Bila Mange Kimambi nchi ingekuwa na amani sana. Kwa muda mchache aliofungiwa taifa limetulia sana

Tangu Mange Kimambo afungiwe taifa limetulia sana, Mange alikuwa na mtandao mpana sana wa kupata taarifa zilizokuwa zikizua taharuki kila siku, hii ilimpa nguvu kubwa sana ya kufuatiliwa na hata kusikilizwa.

Kila siku alikuwa anaweka vitu vinavyoleta taharuki, mikataba ya rasilimali, matukio ya viongozi na familia zao kumiliki vitu ghali, videos za watu kutekwa, matukio ya kionezi, mpaka video za kina nyundo.

Haya mambo yalikuwa yanachochea sana watu wawe na hasira lakini tangu afungiwa hali imetulia, imekuwa ngumu kukuta videos, picha, maongezi yaliyovuja, n.k.

Licha ya kuendelea kuwepo kina Sativa, Maria, Hilda, Lema, n.k. bado hawawezi kuenea kwenye pengo la Mange

Siku ya kuachiwa kwake hali inaweza kuwa tete maradufu ya tulivyowahi kuzoea
Amani ya nani, amani ya hawa wanaoendelea kutekwa kila uchwao au amani ya Samia, Abdul, familia ya Jakaya, mafisadi pamoja na chawa wao? Kwa raia wa kawaida hususan Watanganyika amani ndiyo inazidi kutokomea kusikojulikana.
 
Tuwe wakweli nchi haiwezi kukombolewa na Malaya wa mitandaoni Kama nyie , single mother wadangaji

Brain kubwa ndo inahitajika Mimi nikiona Malaya mmevamia siasa nakosa powa.
Malaya wewe mlupo wa Abdul unayetegemea uje kupiga mapambio humu..!!

Mmepigika na maisha mmebakia kusifia wauaji na watekaji, hasara kwa mikei iliowazaa bora wangetoa mimba za mitungo..!!
 
Nyumbu jike Lamomy hamiliki akili hata moja anategemea kuishi kwa akili za mange ila kile kichapo alichoona hata huyo kigagula mangekimambi aje kumshawishi akafanye ule unyumbu wao bado Nyumbu jike Lamomy hawezi kukubali, licha ya kuwa sifa ya nyumbu ni kuwa wasahaulifu, ila kwa kile kichapo nyumbu jike huyu hawezi kusahau wala hawezi kurudia ule unyumbu wao.
 
Mumeo Leo hayupo?
Naona unazagaa unanitafuta kweli nikupasie danga la kukutoa minyeee
 
Nyumbu jike siku ya maandamano uchwara ya kihalifu ya wizi na uharibifu wa mali ulionekana ukiwa umebeba gunia la mchele bega la kulia na mtungi wa gesi mkono wa kushoto mali ambazo si zako na haijulikani umezitoa wapi.

Kwa sasa una hasira sana maana nafasi ya kufanya uhalifu haipo, na ule mchele ulioonekana nao pamoja na gesi imeisha na huwezi kwenda kufanya uhalifu tena unaogopa kuchapwa risasi
 
Bitch come and suck my dick
 
Mumeo kasafiri kikazi? Naona unatamba kweli lucha jibwa!!

Mimi sina njaa kama zako tena issue ya michele ndo usiongelee nna mashamba kamsamba na mbalali upo nyonyo??
 
Hakuna sehemu inaitwa Mbalali ni Mbarali Nyumbu jike, hayo mashamba ndo huwa unaenda kuvuna mpunga wa watu usiku? Maana we umeshaona maisha bila uhalifu huyawezi
 
Back
Top Bottom