Tangu Mange Kimambo afungiwe taifa limetulia sana, Mange alikuwa na mtandao mpana sana wa kupata taarifa zilizokuwa zikizua taharuki kila siku, hii ilimpa nguvu kubwa sana ya kufuatiliwa na hata kusikilizwa.
Kila siku alikuwa anaweka vitu vinavyoleta taharuki, mikataba ya rasilimali, utajiri wa kutisha kwa viongozi au familia zao, videos za watu kutekwa, matukio ya kionezi, mpaka video za kina nyundo.
Alihusika pia kusambaza videos nyingi za yaliyotokea October 29, hii ilikuwa inatia watu hasira zaidi
Haya mambo yalikuwa yanachochea sana watu wawe na hasira lakini tangu afungiwa hali imetulia, imekuwa ngumu kukuta videos, picha, maongezi yaliyovuja, n.k.
Licha ya kuendelea kuwepo kina Sativa, Maria, Hilda, Lema, n.k. bado hawawezi kuenea kwenye pengo la Mange
Siku ya kuachiwa kwake hali inaweza kuwa tete maradufu ya tulivyowahi kuzoea