NCHI 10 ZENYE AMANI ZAIDI DUNIANI
Hebu fikiria nchi kumi zaidi zenye amani duniani,unaishi katika moja ya nchi hizo, watu
wamestaharabika, hamna vurugu wala uonezi wowote unaofanywa, iwe wao kwa wao na hata serikali zao, zinajali wananchi wake na mali zake,zinawasikiliza wananchi na hamna wizi...