stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 40,702
- 41,213
msanii gan ana hali mbaya mkuu?Mkuu unajua kama wasanii wana hali mbaya ya kiuchumi sasa hivi?
msanii gan ana hali mbaya mkuu?Mkuu unajua kama wasanii wana hali mbaya ya kiuchumi sasa hivi?
Kwamba hujui kuwa wasanii hutegemea kupata pesa kupitia kufanya shows na sasa hakuna show au hata hujui kabisa kinachoendelea?msanii gan ana hali mbaya mkuu?
Kwamba hujui kuwa wasanii hutegemea kupata pesa kupitia kufanya shows na sasa hakuna show au hata hujui kabisa kinachoendelea?
Juzi nilikuwa nawasikiliza wale mabaunsa wa wanawalindaga wasanii nao wakilalamika hali mbaya.
mnapenda harakati za kujipa moyo sana, very good! badly hamna mtu ana taka harakati zenuKwamba hujui kuwa wasanii hutegemea kupata pesa kupitia kufanya shows na sasa hakuna show au hata hujui kabisa kinachoendelea?
Juzi nilikuwa nawasikiliza wale mabaunsa wa wanawalindaga wasanii nao wakilalamika hali mbaya.
mnapenda harakati za kujipa moyo sana, very good! badly hamna mtu ana taka harakati zenu
View: https://x.com/Ulimwengu01/status/2003003287298326658?s=20
🤣 🤣 🤣 sio umeshindwa kufungua, nenda na ukwel kukaa na kujitengenezea uhalisia wako hauwezi kusaidia chochote, anyway marioo alifanya show jana kenya na hio video itakuonyesha kama kwel hawana show ama wanazoNimeshindwa kufungua au kuona ulichoweka.
Ona hili chokohTangu Mange Kimambo afungiwe taifa limetulia sana, Mange alikuwa na mtandao mpana sana wa kupata taarifa zilizokuwa zikizua taharuki kila siku, hii ilimpa nguvu kubwa sana ya kufuatiliwa na hata kusikilizwa.
Kila siku alikuwa anaweka vitu vinavyoleta taharuki, mikataba ya rasilimali, utajiri wa kutisha kwa viongozi au familia zao, videos za watu kutekwa, matukio ya kionezi, mpaka video za kina nyundo.
Alihusika pia kusambaza videos nyingi za yaliyotokea October 29, hii ilikuwa inatia watu hasira zaidi
Haya mambo yalikuwa yanachochea sana watu wawe na hasira lakini tangu afungiwa hali imetulia, imekuwa ngumu kukuta videos, picha, maongezi yaliyovuja, n.k.
Licha ya kuendelea kuwepo kina Sativa, Maria, Hilda, Lema, n.k. bado hawawezi kuenea kwenye pengo la Mange
Siku ya kuachiwa kwake hali inaweza kuwa tete maradufu ya tulivyowahi kuzoea
Unazungumzia kufanya show nje ya Tanzania?🤣 🤣 🤣 sio umeshindwa kufungua, nenda na ukwel kukaa na kujitengenezea uhalisia wako hauwezi kusaidia chochote, anyway marioo alifanya show jana kenya na hio video itakuonyesha kama kwel hawana show ama wanazo
ndio tena Kenya kwa role model wenuUnazungumzia kufanya show nje ya Tanzania?
We ulipata kumsikiliza Majjizo alichoongea kuhusu hili suala kama kweli unaelewa kinachoendelea?ndio tena Kenya kwa role model wenu
Mange ndio anayeendesha genge la utekaji, mauaji na watu kupigwa risasi?Tangu Mange Kimambo afungiwe taifa limetulia sana, Mange alikuwa na mtandao mpana sana wa kupata taarifa zilizokuwa zikizua taharuki kila siku, hii ilimpa nguvu kubwa sana ya kufuatiliwa na hata kusikilizwa.
Kila siku alikuwa anaweka vitu vinavyoleta taharuki, mikataba ya rasilimali, utajiri wa kutisha kwa viongozi au familia zao, videos za watu kutekwa, matukio ya kionezi, mpaka video za kina nyundo.
Alihusika pia kusambaza videos nyingi za yaliyotokea October 29, hii ilikuwa inatia watu hasira zaidi
Haya mambo yalikuwa yanachochea sana watu wawe na hasira lakini tangu afungiwa hali imetulia, imekuwa ngumu kukuta videos, picha, maongezi yaliyovuja, n.k.
Licha ya kuendelea kuwepo kina Sativa, Maria, Hilda, Lema, n.k. bado hawawezi kuenea kwenye pengo la Mange
Siku ya kuachiwa kwake hali inaweza kuwa tete maradufu ya tulivyowahi kuzoea
Kila mtu anatumia fursa wengine wametoa mpaka nyimbo apa katikati, ila uhalisia mambo yanaendelea kawaida watu wanafanya shows, wengine mpaka wamefungua villa zao, ni nyie tu mmekaa na roho za uchawi mkisubiria wafeli wakati wanapambana na Uzuri Mungu sio athumaniWe ulipata kumsikiliza Majjizo alichoongea kuhusu hili suala kama kweli unaelewa kinachoendelea?