anahitajika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Namche Bazar

    Mwalimu wa Chekechea anahitajika.

    Habari za leo? Mwalimu wa Chekechea ya English Medium (shule ya awali) anahitajika kwenye shule iliyopo Kilapula,Tanga. Anahitajika mwalimu mwenye taaluma ya ualimu na mzoefu na watoto. Mwenye sifa tajwa tuwasiliane PM.
  2. James_patrick_

    Kwa mwenye kuhitaji dereva mwenye sifa nzuri, napatikana

    Habari! Jina langu naitwa James Patrick nina miaka 24. Naishi Kunduchi, Dar es salaam. Elimu yangu mimi ni kidato cha nne na tokea nikiwa mdogo nilikuwa napenda sana magari. Kwa sasa fani yangu ni udereva ambao nimeanza tokea 2014, na nimefanya kazi kwenye kampuni nyingi tu, kitu ambacho...
  3. mitindo huru

    Anahitajika msichana/mwanamke kwa ajili ya IVF

    IVF kirefu chake ni In Vitro Fertilization. IVF ni jambo la kurutubisha kwa kuunganisha mbegu za uzazi za mwanamme na yai la uzazi la mwanamke maabara, baada ya hapo zoezi linalofatia ni kupandikiza ujauzito kwa mwanamke kwa njia ya sindano kisha ujauzito utaendelea kukua kama kawaida kwa mda...
  4. Investaa

    App and Laravel Developer anahitajika haraka. Awe Dar

    Habari wataalam, husika na kichwa cha habari hapo juu. Uwe unajua android sawa sawa bila kusahau laravel framework. NJOO PM, UWE DAR MAANA NATAKA NIONANE NA WEWE LEO LEO.
  5. Azim Sokoine

    Anahitajika mtu kwa ajili ya kazi za miamala

    Habari wakuu, Anahitajika mtu kwa ajili ya kazi za financial transatcions awe mwanamke eneo la kazi ni Dar es Salaam.
  6. F

    Kazi, Mtu 1 Anahitajika/ Malipo 1500/day

    Habari zenu ahsanteni wote mliokua interested na thread hii😊, nimerudi kuwajulisha tayari nimeshapata mtu. Kwa ambao mme ni dm will consider you kama ikitokea kazi nyingine, til next time💯
  7. KISUNZU YP

    Anahitajika Muuzaji wa Duka la Dawa Muhimu (DLDM)

    Habari za muda huu wadau. Anatafutwa mtu wa kuuza duka la dawa muhimu. SIFA Awe na ADO Awe mwaminifu Awe mwadilifu Awe na ujuzi wa kutoa dawa kwa usahihi Sehemu ya kazi ni Sikonge - Tabora Siku za kazi ni Jumapili - Ijumaa Mawasiliano 0620860602 0621601703 0744200166 0764601703
  8. Equation x

    Bingwa wa 'software' anahitajika

    Habari wakuu? Nahitaji mtu anayeweza kutengeneza software ya 'animation', yaani ya kutengeneza 'video' za katuni. Hiyo 'programme' iwe na angalau sifa hizi:- Iwe ni rahisi kutumia Iweze kutumia lugha mbili kiingereza/kiswahili Iweze kutengeneza 'character' wa aina yoyote 'Back ground' iwe...
  9. saemonity

    Mtaalamu wa MATLAB anahitajika

    Peleni na majukumu. Natatafuta mtu mwenye ujuzi na programu ya MATLAB, sana sana kwenye Signal processing. Lengo ikiwa ni kutengeneza project. Kama unaujuzi huo na unaweza kuniongoza kujenga project kwenye programu husika naomba uni PM, malipo yapo.
  10. T

    MWALIMU WA CHEKE CHEA( AWALI) ANAHITAJIKA

    mwalimu anahitajika mwenye sifa kuu zifuatazo *elimu ya cheti au diploma *awe na uwezo wa kuwafundisha matukio watoto ya kwenye mahafari( garaduation) *awe na uwezo wa kufundisha masom ya baby mpaka pre unity *mshahara ni maelewano *simu 0686138399 *eneo ni dar- kinondon- kata ya kawe.
  11. enelisamwakapala

    Mwalimu wa Chemistry na Mathematics anahitajika

    1.Anahitajika mwalimu anayeweza kufundisha o level Chemistry na Mathematics 2.Starting salary 400,000/= wakati wa probation ya miezi mitatu 3.Shule iko kibaha 4.Nitumie Cv yako inbox
  12. RingaRinga

    Mchoma chapati anahitajika

    Ndugu habarini. Nina kamgahawa kangu. Nahitaji kijana wa kike au kiume kwa kazi ya mgahawa. Mwenye uwezo wa kuchoma chapati zilizochambuka (zisizo na mafuta mengi), mwaminifu, itapendeza zaidi kama anaweza pia kupika wali mzuri sufuria kubwa kuanzia kilo kumi na mapishi mengine. Malipo...
  13. makaveli10

    Anahitajika mtaalamu (mganga) wa kumgandisha mwizi na mali aliyoiba sehemu alipoibia

    Ndugu zangu nimekwama, tena nimekwama haswa. Nimegadhibika pasina mfano 😠😡, mimi si mtu wa kwenda vilingeni ila kwa hili Mola wangu anisamehe sana. Shambani nina minazi takribani 100 ila siambulii kitu, Hawa waduwanzi naona sasa wanaleta mazoea yasiyovumilika. Zamani kila baada ya miezi mitatu...
  14. Dr Matola PhD

    Nafasi ya kazi, anahitajika minning engineer haraka sana.

    Taarifa ya ajira anatakiwa mining engineer haraka sana eneo la kazi ni sumbawanga. Mwenye sifa tuwasiliane bila kuchelewa uingie kazini.
  15. M

    Graphics designer anahitajika haraka

    Sifa Uwezo wa kuandaa matangazo ya video, animations, posters, banners, n.k Moyo wa kufanya kazi ya kujitolea Kituo cha kazi itakuwa Goba, Dar Es Salaam Hata akitaka kufanyiakazi nyumbani kwake/kazini kwake ili Mradi malengo ya kampuni yatimizwe kwa- wakati Mshahara ni TZS 300,000 kwa- mwezi...
  16. F

    Mwenza anahitajika

    Mimi ni mwanaume miaka 35, sijawahi kuoa, nimejiajiri, dini mkristo, niko Dar. Natafuta mwenza wa kike umri 28-33, awe anajishughulisha, awe mkristo na asiwe na mtoto, awe anakaa Dar.
  17. miss_monrhoe

    Nail artist(Mtu wa kutengeneza kucha) anahitajika haraka..

    Anatafutwa mtengeneza kucha.Atakuja siku nne za mwisho wa week tu. Siku nyingine akafanye issues zake.Kwa maana kwamba atafanya kazi siku 16 tu za mwezi. Mshahara atachagua alipweje. 1. 200,000 Tshs kwa hiyo Alhamisi, Ijumaa, Jumamosi na Jumapili atakayokuja. 2. Hakuna mshahara wala...
  18. N

    Ubunifu wa Manara umeshuka, Mwijaku anahitajika haraka

    Baada ya Mwijaku kulalamika kwamba Mo Dewji ana dharau hapokei simu zake na ya kwamba tajiri wa yanga Gharib huwa anamualika mara kwa mara pale salamander nili break news kwamba yupo kwenye negotiation ya kuhamia yanga kwa kupewa millions 60, gari kali pamoja na kupangiwa nyumba masaki Wengi...
  19. GoodHB

    Natafuta mpenzi aje kuwa mke

    Hello babe, nimekusubiria kwa muda mrefu sana, sasa nimejitokeza hadharani kukukabirisha katika maisha yangu. Please dada/mwanamke anayejielewa aje inbox chap tukamilishe agano muhimu duniani. Njoo tusaidiane kutimiza ndoto zetu na kuenjoy maisha yetu hapa duniani. SIFA ZAKE Awe smart kichwani...
  20. J

    Uwezekano wa Mbowe kustaafu 2023 ni mdogo sana kwa sababu anahitajika sana kwenye Maridhiano

    Wore tunakumbuka kuwa Freeman Mbowe aliahidi kuachia nafasi ya mwenyekiti wa Chadema ifikapo 2023 Tena alisema anatamani nafasi take ichukuliwe na mjumbe wa Bawacha Ila kea hiki kikosi kazi kipya cha wajumbe 20 kutoka Chadema na CCM kinavhoratibu siasa za Tanzania mpya ni wazi Mbowe itabidi...
Back
Top Bottom