Salaam, Shalom.
Mara zote maishani, matatizo hufuatana, na Huwa hayatoi taarifa Wala kubisha hodi,
Jana, wamepatikana mateka wanne waliotekwa miezi kadhaa iliyopita katika Shambulio na uvamizi wa ugaidi uliofanyika Israel October 2023. Binti mmoja aliyerekodiwa aliyekuwa kwenye tamasha Hilo...
Simu yangu iliharibika, gharama za kuifufua zilikuwa ni kubwa sana kwangu, nikasema nitulie kwanza nijichange nije kuifufa hapo baadae.
simu mpya nayotumia ina namba mpya ya whatsapp, ni wachache sana wanaijua. Namba yangu ya wharsapp iliyozoeleka sijaitumia miezi minne.
Kwa sasa amani...
Njia wanazotumia wanasimba kukutaka ujiuzulu ni kelele za chura tu, pressure imekuwa kubwa kukufosi uachie uenyekiti kwa sababu umeshindwa kuleta furaha kwa wanasimba.
Halafu umewaongezea machungu sana pale ulipokuwa ukihojiwa na waandishi wachovu wa Mawingu kwani ulikuwa ukiongea na jeuri...
Jamii yangu, leo napenda kukushirikisha uzoefu wangu wa hivi karibuni ambapo niliuza simu yangu na kutokuwa na huduma za mitandao ya kijamii kwa wiki mbili. Niligundua amani na utulivu ambao sikutarajia.
Kwa kawaida, simu yangu ilikuwa kama kiungo changu kati yangu na ulimwengu wa mitandao ya...
Natokea kanda ya ziwa ambayo ni asili yangu,jinsia ni mwanaume niko na familia (mke na watoto). Nawashkru wazi walinilea inavyopaswa na kuna kipindi niliwachukia kwa adhabu walizokuwa wananipa utotoni bila kufahamu kwamba walikuwa wanataka niwe kijana imara hasa kama kabila langu linavyotaka...
Ndugu Mtanganyika , usimkope ndugu yako hela kwa sababu kuna hatari ya kuharibu uhusiano wenu. Kukopa hela kwa ndugu kunaweza kusababisha migogoro na mvutano, hasa kama kuna tatizo la kulipa deni kwa wakati au kama kutakuwa na hali ya kutokuelewana juu ya masharti ya mkopo.
Ndugu huyo utakuwa...
Katika karne ya 21 ni vigumu kuendana na mabadiliko ya ulimwengu bila kuhitimisha kwamba kuna haja ya elimu iliyoboreshwa zaidi ili kuwatayarisha raia wote kushughulikia matatizo mengi yanayowakabili watanzania. Masuala mengi sana yanayoikabili nchi hii hayawezi kutatuliwa isipokuwa kuwa na...
Na sababu kubwa ni kwamba Uislam sio dini tu, upande mwengine ni mfumo wa kisiasa !! Nchi ikishajaa waislam basi uislam unaingia kwenye sheria za nchi zifatwe hata kwa wasio waislam, idadi ya waislam huongezeka kwa kasi ya ajabu sababu imani zingine hupitia manyanyaso makali, vitisho mpaka...
Zambia's former President Edgar Lungu has insisted that he is "virtually under house arrest" although police said the monitoring of his movements was "strictly for his own safety".
"I cannot move out of my house without being accosted and challenged by police, who drive me back home," Mr Lungu...
Sikuwahi kutarajia hii hali. Nina mshikaji wangu ambaye tulikutana kwenye kituo cha kazi mkoa x kipindi hicho mimi ndo nimetoka kumaliza chuo. Hatuzidiani sana umri sema mimi ndo namzidi jamaa kama mwaka mmoja. Ila yeye alitangulia kuoa, so nikawa nampa heshima zake. Mwaka huo huo mimi nikaoa...
DODOMA - Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dk Stergomena Tax ameliambia bunge kuwa haIi ya usaIama wa mpaka wa Tanzania na Msumbiji wenye urefu wa kiIomita 922.76, haitabiriki kutokana na mashambuIizi yanayofanywa na kundi Ia kigaidi Ia Ansar Al Sunna Wal Jamaah (AASWJ).
Chanzo...
Hivi karibuni makundi ya Fatah na Hamas ya Palestina yalifanya mazungumzo ya mardhiano mjini Beijing, mazungumzo ambayo yaliitwa na chombo cha habari cha Marekani, Associated Press, kuwa juhudi za karibuni za China kujiweka katika nafasi ya upatanishi katika Mashariki ya Kati kama mbadala wa...
Habari za jioni wanaJF, kwanza nitangulie kusema sina mgogoro wowote wa kifamilia, kuhusu kazi sio mwajiriwa ni mchakalikaji wa mtaani, sina madeni ya kutisha ambayo may be yanaweza kunipa stress, ingawa nina hofu ya kutofikia lengo ifikapo 30 june mwaka huu hali ambayo nahisi itaniathiri sana...
Mungu ibariki Afrika na watu wake..Mungu wabariki Viongozi wetu
Vita na mauaji vinaendelea Kivu ya Kaskazini,Maelfu ya raia wanauwa kila leo. Biashara na shughuli kuu zote zimedorora. Janga la kibinadamu siku si nyingi yamkini kukawa na mauaji ya haraiki. Waasi wenye nguvu wanapambana kuteka...
Shalom,
Dunia ni darasa lefu na linamaudhui yasiyo na mwisho. Pamoja na muonekano wangu wa kipedejee, na vipesa vya kawaida vya kujimudu .
Sifa yangu kuu ni Ubahili wenye logic sana, sambamba na hilo pesa yangu inatoka kwa sababu maalumu naogopa sana kuishiwa au kuwa mufilisi.
Sasa basi...
1. Yamekuwapo mazungumzo kwa azimio thabiti la makubaliano ya kusimamisha vita linaloendelea kujadiliwa kwa takribani miezi 2 sasa. Pendekezo hili likiwekwa mezani na Marekani, Qatar na Egypt kwa pamoja mbele ya HAMAS na Israel, mahasimu; wafikie makubaliano sasa.
HAMAS wayakataa mapumziko...
Utangulizi
Kila mwananchi wa taifa fulani, hupenda kuona taifa lake likiwa kinara kwenye uchumi. Hii ni kwasababu, mafanikio ya taifa lolote duniani huanzia kwenye uimara wa uchumi kwanza, kwani hakuna chochote katika dunia hii unaweza kufanya bila uchumi imara, bila fedha, bila mtaji wa...
Kama ilivyotangazwa awali , leo ndio hitimisho la awamu ya kwanza ya Wiki ya Maandamano, Ambapo Mwamba Kabisa Freeman Mbowe ataisimamisha Kilimanjaro pale atakapoongoza Maandamano Moshi Mjini
Usiondoke JF kwa Taarifa kamili
===========
Ukombozi unaendelea
Pia soma:
Mbowe hebu tupe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.