Sifa zangu
Elimu: degree
Kazi: nimejiajiri (phone accessories)
Mahali Kanda ya ziwa
Umri: 30
Dini: pentecoste
SIFA ZA MKE
Elimu: kuanzia form 4
Umri: chini ya 30
Dini: mkristo akiwa na vocal ya kuimba itapendeza zaidi
Awe mrembo na mwenye shepu yakuvutia
NOTE: ASIWE NA MTOTO KABILA LOLOTE...
Habari ya wakati huu!
Natafuta mpenzi ambaye baadaye ikimpendeza Mungu atakuja kuwa mume na baba watoto wetu. Sina vigezo vingi.
Awe mcha Mungu(mkristo), umri kuanzia 32yrs hadi 40yrs, Single na kama akiwa hana mtoto itakua vizuri zaidi, Kama anaye basi asizidi 1, awe mrefu ft 5.8 na...
Habarini wadau,
Kuna mdau anahitaji mtu mwenye cheti cha labour base kwaajili ya kufungua nae kampuni ya labourbase contractor kama upo tayari njoo ni kulink nae wakiwaa tatatu itakuwa vizuri zaidi maana wadau ni wengi kulingana na soko la specialist contractors kwenye indutry ya ujenzi wa...
Kichwa cha habari chajieleza,
Anahitajika kijana mdogo na mchapakazi mwenye umri kuanzia 18-20 atakayefundishika kutengeneza bidhaa
tajwa hapo juu, kisha kuzichukua na kuzipeleka eneo la mauzo. ipo mashine ya kutengenezea.
Umri huu wengi hawatumii jf, lkn lengo ni kama wewe mwanajf una kijana...
Anahitajika msichana wakuuza Duka la vipodozi.
Vigezo:
Awe na uzoefu wa kuuza duka la vipodozi
Elimu atleast form 4, awe anajua hesabu vizuri.
Kituo cha kazi kipo Tandika Dar es Salaam.
Ambae atakua tayari anicheki PM.
kituo cha afya mkarama kinatafuta security kwa ajili ya kuweka usalama eneo la hospital...sifa awe ni kidato cha nne na awe amepitia mafunzo ya jeshi la kujenga taifa, kwa mawasiliano zaidi nicheki pm
Anahitajika msichana wa kusimamia ofisi ya miamala ya Tigopesa.
Vigezo
awe na uzoef kwenye kazi hiyo au uzoef katik tasnia ya uwakala.
awe mtu wa kujituma na mwenye lugha nzuri kwa watu wote.
asiwe mtu wa hasira au dharau.
awe na uwezo wa kujisimamia mwenyewe na kupangilia mambo katka ofisi...
Wakuu Salaam.
Baada ya kuanzisha Uzi wa kutafta mwanamke ambaye anaweza kupga jembe(kulima) nimekosa hata mmoja wa kuja PM.
Sasa imenibdi nibadlishe vigezo sahivi natafta mwanamke yoyote anayepumua tu! Akiwa mkoa wa Geita au karibu na hapo itakuwa poa sana.
Natanguliza shukrani za dhati...
SIFA ZANGU
Mwanaume mrefu Fut 5.6,
Mweupe, Macho ya Brown,
Mfanya Biashara Tanga Mjini,
Nipo ( SINGLE ).
SIFA ZA MCHUMBA WA KIKE.
Awe mrefu wastani/ Mfupi sawa,
Dini yoyote,
Awe Tanga / Mkoa mwingine,
Awe tarari kuanza Mahusiano mapya,
Awe na upendo wa dhati.
Kwa aliye tayari naomba Ani...
Dada wa kazi za nyumbani anahitajika, nyumba ipo Kinondoni studio Dar es Salaam.
Kuna dada mwingine yupo anahitajika mwingine wa kusaidiana naye.
Kazi za kawaida za nyumbani na malezi ya Watoto.
Kazi sio ya kuja na kuondoka ni ya Kuishi apo apo.
Mshahara utakuwa makubaliano baina ya pande...
Mimi Nina Bajaji RE 250 Nimeinunua Mwezi Wa 3 ipo Arusha, Kazi Zangu Nyingi Zinanifanya Nisiwepo Arusha Hivyo Usimamizi Unakua Mdogo Na Madereva Wakishajua Haupo Wansumbua kutoa Hesabu Ya Day
Hivyo Nahitaji Dereva Anayetaka Bajaji Ya Mkataba
1) Awe Na Leseni na kitambulisho cha taifa (NIDA)
2)...
Kwema wazee, natafta kijana mzoefu wa biashara ya kuuza juice ya miwa awe na sifa zifuatazo
Chini ya Umri wa miaka 25
Awe mzoefu wa biashara ya juice ya miwa hasa eneo la Kariakoo na Mbagala
Awe na ujuzi wa kuifanyia service mashine
Awe ameshapoint eneo la kufanyia kazi lenye mzunguko mzuri ...
Fundi simu anahitajika kama kichwa ya habari inavyosema hapo juu,fundi ninae muhitaji ni fundi makini,anaejua kazi,anaejua majukumu ya kazi yake Maeneo yote mawili software na hardware.
Japo matatizo ya software sio mengi lakini fundi mwenye anajua basic tips za kuondoa FRP,FLASHING TOOLS,nk na...
Nakumbuka hapo nyuma 2010 - 2015 kipindi nipo sekondari form 2 hadi 6 nilikuwa nipo active sana linapokuja suala la sketi, nilikuwa dunga dunga.
Ila pamoja na utukutu wangu huu nilianza kuwaogopa mabinti ambao wapo karibu na baba zao.
huko nyuma form 3 niliwahi kuwa kwenye penzi zito na binti...
Msaidizi wa kazi za IT Anahitajika.
Vigezo
Awe anajua kusoma na kuandika vizuri kiingereza
Awe na simu ya smart phone
Awe na uelewa kiasi jinsi ya kutumia computer
Awe anajua kutype kwenye computer
Ofisi ipo Makumbusho Dar es salaam
Kwa alikwepo tayari atume message inbox ikiwa na maelezo...
TANGAZO LA KAZI:
Position: Insemination Officer
QUALIFICATION:
*Certificate/Diploma in Animal welfare and/or Laboratory technology or related activity
*Recent Graduates are highly recommended
* Tanzanian
Key skills/knowledge.
Experience in Animal Health, Behaviour and welfare
Experience in...
Description
To work as a cashier
Minimum Education O-Level
QUALIFICATION: Minimum NBAA DIPLOMA IN ACCOUNTS
Send your CV and application letter to: teseandtecho@gmail.com
Deadline; 10 JULY 2023
Husika na kichwa Cha habari hapo Juu, anahitajika Mdada mwenye Uzoefu na Kazi za Microfinance.
Sifa awe na Elimu Diploma ya Finance, Business Administration or Marketing. Awe na uwezo wa kufanya kazi bila kuhitaji kusimamia, Awe na uwezo wa Kutumia computer programm eg Excell , access, or...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.