Mimi ni mwanaume miaka 37 mwajiriwa serikalini, ninae mtoto mmoja wa kiume miaka 14 sasa, mkatoliki.
Naomba mwanamke mwenye uhitaji aje tuzungumze 0769499326
Anahitajika mpangaji binafsi au taasisi kwa ajili ya kupanga nyumba kubwa yenye fence kubwa ya viwanja viwili double vya low density.
Eneo ni Kinyerezi mwisho bomba la Songazi ni mita kama 200 kutoka barabara kuu lami.
Matumizi unaweza kufanya ofisi au Dispensary itategemea na plan za...
Habari ndugu zangu,
Waswahili wanasema katika maisha ni muhimu kuwatafutia wanao mama aliye bora.
Na hivyo bila hiana nimeona humu JF naweza pata mke bora maana naamini humu watu wenye sifa ya kuwa wake bora wapo wengi hivyo kama una sifa hiz karibu;
1. Uwe muislamu
2. Uwe na rangi atlest...
Habari wa jukwaa natumaini ni wazima,Nina kimeo carry ya quantitive Technics Postgraduate natakiwa ndani wiki mbili zijazo nikafanye mtihani,please naomba nipate mwalimu wa kunibrush niweZe kuchomoka, 2hrs per day ,Malipo ni mazuri nikichomoa supplementary bonus pia nitatoa
Natanguliza...
Muda wa kazi
Saa 4 Usiku - Saa 4 Asubuhi
Majukumu: Wakala Mitandao ya Simu
Mshahara 200,000
Mawasiliano: PM
Eneo la kazi: Mbezi Mwisho
VIGEZO NI VILE VILE KAMA 👇
https://www.jamiiforums.com/threads/anahitajika-binti-mwenye-uzoefu-na-kazi-ya-uwakala-wa-pesa-mitandao-yasimu-na-benki.2212350/
Awe na uzoefu wa kutumia 'software' yoyote ya 2D kutengeneza video ya katuni
Awe na uwezo wa kutengeneza video ya masaa 10 kwa mwezi
Awe na elimu yoyote kuanzia darasa la saba
Malazi ni bure
Ataanza na mshahara wa Tsh. 500,000/=
Mwenye hizo sifa, tuwasiliane.
Sifa za mwanamme
Mrefu maji ya kunde,
Elimu degree,
Umri 30,
Mpole na mcheshi,
Kajiajiri,kipato cha kubadilisha mboga tu.
Makazi Dodoma
Sifa za mwanamke anaehitajika
Elimu kuanzia form four
Umri kuanzia 20 - 35 awe smart
Dini yeyote,rangi yeyote kimo chochote
Akiwa na mtoto asizidi mmoja...
Habari za leo, kuna rafiki yangu anahitaji dereva atakayekuwa analipwa kwa siku,au kwa week, maana ana mgeni wake ambaye anakuja week ijayo, hivyo anatakiwa awe anamuendesha, root ni za hapa hapa dar es salaam, ikizidi sana Bagamoyo.
Dereva awe flexible yani kufanya kazi asubuhi, muda mwingine...
Mwonekano
1. Mrefu
2. Mweupe
Umri
Kuanzia miaka 20-27
Dini
Mkristo (Msabato)
Kabila
Msukuma ( hasahasa Mnyantuzu), Muha au Mhehe.
Elimu
Diploma/ Degree
SIFA ZANGU
Mwonekano
1. Mrefu
2. Mweusi
Umri
Miaka 28
Dini
Mkristo (Msabato)
Kabila
Msukuma (Mnyantuzu)
Elimu
Diploma
Kazi...
Habar mwalimu wa SoMo la mathematics/physics na computer studies anahitajika
Shule inahtaji huyo mwalimu wa level ya degree au diploma at least awe anaweza kifundisha SoMo mojawapo hapo juu +computer( compulsory)
Akiwa wa kike itakuwa vizuri zaidi
Shule ipo Moshi Dc Kilimanjaro kama ungependa...
Anahitajika Mfamasia mwenye Degree kusimamia pharmacy iliyopo Kigamboni ,Mshahara ni Tsh 800,000/= kwa mwezi namba ya simu kwa mawasiliano ni 0713214258
Mimi ni:
Kijana: 35
Sija wahi kuoa:
Sina mtoto:
Mjasiria Mali:
Nina shahada ya kwanza.
Niko, Ilala, DSm.
Sina kitambi , mrefu wa wastani.
Dini : mkristo.
Sifa za mke mtarajiwa
Awe:
Mzima wa afya.
Na hofu ya Mungu.
Na Elimu angalau ya kujua kusoma na kuandika au zaidi.
Na kazi inayompatia...
Job Category 1
Foreign, Commonwealth and Development Office (Programme Roles)
Job Subcategory 1
Foreign, Commonwealth and Development Office (Programme Roles)
Job Description (Roles and Responsibilities) 1
Main purpose of job:
BHC Tanzania is looking for a programme manager to work within the...
Anahitajika mfamasia mwenye Degree, mshahara utakuwa ni makubaliano kati ya mkurugenzi na muhusika.
Tupo mkoa wa Lindi kwa maelezo zaidi piga +255 627 826 480 au 0656 704 979
Karibuni sana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.