amani

Amani High School, also known in German as Amani-Oberrealschule Kabul, (Dari: لیسه عالی امانی‎) is a school in Kabul (District 10), Afghanistan. From the time of its foundation in 1924 until 1985, Amani High School was recognized as one of the elite schools in Kabul and received direct support from Germany, which helped to provide qualified staff. German was not only taught as a foreign language, but also was the teaching language in the higher classes in most subjects, being taught by qualified German teachers. The school is under the control of the Afghan Ministry of Education.
After the US invasion in late 2001, the buildings had been looted and partially destroyed. Reconstruction began with German help in spring 2002. The German support has resumed, which was suspended during the reign of the Taliban from 1996 to 2001. German teachers once again came to Afghanistan to teach. However, German is now only taught as a foreign language. Classes in all other subjects are held in Dari. The school teaches children from class 1 to 12. Up to 4th grade the classes are coeducational. From 5th to 12th only boys are allowed.
Amani High School has two big courtyards, a mosque, a sports field with a football court, two basketball courts and stands. There are modern laboratories for the science departments: Biology, Chemistry and Physics. The classrooms are furnished with tables and chairs, which is not taken for granted in Afghan schools, even in the capital Kabul.
A ceremony to celebrate Afghanistan's return to education was held at the school, attended by interim Afghan leader Hamid Karzai. In 2007 Angela Merkel visited during her trip to Afghanistan.

View More On Wikipedia.org
  1. Arusha: Tawa yakabidhiwa rasmi mashamba ya Lente, Loldebes na Amani Wilayani Monduli

    SERIKALI ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Oktoba 3, 2023 imekabidhi rasmi mashamba ya Lente, Loldebes na Amani yaliyopo wilaya ya Monduli Mkoani Arusha kutoka kwa Msajili wa Hazina na kwenda kwa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) kwa ajili ya shughuli za uhifadhi na...
  2. Jeshi la Polisi tumieni Sheria na taratibu zilizopo kudhibiti mtu yeyote mwenye viashiria vya kuvuruga amani nchini

    Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Jumanne Sagini (Mb), ameliagiza Jeshi la Polisi kutumia sheria na taratibu zilizopo kudhibiti mtu yeyote mwenye viashiria au lengo la kuvuruga amani hapa nchini. Mhe. Sagini ametoa maagizo hayo alipotembelea na kukagua Kituo kidogo cha Polisi Bwanga...
  3. Septemba 21, Siku ya Kimataifa ya Amani

    Kila ifikapo Septemba 21 ya kila mwaka, Dunia huadhimisha Siku ya Kimataifa ya Amani (IDP), siku iliyotengwa na Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kwaajili ya kuimarisha Maadili ya Amani ikiwemo kusitisha Mapigano yote Duniani kwa angalau Saa 24 Kila Mtu anakumbushwa kuchukua hatua kwa Kutambua...
  4. Tanzania inakuwa kwa kasi kwasababu ya amani na utulivu

    Maendeleo makubwa ya kisekta yaliyoshamiri kila kona ya nchi, ni kwasababu ya Amani na Utulivu uliopo. Mipaka iko salama chini ya vyombo imara vya ulinzi na usalama. Uhuru wa maoni, habari, haki, demokrasia, upendo, usawa, utengamano, umoja na mshikamano miongoni mwa wa Tanzania ndio hasa...
  5. Amani, Uhuru, na Ustawi wa Kiuchumi ndiyo mambo pekee yatakayoiepusha Afrika na Mapinduzi ya Kijeshi

    Maendeleo ya Afrika yanakwamishwa na serikali zilizojaa ukandamizaji, taasisi zinazotumia rasilimali kwa faida ya wachache, na viongozi wanaoona siasa kama njia ya kujinufaisha. Misingi ya jamii inayofanya kazi vizuri na kuwajumuisha watu wote katika nchi nyingi za Afrika mara nyingi haipewi...
  6. Ukiogea chumvi ya mawe kila mtu hukuona ni mtu mwenye amani

    Moja ya athari za kuogea chumvi ya mawe ni kila mtu hukuona ni mtu wa amani, hata wahuni hawawezi kuhangaika na wewe😎
  7. Nchi pekee ambayo ukiwa upinzani basi utakosa amani

    Wasaalam wana jamvi. Nakumbuka kipindi cha nyuma tulipokuwa primary tulikuwa tunaletewa kadi za chama cha kijani na tukilazimishwa wote kusaini kama wanachama wa hicho chama. Naona sasa hiyo kitu kama bado ipo vile maana kila wanachokiona mbele ni chao. Hivi jamani inakuwaje mtu kupangiwa...
  8. L

    Mchango wa China kwenye operesheni za ulinzi wa amani barani Afrika utaendelea kuwa muhimu

    Katika miaka ya hivi karibuni hali ya usalama katika baadhi ya maeneo ya Afrika imekuwa na utatanishi, na utulivu uliokuwepo kwa miongo miwili au mitatu iliyopita, sasa unaonekana kuwa mashakani. Iwe ni mgogoro unaondelea nchini Sudan pamoja na ule wa jirani yake Sudan Kusini, au wimbi jipya la...
  9. Tafuteni kwa bidii kuwa na amani na watu wote

    Ndugu wana JF wenzangu, kulingana na andiko hilo linalopatikana kwenye kitabu kitakatifu cha Biblia, Napenda kuchukua fursa hii kumuomba radhi mtu yeyote ambaye nitakuwa nimemkwaza kwa namna moja ama nyingine. Awe mwanasiasa, kwenye chama na Serikali wale niliowahi kufanya nao kazi au...
  10. L

    China na Afrika zajenga jumuiya yenye hatma ya pamoja katika nyanja za amani na usalama

    Kongamano la tatu la Amani na Usalama kati ya China na Afrika lenye kauli mbiu ya “Utekelezaji wa Mpango wa Usalama wa Kimataifa, Kuimarisha Mshikamano na Ushirikiano kati ya China na Afrika” linafanyika mjini Beijng, na kuhudhuriwa na zaidi ya wajumbe 100 wakiwemo viongozi wa majeshi ya nchi za...
  11. L

    China ni nguvu chanya kwa amani na usalama barani Afrika

    Kongamano la tatu la Amani na Usalama la China na Afrika limefanyika hivi karibuni mjini Beijing, China. Hii ni hatua muhimu kwa China na nchi za Afrika kuhimiza kwa pamoja "Pendekezo la Usalama Duniani" la China, na pia ni ushahidi mwingine kwa China kuchangia amani na usalama barani Afrika...
  12. D

    Kuweka Ulinzi Imara: Huduma za iSecure Technology Zinavyokupa Amani ya Akili

    Usalama ni jambo la msingi katika maisha yetu ya kila siku. Tunapojali usalama wetu na mali zetu, tunaweza kuishi bila wasiwasi na kujenga mazingira bora kwa familia zetu na biashara zetu. Hapo ndipo iSecure Technology inapokuja kama mshirika wako wa kuaminika katika kujenga mazingira salama...
  13. Malasusa awa askofu mkuu KKKT, lakini walutheri wengi hawana furaha na amani, nini shida?

    Nimefuatilia mwitikio wa waumini wa kanisa la Lutheran hapa Tanzania (KKKT) baada ya Askofu Alex Malasusa kuchaguliwa kuwa askofu mkuu wa kanisa hilo hapa Tanzania. Hali imekuwa tofauti kidogo, kwa waumini kadhaa ambao nimefanikiwa kuwasikiliza ni kama vile hawajafurahia hilo au wamechukizwa...
  14. Askofu wa kanisa la Ufunuo ashutumu viongozi wa Kanisa Katoliki kwa kuingilia masuala ya siasa

    ASKOFU Mkuu wa Makanisa ya Ufunuo, Paul Bendera ameongoza jopo la Maaskofu 6 na kutoa tamko Sakata la Bandari. Askofu Charles Fortunatus aliekuwa miongoni mwa Maaskofu hao amewashutumu viongozi wa dhehebu la Kikatoliki kwakile alichodai kuwa wao ndio wamekuwa chanzo cha vurugu kwenye maeneo...
  15. Papa Francis: Suluhu ya amani ipatikane Niger

    Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani Papa Francis ameelezea matumaini yake ya kupatikana kwa suluhu ya amani katika mgogoro wa Niger kufuatia mapinduzi ya Rais yaliyofanyika katika Taifa hilo la Afrika Magharibi. DW Kiswahili imeripoti kuwa Papa amewaambia Waumini katika uwanja wa St Peters...
  16. Uteuzi: Amani Karume na Anna Makinda wateuliwa kuwa Wakuu wa Chuo

    Amani Abeid Karume, Rais Mstaafu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Anne Semamba Makinda, Spika Mstaafu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Amani Abeid Karume, Rais Mstaafu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kuwa Mkuu wa Chuo (Chancellor) cha Sayansi...
  17. Viongozi wa Dini wataka Vijana wasitumike kuchafua amani ya Nchi

    Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam, Sheikh Walid Kawambwa, amewasihi vijana wasikubali kutumika na baadhi ya watu wakiwemo wanasiasa au viongozi wa dini ambao wanakusudia kuharibu amani na utulivu uliopo nchini. Sheikh Kawambwa alisema hayo jana jijini Dar es Salaam, alipokuwa akizungumza a...
  18. K

    Kwa Sasa tutegemee wawekezaji kumiminika Tanzania. Wawekezaji wanawekeza kwenye amani, utulivu na usalama. Hongera Rais Samia

    Naweza kusema uongozi wa Rais Samia umefanikiwa pakubwa kujenga Imani Kwa wawekezaji kuwekeza Tanzania. Tanzania itakuwa kitovu Cha uwekezaji mkubwa miaka ya baadaye. Awali ya yote nichukue nafasi hii kumpongeza Rais Samia kwa kuendelea kusimamia na kuwezesha mazingira salama na tulivu ya...
  19. M

    Kuna viashiria vikubwa vya uvunjifu wa amani siku zijazo…

    Ndugu wajumbe, Natumia nafasi hii kama raia mtiifu wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kuwaandikieni nyinyi ikiwa ni sehemu ya wajibu wangu wa kiraia na wa kikatiba (1) Mosi kulinda amani ya nchi (2) Pili Kutoa maoni ya kuleta usitawi kwa nchi yangu (3) kutumia haki yangu ya kikatiba kutoa...
  20. Rais Mstaafu Dkt. Kikwete ahimiza amani katika Nchi za SADC

    Imeelezwa kuwa amani na usalama ni maneno yenye dhana pana tofauti na watu wengi wanavyoelewa kuwa amani na usalama ni kuwa huru na migogoro inayotumia silaha. Hayo yameelezwa Agosti 12, 2023 na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania, Jakaya Nrisho Kikwete wakati...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…