Wazolee
JF-Expert Member
- Sep 1, 2018
- 4,177
- 4,887
Hakuna sababu ya kuunda tume kufanya maridhiano na watu ambao walijipanga Kwa lengo la
kuvuruga amani ya nchi
Kuvuruga uchaguzi
Kuharibu biashara za watu
Kuharibu miundombinu ya serikali
Kuliletea Taifa letu sifa mbaya
Unakaaje meza Moja na watu kama hao ambao hawana tofauti na wahaini au magaidi
Alafu nanijiuliza maridhiano hayo ni kati ya serikali na nani ? au
Na wale vijana waliofanya Fujo
Au na wazazi wa wale vijana waliofanya Fujo wengine wakafa na wengine wakakamatwa?
Au na TEC?
Au na CHADEMA?
Mama ebu punguza huruma kidogo angekuwepo Magu tume kama hii isinge undwa
Sasa mtu kama huyu anatofauti gani na muhaini
www.facebook.com

19 comments | ...WALISHAPANGA UHAINI MUDA MREFU.. Kinachotusikitisha ni kwa Nini Mamlaka hazikuchukua hatua Kali mapema kuzia Vibaka waliovamia Vichochoro kupora, kuharibu Mali na Miundombinu. Ogopa Mungu na technology tu. | Gavana Viera Jilumbi
...WALISHAPANGA UHAINI MUDA MREFU.. Kinachotusikitisha ni kwa Nini Mamlaka hazikuchukua hatua Kali mapema kuzia Vibaka waliovamia Vichochoro kupora, kuharibu Mali na Miundombinu. Ogopa Mungu na...