anahitajika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. daydreamerTZ

    FREELANCER WA ZANZIBAR ANAHITAJIKA

    Habari wanaJF NInahitaji mtu mwenyeji wa zanzibar, awe anauelewa kidogo na taaratibu za kiserikali zanzibar. Call 0693410889
  2. Royal Son

    Nakuja mara ya pili Mchumba anahitajika

    Nakuja mara ya pili Mimi ni kijana wa miaka 33 Kazi: Umachinga,Udereva na utalii Dini : Mkristo Mkazi : Arusha Kabila : Mchagga Elimu : Diploma Vigezo vya mchumba Awe zaidi ya 23 Na isiyozidi 29 Dini awe mkristo Mkazi awe wa Arusha Asiwe na mtoto tu Kabila,Elimu na rangi sio issue saana Ukiwa...
  3. M

    Pre GE2025 Lissu aelewe Ukomo wa Madaraka siyo kwa wenzake tu hata yeye anahitajika kupisha Damu Changa

    Niendelee kutanguliza Msimamo wangu kuwa mimi pia ni Shabiki wa Lissu nakubali akili kubwa aliyobarikiwa,uwezo wa kujenga na kupangua hoja, Uwezo wa kusimamia anachokiamini hadi mwisho, Ujasiri, na hivi karibuni kanifurahisha aliposema hata akishindwa hatatoka CHADEMA ingawa kwa analysis...
  4. G

    Mwanamke wa kuoa anahitajika, awe na Garden Love

    Wakuu kwema? Kuna ndugu yangu anatafta mwanamke wa kuoa lakini shart lake awe na garden love za kutosha. Nawasilisha.
  5. G

    Mume na Baba wa familia anahitajika

    Mwanamke miaka 33 natafuta mume ambaye yuko serious kuanza maisha ya familia pamoja,awe na sifa zifuatazo. umri kuanzia miaka 33 hadi 40 awe Mkristo Elimu kuanzia bachelor degree na.... awe ameajiriwa/kujiajiri kama hana mtoto au anaye ni sawa awe mrefu. Mimi miaka 33,mkristo,sina...
  6. M

    exporter wa kahawa anahitajika

    anahitajika exporter coffee
  7. The Boss

    Wakili best wa kesi za Ardhi anahitajika...

    Naomba kama kuna wakili mkali mwenye rekodi ya uhakika ya kesi za Ardhi nitajiwe hapa ...nna ndugu Wana kesi za Ardhi zinawasumbua sana... Natanguliza shukran
  8. BARDIZBAH

    Mwalimu wa Physics na Mathematics (form 1-6) anahitajika mshahara mnono.

    Vigezo 1. Jinsia yoyote 2. Ayamudu masomo yote vizuri o level na A level 3. Uzoefu wa miaka kuanzia 2 4. Akiwa muislamu atapewa kipaumbele zaidi. Kazi haina udalali tuwasiliane hapa <karibukwetutu@gmail.com> Tuma vyeti yako kwa email hiyo na CV yako.
  9. EMMANUEL JASIRI

    Mke mwenye hizi sifa 16 anahitajika haraka

    Vigezo; 1. Miaka 30 Mpaka 41 2. Amezaliwa Mara ya Pili. 3. Amejazwa Roho Mtakatifu. 4. Amebatizwa Maji Mengi. 5. Anaipenda na Kukubali Huduma ya Boniface Mwamposa Pamoja na Mitume na Manabii Wote Wenye Makanisa. 5. Aliye Tayari kuwa Mama Mchungaji. 6. Aliye Tayari kuishi mazingira Yoyote...
  10. D

    Dereva anahitajika Hotelini

    Dereva anahitajika kuendesha gari daraja la CAu D umri miaka 40 mpaka 50 itafaa kubeba wageni kupeleka airport. 0754290084
  11. 90sgeneration

    ANAHITAJIKA MTU WA MARKETING IN SOCIAL MEDIA HARAKA.

    Happy Sunday Binti wa sales and marketing (msichana) anahitajika kwenye kampuni. Hakuna vigezo vingi -awe anajua vizuri kutumia social media (instagram, facebook, x (twitter), ticktock nk. -Awe anajua vizuri kufanya sales na on time in social media. location : Darces salaam Salary kwa...
  12. 90sgeneration

    Mfanyakazi wa Kike (House Keeper) Anahitajika Haraka. Mshahara Mzuri

    House KEEPER ANAHITAJIKA. Umli miaka 22-30 Kituo Cha kazi ni Mikocheni Daresalaam Kwa mawasiliano zaidi Mshahara Mzuri + malazi + huduma zingine kama ukiumwa nk. Karibu sana UPDATES : maombi yanafanyiwa kazi yaliyotumwa, hivo tusiendelee kutuma. Asanteni sana wakuu.
  13. Achimwene2014

    Muuzaji wa simu mpya aina ya Infinix anahitajika

    Wakuu kuna dada mmoja anajihusisha na uuzaji wa simu za Infinix ila simkumbuki na uzi wake sijaupata humu jf. Hivyo kama bado anaendelea na huduma hii naomba tuwasiliane. Nawasilisha.
  14. M

    Anahitajika Youtube content creator

    Wakuu habar zenu Natafuta Mtu anaweza kutengeza content za youtube Aina ya content ni zile zinazohusu Simuliz mbalimbali za kimaisha Simulizi ziwe interesting na za kusisimua Sharti uyo mtu awe mkoa wa mbeya
  15. TheForgotten Genious

    A serious woman to Marry is needed

    I need a woman with a good shape to marry from all Tribe except a Haya, Nyakyusa, Nyaturu, Jita, Kurya,Chaga,Ngoni and other related to those. should be aged 25 to 30. Able to understand shortly and hardworking. Any level of education in any Falcuty ,but those with finance,accounting,Computer...
  16. greater than

    Architect specialized in 3D Visualization, anahitajika...

    Kama kuna dogo yoyote ambaye ni mhitimu wa fani ya Usanifu majengo.... Mwenye uwezo wa kufanya 2D na 3D render, Amemaliza kuanzia mwaka 2020 Anicheki inbox chap chap
  17. C

    Dalali wa kuuza nyumba Dar anahitajika

    Aisee Kuna nyumba Iko dar imegoma kuuzika kama kama mwaka saa hii😀 Sasa kama Kuna dalali hodari anicheki Whatsapp au normal namba naacha hapo chini, nitakutumia picha na kila taarifa bei tutajadiliana ilimradi pauzike 0622905303
  18. Wernery G Kapinga

    Mwenye taaluma ya housekeeping anahitajika

    Mwenye taaluma au Uzoefu wa House KEEPING ANAHITAJIKA. Kituo Cha kazi ni Wilaya ya MBINGA RUVUMA. Kwa mawasiliano zaidi 0621538913 Mshahara Mnono mnoo. Karibu sana
  19. S

    Anahitajika mpishi mzoefu wa kupika kwenye Mgahawa

    Mpishi mzoefu anahitajika, Kupika kwenye Mgahawa, mahali, Kivule Bomba mbili, Dar es salaam. 1. Ambaye atakuwepo masaa 24, 2. Ajisimamie mwenyewe. 3. Atafute mwenyewe, wafanyakazi atakaofanya nao. 4. Afanye aina zote za vyakula, vinywaji. Chips na aina zote za vyakula mchana, Asubuhi aina zote...
  20. E

    Anahitajika kijana wa kusambaza Viazi vitamu na Magimbi

    Salaam, Ninao wateja wa uhakika kwa baadhi ya hotel za hapa D'salaam na makazi ya watu(apartiments nyingi) Anatafutwa mpeleka mzigo kwa baadhi ya ofisi pale mtaa wa Nkurumah( Aura tower, Rissa tower....etc) na jengo la TPA posta. Anitafute PM, kwa mawasiliano. Pia kwa wanaohitaji mzigo kwa...
Back
Top Bottom