Tuna tegemea kuwa na Kiwanda kidogo cha kuzalisha chakula cha mifugo aina mbalimbali, tunahitaji mwenye ujuzi na awe na uzoefu huo kwa kazi husika.
Kwa yeyote mwenye ujuzi huo namkaribisha
Pm
au email; godfreycyp@yahoo.com
TANGAZO
Anahitajika Mfanyakazi wa kike mchapakazi kwa ajili ya kazi za Stationery.
Awe Mwaminifu na mdhamini mwenye makazi ya kudumu.
Awe anajua Microsoft office(Ms Office , Ms Excel, PowerPoint, Ms Publisher) vizuri na Software angalau Moja ya Adobe.
Awe anajua kupiga passport na kuprint...
Mwanaume
Naishi Dodoma kikazi.
Umri wangu 39.5
Watoto 2mapacha , mama yao alkwshaorewa
Dini:mkristo
Kazi:nmeajiriwa na serikali
Mweusi mimi sio sana
Nahitaji mke
Umri 25-35
Awe mweusi kidogo
Watoto1 au wawili tutaangalia au asiwe nao
Mkristo
Awe na heshima na ajue kupiga goti kwenye kabila...
Habari ndugu,
Anahitajika kijana Mwenye ujuzi wa Masoko na Biashara, hasa kwenye fani ya Afya, eneo KILUVYA MADUKANI Dar es salaam.
Vitu muhimu;
Awe anaishi Eneo ambalo Sio Mbali Sana na Kiluvya,mf Kibamba, kibaha n.k
Awe na umri miaka 20-25
Kwa mawasiliano 0758918144 whatsapp only
Anahitajika secretary kazi ya mwaka ila inaweza kuwa inaongezwa muda.
SIFA
-ajue computer vizuri
-awe mchapa kazi kuna wakati ofisi inafungwa saa 12.
-Awe mwepesi kujifunza
-Awe mwaminifu
-Aweze kufanya kazi kama team na wafanyakazi wengine .
-umri kuanzia 18–45yrs
Maombi yatumwe...
Eneo Duka Lilipo : DAR - STOP OVER
MAJUKUMU :
1.Kuuza Vitu Dukani
2.Kuwashawishi Wateja Kununua Kwa kuwaelezea Faida na Hasara ya Kutotumia Bidhaa Husika.
3.Usafi wa Vitu na Duka Zima kwa Ujumla
4.Ku record Mauzo ya Siku husika/Matumizi ya Siku Nzima,nk.
SIFA ZA BINTI ANAEHITAJIKA
1.Uwe...
Habari ndugu?
Nina mchele Kigoma Malagarasi(Musoma) nahitaji namba za dereva muaminifu anibebee kuja Morogoro. Zipo gunia 8 za kilo 100.
Karibu Pm.
NITALIPIA
Kuna karakana ndogo inahitaji fundi wa kushona viatu vya kiume hasa travolta.
Mjuzi, awe na uwezo wa kutengeneza hivyo viatu na vionekane vipya kabisa.
Malipo kwa kila pea ni sh. 5000/=
Kama una huo ujuzi, na huna kazi kwa sasa; njoo ujumuike na timu yetu kwa kazi.
Karibu pm, kwa mwenye ujuzi tu.
Kazi yangu biashara ndogo ndogo
Kipato kwa mwezi ni 150,000 ,tukiungana kitaweza ongezeka
Umri wangu miaka 35
Sina mtoto na sijaoa
Mrefu wa wastani na mwembamba
Sifa za mke
Awe 25 yrs na kuendelea
Asiwe single Mother
Rangi yoyote zaidi zaidi mweusi
Elimu isizidi diploma
Mwalimu atapewa...
Hello Guy's kama kichwa kinavyo someka Binti / Mwanamke aliye single anahitajika:
Sifa za Mwanamke:
- Mwenye: heshima, Nidhamu, Utii, Hekima, Uvumilivu.
- Umri: Miaka 25 - 45
- Ukazi: Dar es salaam / East Africa
Sifa za Mwanaume:
Mrefu, Mweupe
Mwenye hofu ya Muenyezi Mungu
Mpole, Mcheshi na...
Sina mambo Mengi sana ipo hivi nataka mshirika aliye serious tufanye ushirikiano wa kula hela japo ndogondogo kila siku formula hii hapa yeye Atachagua team moja ya GG Na Mimi nitachagua yangu moja kisha tutazicombine na angalau zikitoa maximum odds ya 3 basi tunaweka mzigo wa 20000 yeye 10000...
Wasalaam,
Nafasi ya professional Auditor specialized in Tourism & hospitality industry.
Location-Arusha (Njiro)
Majukumu:
Auditing
Tax (TRA)
Brela
Nafasi ni Full time/Part time (freelancer).
For more informations please PM.
Wasalaam.
Wakuu heshima itawala..
Nisiwachoshe maana January hii ngumu sana.
Natafuta mtaalamu anaejua machimbo/magodaoni yenye nguo kali za mtumba ( Mabalo kutoka Uturuki au Dubai) na mwenye utaalamu wa kuchagua tufanye biashara. Kazi yake itakuwa ni kunipa mwongozo, mm nitakuwa nachukua naend kuuza...
Wanawake wa JF,
Husika na mada tajwa hapo juu.
Waziri Mkuu anahitajika kwa minajili ya kuisimamia serikali ili kuleta amani, upendo, furaha na maendeleo ndani ya familia ambayo Mungu atatujalia kuanzisha pamoja.
Naomba ifahamike kuwa nchi yeyote Ile duniaini ili ifanikiwe inahitaji serikali...
Habari wakuu, tunahitaji mpiga bass guitar wa kila Jumapili kwenye ibada kanisani, muda kuanzia saa tatu mpaka saa tano na nusu. Masaa mawili na nusu kila Jumapili, kwa bei ya 15000/= kila Jumapili. Tupo Zanzibar, guitar lipo nyuzi tano ni jipya halijatumika hata kidogo.
Atakaeridhia kwa hiyo...
Mdada/Mkaka (Sio Mmama/Mbaba) Anahitajika Kijana ambae ana muonekano wa Kijana atakae weza kufanya kazi ya Usafi na kusafisha Bidhaa zilizopo Ofisini.
Majukumu Yake ni Kuhakikisha Sakafu Safi wakati wote,Viti vya wateja,Makabati vinafutwa Vumbi wakati wote.
Ki ujumla Usafi Usafi Usafi Kauli...
Wakuu nahitaji chumba cha kupanga kiwe Tanga mjini mtaa wowote ule kiwe chumba kimoja ambacho kinajitegemea tafadhari niambie bei yake hapa baada ya hapo nitumie namba PM.
Ova.
Shamba lipo hapo Wilaya ya Kisarawe. Majukumu ya kijana ni kuweka mazingira sawa, kulima na kuhakikisha majani hayaoto kwenye shamba husika.
Shamba ni la heka 2, halijapandwa zao lolote lina majani. Kuna nyumba katikati ya shamba ambayo ndio makazi ya kijana husika.
Nyumba imekamilika inayofaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.