe haya ni magumu,halafu badala ya ndugu zako kupambana na kuongeza uchumi wao,wewe ulivyo mpuuzi unataka wahangaike kukutibia au kukutoa selo

Grow up young men, epuka mambo yote ambayo yatakusababishia matatizo,okoa kiwiliwili chako na okoa uhai wako

Amani ni tunu yetu basi tuilinde kwa wivu mkubwa sana

Wasalaam,

Ni hayo tu!
 
Kama nimekuelewa, yaani hata Dola haielewi ifanye nini kuhusu hilo. Maana wakifunga nchi aibu, wakiyatoa majeshi kupigwa na jua aibu, wakiyaficha ndani majeshi aibu, wakitoa matamko aibu....

Solution ni kuwatumia vyawa wa mitandaoni kama wewe baada ya MASHEIKH uchwara kutupwa chooni kama toilet paper.
 
View attachment 3519333

My people,​

Hawa watu wasio itakia meme nchi yetu wanajikuta katika mtego ufuatao

Kwanza wakiandamana kuna uwekezakano wa kuingia mwaka 2026 wakiwa selo au hospitalini wakijiuguza,kwahiyo watakuwa wamejichagulia wenyewe wauanze vipi mwaka

Wewe ni kizee cha Dar?
 
Aibu pekee ambayo wataipata dola ni kama wakifunga internet, kwasababu haituathiri sisi tu wananchi bali pamoja watu wa mataifa mengine na shughuli za uchumi kukwama

Trust me kuna mpango dola inao,ukimya huu una jambo kubwa sana

Tusubiri
 
RISASI HUJIBIWA KWA RISASI
KARIBU UWANJANI TAREHE 25.12.2025
Hatutaingia Barabarani
1. OFISI YOYOTE YA SERIKALI CHOMA MOTO
2. OFISI YOYOTE YA CCM CHOMA MOTO
3. NYUMBA YOYOTE YA POLISI CHOMA MOTO
 
RISASI HUJIBIWA KWA RISASI
KARIBU UWANJANI TAREHE 25.12.2025
Hatutaingia Barabarani
1. OFISI YOYOTE YA SERIKALI CHOMA MOTO
2. OFISI YOYOTE YA CCM CHOMA MOTO
3. NYUMBA YOYOTE YA POLISI CHOMA MOTO
Muda ni mwalimu mzuri sana

Tusubiri
 
RISASI HUJIBIWA KWA RISASI
KARIBU UWANJANI TAREHE 25.12.2025
Hatutaingia Barabarani
1. OFISI YOYOTE YA SERIKALI CHOMA MOTO
2. OFISI YOYOTE YA CCM CHOMA MOTO
3. NYUMBA YOYOTE YA POLISI CHOMA MOTO
Wewe itabidi uraia wako uchunguzwe hakuna mtanzania mwenye roho mbaya kama wewe wewe itakuwa mnyarwanda

Maana police ni ndugu zetu kutoka katika familia zetu Kwa nini uchome moto nyumba zao

Ebu weka hapa madai yako 5 tujue nini kinachokusibu maana usiwe katika wale wanaotumiwa na mabeberu kuvuruga amani yetu
 
Aibu pekee ambayo wataipata dola ni kama wakifunga internet, kwasababu haituathiri sisi tu wananchi bali pamoja watu wa mataifa mengine na shughuli za uchumi kukwama

Trust me kuna mpango dola inao,ukimya huu una jambo kubwa sana

Tusubiri
Kama huo mpango utakuwa ni kuuwa raia zaidi au kama Ile ya mo29 basi hawana haja ya kuita ni mpango. Nayo pia pia itakuwa ni aibu zaidi.
 
Wewe itabidi uraia wako uchunguzwe hakuna mtanzania mwenye roho mbaya kama wewe wewe itakuwa mnyarwanda

Maana police ni ndugu zetu kutoka katika familia zetu Kwa nini uchome moto nyumba zao

Ebu weka hapa madai yako 5 tujue nini kinachokusibu maana usiwe katika wale wanaotumiwa na mabeberu kuvuruga amani yetu
Hii ndo aina ya watu ambao tunatarajia wataleta mabadiliko hapa nchini

Je tukisema nia ya maandamano ni kuvuruga amani na kuleta fujo tunakosea?
 
Kama huo mpango utakuwa ni kuuwa raia zaidi au kama Ile ya mo29 basi hawana haja ya kuita ni mpango. Nayo pia pia itakuwa ni aibu zaidi.
Naamini sasa hivi hawawezi kuua tena,sasa watajeruhi na kuwaweka watu korokoroni

Ila yote hayo sio mambo mazuri,maana polisi sio picnic kwamba utainjoy
 
Back
Top Bottom