Wakuu hodi humu,
Nimekuja na nia ya dhati kabisa kutaka Binti mmoja tu awe nami, sijali kuhusu elimu yake.
Awe tu katulia, life is too short kumanga manga. Kama nia yako imenyooka karibu PM Iko wazi tuanzie hapo.
Nawasilisha
Ninaye rafiki yangu ame download dating website templates sio app, sasa anahitaji mtu wa kumsadia kufanya installation maana tayari amesha sajili domain name na hosting ameshalipia. Just installing templates na kuweka majina. Pls njoo dm kama unaweza kazi hiyo uje na bei yako. Usije bila bei.
Anahitajika Bachelor Pharmacist mwenye leseni kusimamia Phamarcy
Location: Dar es Salaam
NOTE : SIO LAZIMA YEYE KUWEPO PHYSICALLY
SALARY : NJOO NA DAU LAKO
Mawasiliano: 0767810030
Anahitajika Bachelor Pharmacist mwenye leseni kusimamia Phamarcy
Location: Dar es Salaam
NOTE : SIO LAZIMA YEYE KUWEPO PHYSICALLY
SALARY : NJOO NA DAU LAKO
Mawasiliano: 0767810030
Anahitajika Bachelor Pharmacist mwenye leseni kusimamia Phamarcy
Location: Dar es Salaam
NOTE : SIO LAZIMA YEYE KUWEPO PHYSICALLY
SALARY: NJOO NA DAU LAKO
Mawasiliano: 0767810030
Maconcept Enterprises
Tunatangaza nafasi moja ya secretary mwenye sifa zifuatazo
1. Jinsia ya kike
2. Awe na umri usiozidi miaka 30
3. Awe uzoefu wa program mbalimbali za computer za designing
4. Awe anajua vizuri kiingereza na kiswahili
5. Awe mwaminifu na woga wa mali za watu
6. Elimu...
Nahitaji mke mkristo. Umri nimeutaja hapo juu. Awe na hofu ya Mungu na asiwe mlevi wa pombe. Mwenye upendo na nia thabiti y kujenga mahusiano imara na mume wake. Ana nia ya kufurahia ndoa yake na kunifanya mm mume wake mwenye furaha. Umri wangu ni miaka 45, mwajiriwa.
Wakuu habari za nyakati hii, nashukuru kwa mliojitokeza kwenye matangazo yangu ya awali ila kwa leo nina uhitaji na mtu wa kusimamia Ng'ombe mkoani Iringa, kijiji cha Malangali, nyumba ya kuishi ipo tayari na chakula kipo pia sharti tu awe ni mtu na familia yake ili wakifika wafanye makazi ya...
Wasalaam.
Kuna ndugu yangu ambaye yeye ni mzee wa pombe! Kila ijumaa jioni na jmosi siku ambazo haendi kazini ni mzee wa kulala bar.
Kwa ulevi wake huu anahitaji mwanamke anayependa urabu Ili kila ijumaa na jmosi wawe wanakokotana huko bar.
Mahari alipo ni Kakola Shinyanya.
Karibuni walevi...
=========UPDATE========
NAFASI ZIMEKWISHA JAA, NA HILI TANGAZO LIMEFUNGWA, ASANTE.
================
Hello bosses and roses...
Anahitajika binti wa kufanya majukumu yafuatayo kwenye kampuni inayojihusisha na utengenezaji wa software. Ataanza majukumu hayo remotely (kufanyia kazi popote alipo)...
Wadau mwenye Kujua ama kuelewa juu ya binti anayefaa Kwa Kazi Za ndani ama house girl umri 15-25 basi tuwasiliane.
Mahali Ni DAR Ila malipo ama mshahara Ni suala la maafikiano ya Pande mbili
Kwa mawasiliano nicheki Mie 0743699591
Habarini wakuu, kama kichwa kinavyojieleza hapo juu, anahitajika kijana wa kusimamia shughuli za bustani ya mbogamboga hii ni kulima na kumwagilia, mashahara laki moja kwa mwezi, awe na uzoefu, nicheki namba 0653828027
Anahitajika mwalimu wa English language, shule ni ya serikali IPO mkoa wa dodoma wilaya ya chemba (Kijijini sana ila umeme na maji vipo)
Ambaye yupo siriazii anicheki...posho IPO sio sawa na kukaa buree
0695252896
Mpishj anahitajika kwenye hoteli ya Lahe Mwanza mwenye elimu ya mapishi au uzoefu wa miaka 2 na kuendelea. Awe na miaka 35 hadi 55 mkazi wa Kanda ya Ziwa. Atapewa Nyumba na mshahara, WCF na NSSF. Mshahara majadiliano. atume barua kwa Mkurugenzi Lahe hotels SLP 6129 Mwanza simu 0739290084 au...
Anahitajika kijana (miaka 22-26) daktari wa mifugo mwenye cheti au diploma kutoka chuo kitachotambulika na serikali kwa ajili ya kusimamia Shamba la mifugo kama Bata, mbuzi, ngo'mbe na ngamia. Shamba lipo mkuranga, kata ya Bupu. Atakayebahatika kupata nafasi anatalazimika kukaa Shambani. Shamba...
Nahitaji mwalimu wa Economics kwa ajili ya kumfundisha kijana wangu. Umbali siyo tatizo, anaweza akamfundisha hata online kupitia whatsapp n.k
Mwenye sifa awasiliane nami whatsapp kwa namba: 0653250566. Aandike ujumbe mwalimu wa Economics nitaelewa.
Wakuu habari,
Anahitajika cashier wa duka lililoko Arusha. Upendeleo maalumu ni kwa binti wa kitanzania aishie Arusha aliye mwaminifu kwenye masuala ya pesa na kuhudumia wateja pamoja na uzoefu wa angalau miaka mitano (5 na kuendelea). Mshahara ni kati ya Tsh. 200,000 hadi Tsh.250,000...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.