Waleta Fujo na Wavuruga Amani Wajikuta Kwenye Mtego Mkali

Waleta Fujo na Wavuruga Amani Wajikuta Kwenye Mtego Mkali

Ila hatuna uhuru kuandamana!
Tangu lini kuandamana adhabu yake iwe kifo?
Ipo siku utafikiwa na kama unabisha muulize sheikh Mwaipopo!
Timiza wajibu kwanza kisha ndio udai haki

Unataka maandamano basi fuata taratibu na sheria
 
Unapinduliwa kinyeo na akina Abdul, uanaume tuachie sisi wapambanaji!... hakuna kuremba lugha,, we ni shoga unapasuliwa nyuma..
Maliza matusi yote bwana mdogo,kisha kesho ukaandamane wakufyatue kiuno
 
Usipofuata Sheria uuwawe?
Sisi wenzio tumelia lakini nakuapia Kuna siku utafikiwa.
Endelea kujipongeza!
Nitafikiwa na nini,mimi ndio niliagiza operation ifanyike?

Umesikia nafurahia yaliyotokea?
 
Iyo siku ni keshokutwa
raia wengi tutakuwa tumeji boost vibaya!
 
Nitafikiwa na nini,mimi ndio niliagiza operation ifanyike?

Umesikia nafurahia yaliyotokea?
Niamini Mimi!
Kuna siku nitakukumbusha kwa kuquote hii post yako.
Wewe furahi, kejeli, jipongeze yaani fanya uwezavyo!
Kumbuka Kuna watu wasio na hatia kabisa wameuwawa na Wala hawakuwa waandamanaji!
Sisi tumelia lakini nakuhakikishia kuwa ipo siku utalia kama sisi!
Endelea kujipongeza kwa kututonesha vidonda tuliopoteza ndugu zetu!
 
Mdude, Ali Kibao, Soka, Ben Saanane, Lissu, Polepole na walipigwa risasi kwa maelfu October 29 ilikuwa ni Wanyarwanda??
Mbona tarehe 9 Dec hakuna aliyepigwa risasi
 
anaehamasisha fujo ni Kalamu kaingia mtumbwi wa vibwengo
Kalamu kazi yake ni moja tu; kukataa utwana katika suraa zake zote.
Hakuna mwenye uwezo wa kuzuia waTanzania kukataa upuuzi huo kwa kila njia yoyote itumikayo kuueneza. Kuwaua waTanzania anakofanya Samia na Genge lake hakutawafanya waTanzania wakubali utwana; badala yake watapambana na hao wanaoueneza. Hakuna shaka yoyote nani atakuwa mshindi katika hili.

Mfugo kama ulivyo wewe, inanilazimu nikukumbushe kila mara juu ya hili hata kama unajifariji tu kwa sasa kwa kuwa unafikiri mitutu ya bunduki ipo kila mara kumlinda mtu dharimu kabisa kama huyu Samia Suluhu Hassan, na mifugo yake ya nguruwe, kama wewe.
 
huyu ndo mleta fujo namba moja
 
Back
Top Bottom