Waleta Fujo na Wavuruga Amani Wajikuta Kwenye Mtego Mkali

Waleta Fujo na Wavuruga Amani Wajikuta Kwenye Mtego Mkali

Naamini sasa hivi hawawezi kuua tena,sasa watajeruhi na kuwaweka watu korokoroni

Ila yote hayo sio mambo mazuri,maana polisi sio picnic kwamba utainjoy
Kama vile kweli unawaonea Watanganyika wenzako huruma kumbe udini tu umejaa fuvu la bichwa lako kubwa kama tikiti maji.
 
Kama vile kweli unawaonea Watanganyika wenzako huruma kumbe udini tu umejaa fuvu la bichwa lako kubwa kama tikiti maji.
Nawaonea huruma ndio maana mara nyingi mimi na wenzangu huwa tuna watahadharisha kuepuka maamuzi ya hasira ambayo yamewagharimu tar 29 Oct na msipo angalia yatawagharimu tena D25
 
Katika andiko langu umeona mihemko yoyote?
Kiuhalisia wewe ni mwajiriwa unayefaidika na uozo tunao uona.
Mimi nilikuwa mwana CCM mpaka tarehe 29 Oktoba, na nilyoyaona yanasikitisha na kutia kinyaa kwa uongozi uliopo .
Mtu mwenye akili kuandika ulivyoandika ni kuukataa ukweli kwa vifedha mnavyopewa, ambavyo ni haramu.
 
Nawaonea huruma ndio maana mara nyingi mimi na wenzangu huwa tuna watahadharisha kuepuka maamuzi ya hasira ambayo yamewagharimu tar 29 Oct na msipo angalia yatawagharimu tena D25
Toka hapa sheikh ubwabwa wa bakwata umeshindwa kukemea utekaji, mauaji ya kiholela, ufisadi na upendeleo umebaki unapambana na wanaopinga hayo.
 
Wewe itabidi uraia wako uchunguzwe hakuna mtanzania mwenye roho mbaya kama wewe wewe itakuwa mnyarwanda

Maana police ni ndugu zetu kutoka katika familia zetu Kwa nini uchome moto nyumba zao

Ebu weka hapa madai yako 5 tujue nini kinachokusibu maana usiwe katika wale wanaotumiwa na mabeberu kuvuruga amani yetu
kama ni ndugu zetu mbna waliua ndugu zao sasa had majumban?
 
Wewe itabidi uraia wako uchunguzwe hakuna mtanzania mwenye roho mbaya kama wewe wewe itakuwa mnyarwanda

Maana police ni ndugu zetu kutoka katika familia zetu Kwa nini uchome moto nyumba zao

Ebu weka hapa madai yako 5 tujue nini kinachokusibu maana usiwe katika wale wanaotumiwa na mabeberu kuvuruga amani yetu
Mdude, Ali Kibao, Soka, Ben Saanane, Lissu, Polepole na walipigwa risasi kwa maelfu October 29 ilikuwa ni Wanyarwanda??
 
Pia ni aibu kwa selikali kukaza fuvu ilihari wanajua wapo pale kwa nguvu ya mtutu na sio kura za wananchi.

Mda utasema.
Damu si mlimwaga?
 
Toka hapa sheikh ubwabwa wa bakwata umeshindwa kukemea utekaji, mauaji ya kiholela, ufisadi na upendeleo umebaki unapambana na wanaopinga hayo.
Wewe ulikuwa wapi kukemea hayo,kwahiyo sisi kuamua kukemea haya ndio kosa?
 
View attachment 3519333

My people,​


Hawa watu wasio itakia meme nchi yetu wanajikuta katika mtego ufuatao

Kwanza wakiandamana kuna uwezekano wa kuingia mwaka 2026 wakiwa selo au hospitalini wakijiuguza,kwahiyo watakuwa wamejichagulia wenyewe wauanze vipi mwaka

Na wasipoandamana basi ndio itakuwa mwisho wa mikakati yao hiyo,kwani watapuuzwa na kudharauliwa kabisa,kwa maana hakuna mtu atakaye waapa kipaumbele tena

Ikumbukwe vile vile kuna wafanya fujo na waharibu amani ya nchi hii wanafaili lao huko korokoroni walipo sekwa kwa mara ya mwisho,hawa wakikutwa tena wanaleta vurugu na fujo kwa mara pili,wataonekana ndio vinara wa machafuko na mwisho wao utakuwa mbaya

Kwahiyo kwa kifupi hawa wafanya fujo na waleta vurugu wa nchi hii wamejikuta kwenye mode ya ukisimama nchale na ukikaa nchale

Kwa upande mwingine tofauti na siku za nyuma ambazo tumezoea kuwaona wana usalama mapema mabarabarani na kwenye vituo vya mwendo kasi,hivi Sasa hali ni tofauti,mpaka asubuhi hii naandika huu uzi sijawaona hawa wadau

Huenda wameona hakuna tishio la hawa wapuuzi,ndio maana this time hawaja lichukulia hili jambo very seriously

Au wanakuja na mpango ambao utawashangaza wale wote ambao watajifanya kichwa ngumu na kujaribu kutia ngoko zao barabarani

Tufanye subira muda ni mwalimu mzuri sana, vijana mmebakiwa na siku mbili tu,leo na kesho kufanya maamuzi sahihi,maamuzi ambayo yatakuokoa wewe dhidi ya matatizo pamoja na kuiweka familia yako mbali na matatizo

Maisha yenyewe haya ni magumu,halafu badala ya ndugu zako kupambana na kuongeza uchumi wao,wewe ulivyo mpuuzi unataka wahangaike kukutibia au kukutoa selo

Grow up young men, epuka mambo yote ambayo yatakusababishia matatizo,okoa kiwiliwili chako na okoa uhai wako

Amani ni tunu yetu basi tuilinde kwa wivu mkubwa sana

Wasalaam,

Ni hayo tu!
anaehamasisha fujo ni Kalamu kaingia mtumbwi wa vibwengo
 
Kiuhalisia wewe ni mwajiriwa unayefaidika na uozo tunao uona.
Mimi nilikuwa mwana CCM mpaka tarehe 29 Oktoba, na nilyoyaona yanasikitisha na kutia kinyaa kwa uongozi uliopo .
Mtu mwenye akili kuandika ulivyoandika ni kuukataa ukweli kwa vifedha mnavyopewa, ambavyo ni haramu.
Mimi nipo private sector,kwahiyo kila anayetoa maoni yake usifikiri yupo serikalini au ccm au mfaidika wa lolote

Tunafanya kilicho sahihi that's all, believe it or not
 
Pia ni aibu kwa selikali kukaza fuvu ilihari wanajua wapo pale kwa nguvu ya mtutu na sio kura za wananchi.

Mda utasema.
Damu si mlimwaga?
Huwa napenda sana watu ambao mnatoa hoja kutokana na hali halisi,so wengine wanamnasibisha mtoa mada na ccm or serikali kisa tu wana maoni tofauti


Serikali kwa upande wake nayo ina lawama ya kubeba tena sana tu
 
Nje ya mada, hivi kwa nini nyie machawa mnaliwa nyuma na Abdul?
 
Umeshangaa kuona kuna watu tunajua siri zenu... kumer la mama ako
Huu mchezo hauhitaji hasira,njia moja wapo ya kujua huyu mtu ni mdhaifu ni kushindwa kuhimili hasira zake

Kuwa strong emotionally ndio uje kujadiliana na wanaume
 
Yeye ana uhuru wa kutoa maoni yake na sisi pia tuna uhuru wa kutoa maoni yetu
Ila hatuna uhuru kuandamana!
Tangu lini kuandamana adhabu yake iwe kifo?
Ipo siku utafikiwa na kama unabisha muulize sheikh Mwaipopo!
 
Huu mchezo hauhitaji hasira,njia moja wapo ya kujua huyu mtu ni mdhaifu ni kushindwa kuhimili hasira zake

Kuwa strong emotionally ndio uje kujadiliana na wanaume
Unapinduliwa kinyeo na akina Abdul, uanaume tuachie sisi wapambanaji!... hakuna kuremba lugha,, we ni shoga unapasuliwa nyuma..
 
Back
Top Bottom