Anahitajika binti mwadilifu wa kulea watoto wawili pale mama yao anapokwenda kazini.
Sehemu ya kazi: Kimara Stop Over, Dar es Salaam
Idadi ya watoto: Wawili
Mawasiliano ya mama wa watoto: +255689200948
Ubalozi wa Marekani, Tanzania wanahitaji Nesi.
Aliyessajiliwa, Mwenye uzoefu walau Miaka 2.
Kazi nzuri.
Kutuma Maombi fungua link hapa chini...
https://erajobs.state.gov/dos-era/vacancy/viewVacancyDetail.hms?_ref=n0dhqwvrpt0&returnToSearch=true&jnum=30260&orgId=22
Habari zenu.
Kijana mwenye nishhati (energy) ya kufanya mauzo vituo maalum tutavyompangia na kudeliver kwa wateja wetu waliopo kwa bidhaa asilia za ngozi anahitajika.
Piga 0713 039 875 (Awe Dar au Kibaha mjini).
Muhimu: sipo JF muda mwingi,tumia simu
Jinsia Me:
Miaka yangu 32, Elimu degree ya kwanza.Ninaishi Dar Kigamboni dini mkristo. Ajira binafsi
Ninahitaji mpenzi/mchumba awe mkristo (muhimu sana)
Miaka kuanzia 26-30 na mwenye shughuli ya kufanya( for a living)
Sio mweusi sana na asijichubue
Mwenye sifa karibu Pm tuyajenge.
Anahitajika Afisa Mikopo elimu iwe diploma au degree, intern pia katika fani ya microfinance anahitajika mmoja au wawili, anaye hitaji kazi hii natakiwa awe anaishi Meru au mpakani mwa Arusha na Moshi au Wilaya ya Hai maeneo ya Bomangombe. Intern anahitajika mmoja au wawili katika fani hiyo...
Natafuta mwalimu mzuri wa EGM kwa ajili ya kufundisha tuition vijana wa form six kuanzia tarehe 7/12/2021 – 23/12/2021. Idadi ya vijana ni sita na wote wapo Arusha. Kwa ambae yuko interested njoo inbox.
Habari Jukwaani. Tunatafuta Muhasibu mwenye level ya Degree kwa ajili ya kazi za Kihasibu. Maomba yanaweza kutumwa mwenye email csmsola@gmail.com au Kwa whatsup number 0713664912. Hakikisha umeambatanisha CV na Vyeti. Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 15 November. Karibuni
Wasaalm wanabodi
Kama kichwa cha habari kilivyo, Kijana wenu usiku wa leo nimeibiwa nyaya na vifaa vya wiring ya nyumba. Nomba msaada mtaalam wa kuweza kufanikisha vikarudi au mwizi kupatikana.
Niko Morogoro mjini.
Mnakaribishwa PM
Picha
Update*
November 8, 2021
Wakuu nashkuru sana kwa...
Shule hulia ya Planet inahitaji mwalimu wa kufundisha masomo ya Accountancy na Commerce kwa level ya O-level na A-level.
Plaet inapatikana jijini Mwanza karibu na Nyanza shule ya msingi barabara ya Balewa mtaa wa Nera. Kwa mawasiliano zaidi: 0737-988 897 au e-mail: planetopenschool2@gmail.com...
Tumshukuru Mungu, Hakuna kinacho shindikana mbele zake.
Anahitajika Muuzaji wa DLDM, sifa zifuatazo.
1.Awe binti/Mwanamke
2.Umri chini ya miaka 23.
3.Awe amehudhuria mafunzo ya ADDO na awe cheti.
4.Awe tayari kufanya kazi mazingira ya vijijini.
Bonus.
1.Sehemu ya Kulala
2.Chakula cha Mchana...
Salaam. Mdau mjuvi na mpenzi wa mafanikio ya binadam mwenzie anisaidie kupata mteja wa vanilla wa uhakika hasa wa nje kuanzia kg 100. Na haizid kg 150.
Asilia Natural Cosmetics tuna uzoefu wa zaidi ya miaka 5 katika kuendesha mafunzo kwa vitendo ya bidhaa za nyumbani. Na sasa tumekuja na formula rahisi ya kuwezesha uzalishaji wa sabuni ya kipande papo kwa papo bila kusubiri masaa 24 wala kutumia jiko, wala kutumia mashine.
Hivyo, tunahitaji...
Habari wakuu
Nahitaji secretary, jinsia yoyote ,umri wowote, mwenye uzoefu wa kupigia simu wateja, kupanga mikutano, kukumbusha madeni n.k. Anaweza fanyia kazi online, ila akiwa Dar au Kibaha ni bora zaidi.
Piga 0713-039 875
Planet Open School ni taasisi inayochojihusisha na utoaji wa elimu kwa wale wanaojiendeleza kielimu.
Taasisi hii inahitaji mwalimu wa biology na chemistry mwenye uwezo wa kufundisha kuanzia kidato cha kwanza hadi cha sita.
Mwalimu atakuwa na vipindi vitatu kila week kwa kila somo. Baada ya...
Habari wakuu,
Anahitajika kijana mchapakazi mwenye ujuzi wakutengeneza video za katuni (animation). Kama una hicho kipaji,tengeneza 'clip' yenye maudhui yafuatayo na utume kwenye email: businessideas2f@gmail.com ,mwisho wa kutuma ni tarehe 30/09/2021; malipo kwa mwezi yataanzia 250,000/=...
Habarini Wana jukwaa
Nahitaji investor serious awe na uelewa hata kidogo wa masuala ya online volatility index trading. Kiwango cha chini cha investor huyu kianzie Million 5. Nafanyia kazi mahala alipo yeye yaan nakuwa naye muda wote .
Kiwango Cha chini Cha faida katika uwekezaji wake ni 30%...
Habari
Tumefanikiwa kufungua kituo cha Tuition maeneo ya Charambe Majimatitu, mwezi ujao tunafanya programu ya Pre-Form One kwa wanaomaliza darasa la saba.
Tumefanikiwa kuweka matangazo ya kitambaa na karatasi.
Cost zilizobaki
A) kwenda mashuleni (shule 5).
B) Vipeperushi & T-shirt
C)...
Habarini wakuu,
Nilikuwa nahitaji kijana wa kukaa DUKANI (uuzaji)
- Ni duka la jumla lipo maeneo ya Gongo la Mboto
VIGEZO
Awe anajua kusoma, kuandika na kuhesabu (kuanzia kidato cha nne na kuendelea)
Jinsia yeyote
Awe mkazi wa Dar-es-Salaam
Awe na uzoefu wa kazi za dukani
Awe mtiifu na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.