Wakuu,
Nimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa za kufariki dunia kwa ndugu yetu na mwanachama wa JamiiForums, Sanctus Mtsimbe, mchana wa tarehe 13 Machi 2024.
Sanctus alikuwa Rais wa kwanza wa Mtandao wa Wanataaluma Tanzania (TPN), hadi anafariki alikuwa ni Country Manager wa Wananchi Group...
Muasisi wa nchi yetu mwalimu Nyerere aliwahi kugusia jambo kwenye moja ya hotuba zake wakati akielezea ni jambo gani kubwa inaweza kupelekea nchi kupata maendeleo, alisisitiza sana swala la demokrasia; lakini kwa bahati mbaya hata ndani tu ya chama cha CCM sasa miaka hii hakuna hiyo demokrasia...
Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar , Othman Masoud , ambaye pia aliwahi kuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar , amenukuliwa akieleza kwamba , kwa sasa Zanzibar hakuna amani , bali kuna Ukimya tu .
ZANZIBAR HAKUNA AMANI, KUNA UKIMYA
"Kilichopo sasa Zanzibar ni kimya; na si amani; kwa sababu...
MKUU WA KANISA Katoliki duniani, Papa Fransisco, katika mahojiano na chombo cha habari cha Uswisi, RSI, amesema Ukraine inapaswa kuwa na ujasiri wa bendera nyeupe, ambayo ni alama ya kukubali yaishe kwa kupisha mazungumzo ya amani.
_______________
Pope Francis: Ukraine should have the courage...
Mwenyekiti wa Chadema , Freeman Mbowe amekuwa miongoni mwa Watanzania waliofika Kwenye Uwanja wa Amani , huko Zanzibar kwa ajili ya kushiriki maziko ya Aliyekuwa Rais wa Tanzania awamu ya Pili , Ally Hassan Mwinyi .
Mbowe ambaye pia huko Zanzibar anafahamika kama Ustaadh Aboubakar Mbowe ...
Kila Kona ya nchi Sasa ni mtetemo na mtikisiko ikienda sambamba na tabasamu la kumalizika Kwa miradi iliyoanzishwa wakati wa utawala wa Hayati Magufuli. Ni juzi tumeambiwa mtambo namba 8 wa kuzalisha umeme katika bwawa la JNHPP umewashwa na kuwashwa huko tatizo la umeme litapungua Kwa 85% ,hii...
Ukitaka kujua shida angalia wale kila kukicha wakikimbilia Ulaya kutafuta amani na utulivu na nchi nyingi ndio za kiislamu.
Sasa kuna Msomali mmoja alikuwa rafiki yangu sana japo Kiswahili chake cha shida kwa sasa yupo Canada, kuna neno aliniambia;
"Hawa wanaojifanya hapa Tanzania uislamu...
Kwa mujibu wa Africa fact zone hii hapa ndio Orodha ya nchi zenye Amani ya moyo
Africa's Most Peaceful Countries
1. Mauritius
2. Botswana
3. Sierra Leone
4. Ghana
5. Senegal
6. Madagascar
7. Namibia
8. The Gambia
9. Zambia
10. Liberia
11. Malawi
12. Tunisia
13. Equatorial Guinea
14...
Asofunnzwa na wazazi hufunzwa na walimwengu, huu msemo utaishi mpaka kiama.
Ni sawa na kusema katika nyakati ambazo wanawake wanapoteza uanamke wao na kuvaa joho la uanaume katka nafsi zao.
Kwa muktadha huu ndoa nyingi wanaume ni kama wanajiwekea njia madhubuti ya umauti wao.
Hivyo ili...
Hii ndio taarifa mpya ya sasa , kwamba yule Mwamba wa siasa za Tanzania amekwishatua Jijini Mbeya , hii maana yake ni kwamba ataongoza Maandamano ya Amani ya kupinga dhiki , Ufukara na Ugumu wa Maisha , Pamoja na miswada mibovu ya Sheria za Uchaguzi
Wataalamu wa sayansi ya saikolojia wanashauri nini hapa. Tuhuma za usaliti hazikomi. siamini kabisa kama ana amani moyoni, na kwa umri alionao sasa naona kama ameporomoka ghafla. Sioni kama heshima yake ipo tena. Kifo cha rakiki yake naona kimemnyanganya heshima yake yote. Ana uwezo wa kukemea...
Taratibu akili zimeanza kuwakaa hawa watu, sikutegemea ipo siku Misri itatoa tamko kama hili.....
Egypt's Foreign Minister Sameh Shoukry sharply criticized Hamas on Saturday, saying that "the organization is outside the Palestinian consensus, which recognizes Israel and wants to reach...
Kikosi cha Wanajeshi wa Afrika Kusini kilichopo DR Congo kimepata pigo la kwanza kwa kupoteza Wanajeshi wawili na wengine Watatu kujeruhiwa baada ya bomu kutua katika kambi yao.
Kikosi hicho ambacho kilipelekwa DRC, hivi karibuni kusaidia kulinda amani kupitia mgongo wa Jumuiya ya Maendeleo ya...
Jumuiya imetoa wito kwa CHADEMA kuacha mara moja mpango wao wa kufanya kuandamana katika mikoa mbalimbali hususani katika kipindi hiki ambapo taifa lipo katika majonzi ya kuondokewa aliyekuwa Waziri Mkuu Tanzania Edward Lowassa, wanachama wengine wa jumuiya hiyo waongeza kuandamana kipindi hiki...
Habari Watanzania?
Moja kwa moja kwenye mada!
Nimekuwa nachangia damu mara kwa mara kadiri ninapojisikia bila hata shinikizo au ushawishi wowote.
Hii tabia niliianza nikiwa nasoma kidato cha nne mpaka leo.
Ukweli ni kwamba kila ninapochangia Damu, moyo wangu unapata amani achilia mbali...
MAMA mmoja mwenye umri wa miaka 37 ameshitakiwa nchini Sweden kwa kufanya mapenzi na mifupa ya maiti. Mama huyo pia alipatikana na makala aliyoaandika akifurahia kuwa mtu wa kwanza kufanya mapenzi na mifupa ya mtu aliyefariki dunia zaidi ya miaka 50 iliyopita.
Mkuu wa mashitaka Bi Kristina...
GENTAMYCINE nawaambieni hili mapema na Asubuhi hii kwakuwa tayari nimearifiwa na Chanzo Muhimu kuwa Ombi lenu la kwenda Zanzibar kuutumia Uwanja wa New Amani Complex kwa Mechi zenu za Ligi Kuu (NBC) na FA (ASFC) halitokubaliwa ila kwa Kuutumia kwa Mechi zenu za CAFCL mtaruhusiwa nyie na Yanga SC...
Akataa Wapalestina wasipewe dola yao, (yaani two-state) msimamo wake ni mapigano yaendelee hadi Israel ifutwe, tatizo anayasema yote haya akiishi kwa raha na starehe huko Qatar wakati wana Gaza wanaendelea kuuawa na majengo yao kubomolewa kote.
Hii iwafikie mashabiki wa maugaidi ya HAMAS, msio...
Asante Kamanda Muliro, asante kwa kupevuka kiakili na kimtazamo. Tutaandamana kwa Amani, Tanzania ni yetu sote.
Wito Wangu kwa CHADEMA, mjue kabisa CCM hawana radhi na hili na hivyo basi, tahadhari zichukuliwe, wasije wakapandikizwa Watu wabaya, wakafanya Mambo Mabaya, zigo likadondoshewa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.