Askofu Dkt. Kisale: Kwanini ukitaka kusema masuala ya Haki unaambiwa hapana sema Amani

Askofu Dkt. Kisale: Kwanini ukitaka kusema masuala ya Haki unaambiwa hapana sema Amani

upupu255

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2024
Posts
418
Reaction score
550
Askofu Mkuu wa Kanisa la Menonnite Tanzania, Dkt. Nelson Kisale, amesema hofu inayotawala mioyo ya watu sasa ni zao la matendo yetu hata kutufikisha Kwenye yaliyotokea Oktoba 29 na siku zilizofuata.

Akihubiri kwenye ibada ya Noeli leo Desemba 25, 2025 mkoani Mara, Dkt. Kisale ameshangaa kuona kuwa sasa mtu akihubiri kuhusu haki, wengine humzuia na kusema “sema amani tu.”


 
Amani ni tunda la uwepo wa haki.
Lazima tupiganie haki ili tuwe na amani ya kudumu
 
Wauaji na mafisadi hawapendi haki maana haki huondoa matabaka ambayo ndio huweka tranquility.

Badala yake wanajipia upatu kuna amani kumbe ni uvumilivu unaotokana na mtutu wa bunduki.

Siku watanganyika wakianza kupata silahaa haramu ndio watajua hakuna amani bali uvumilivu kwa wasio na silaha.
 
Tunaongozwa na wanasiasa wapumbavu na chama cha mafioso ccm ccm ni kama Mexican cartels neno haki kwao ni kama kummwagia nyoka mafuta ya taa.
 
Tunaongozwa na wanasiasa wapumbavu na chama cha mafioso ccm ccm ni kama Mexican cartels neno haki kwao ni kama kummwagia nyoka mafuta ya taa.

Watawala dhalimu na Chama Cha Mashetani, kama alivyo shetani, hawataki kusikia neno haki kwani haki huambatana na utakatifu. Watawaa na CCM wamejaa uovu, kwao ukitaja haki wanaona unataka kuwaondoa.
 
Haki na Tanganyika ni maneno magumu sana kuaysikia vinywani mwa wanasiasa wahuni wa kijani na vibaraka wao
Lini haki ilikosekana tz hadi watu wa kanisani ghafla waimbe wimbo wa haki kiasi hiki?
 
Lini haki ilikosekana tz hadi watu wa kanisani ghafla waimbe wimbo wa haki kiasi hiki?
Haki ya mdude.
Haki ya polepole.
Haki ya Mzee KIBAO.
Haki ya Sativa.
Haki ya Ben saa nane.
Haki ya Lissu risasi 32.
Haki yule aliyemchora kibibi.
Haki ya wote waliotekwa bila kujulikana.
 
Haki ya mdude
Kafanyaje?
.
Haki ya polepole.
Alirudi lini toka Cuba?
Haki ya Mzee KIBAO.
Haki ya Sativa
Yupo kenya anakula hela za Ford foundation
.
Haki ya Ben saa nane.
Haki ya Lissu risasi 32.
Unamjua aliyemchabanga risasi,umepeleka ushahidi mahakamani wakashindwa mtia hatiani?
Haki yule aliyemchora kibibi.
Huyu aliachiwa
Haki ya wote waliotekwa bila kujulikana.
Wangapi,wataje
 
Sisi ni kisiwa cha amani, sio kisiwa cha haki💩
 
Back
Top Bottom