ardhi

  1. Aloyce Kwezi apigania ardhi ya vijiji vya Usinga na Ukumbikakoko

    MHE. ALOYCE KWEZI APIGANIA ARDHI YA VIJIJI VYA USINGA & UKUMBIKAKOKO ILI WASINYANG'ANYWE Mbunge wa Jimbo la Kaliua Mkoani Tabora Mhe. ALOYCE ANDREW KWEZI akiwa Bungeni Dodoma amesema ardhi ya Vijiji vya Usinga na Ukumbikakoko inapaswa kuendelezwa kama ambavyo Rais Samia na timu ya Mawaziri 8...
  2. Orodha ya nchi 10 zinazoongoza kwa kuzalisha nishati ya joto ardhi duniani

    Nishati ya joto ardhi ni aina ya nishati mbadala na endelevu, inayozalishwa kwa kuchukua joto kutoka kwenye miamba yenye joto chini ya ardhi. Kutokana na Chama cha Kimataifa cha nisahati ya joto ardhi, nchi kumi zinazoongoza kwa uzalishaji wa nishati ya joto ardhi duniani ni kama ifuatavyo...
  3. S

    Je, kuna changamoto kwenye kupatikana kwa mtandao wa ardhi kwenye uhakiki wa hati za kidigitali?

    Wadau, kwa kama miezi miwili sasa nikijaribu ku scan barcode ya hati yangu iliyotolewa na ardhi inagoma kuniletea taarifa za hati. Je, ni kuwa website ya verification ya documents ya ardhi kweli ina matatizo au wajanja washachakachua? Mwaka jana nilikuwa niki-scan inaniletea copy ya hati husika.
  4. Rais Mwinyi, hii kasi ya kuwapa ardhi raia wa kigeni kulikoni? Kelele zimekuwa nyingi, Sasa unataka kunyang'anya familia ya Karume nyumba!

    Rais Mwinyi amekuwa akipigiwa kelele sana kwamba ananyang'anya wananchi ardhi anawapa wageni kwa kisingizio Cha kukodisha. Baadhi wanasema, anachukua ardhi hiyo yeye mwenyewe kwa mlango wa wawekezaji. Anahamisha mashule, maeneo ya shule anawapa wawekezaji, anakodisha visiwa kwa bei ya kutupa...
  5. India na China waamshiana mzuka kisa mkoa

    India wanadai ni mkoa wao na wameupa jina "Arunachal Pradesh", Mchina naye ameupa jina "South Tibet" na wote kila mmoja anaamini ni mkoa waliopokezwa na mababu zao na hawapo tayari kuachia hata kipande, na mataifa yenyewe na makubwa na kila moja lina silaha za nyuklia. Hawa wanyukane tu maana...
  6. Ndugu wamuua dada yao wakigombea ardhi

    Wanaume wanne wamekamatwa kwa madai ya kumuua dada yao waliompiga hadi kumsababishia umauti kwa kile kinachodaiwa kuwa ni mgogoro wa ardhi waliokuwa nao kwa muda mrefu. Tukio hilo limetokea siku ya Jumamosi usiku, wilayani Rukiga nchini Uganda, tovuti ya Monitor ya Uganda imeripoti. Watuhumiwa...
  7. Mamia ya watu wasiojulikana wavamia ardhi ya Rais mstaafu Uhuru Kenyatta

    Mamia ya watu wasiojulikana wavamia ardhi ya Rais mstaafu Uhuru Kenyatta iliyoko Ruiru [Northland's farm]. Imeripotiwa kuwa wamekata miti kadha na kuondoka na mbuzi. ======= Armed groups breach Kenyatta family-owned Northlands City, loot property Armed groups breached the Kenyatta...
  8. Je, siri gani imejificha juu ya nchi ya Tanzania hadi papa abusu ardhi ya Tanzania?

    Wakuu. Kuna suala linaniumiza sana Kichwa. Mwaka 1996 Inaasemekana papa JOHN PAUL II Alikanyaga Ardhi ya Tanzania na Kupiga MAGOTI na kuibusu? 1. Hiki kitu hakijawahi kufanya na papa yoyote JE Kuna nini Ardhi ya Tanzania? 2. Kipi kimejificha Ambacho sisi hatukijui? 3. JE Tanzania...
  9. Shirika la DDC Kuchukua Ardhi huko Mbopo, Kinondo na Mabwepande kutoka kwa Wananchi ni Uporaji

    Maeneo kadhaa huko Mbopo, Kinondo na sehemu fulani huko Mabwepande shirika la DDC linadaiwa kuvamia raia na kuyapora maeneo wakidai ni ya kwao. Nyumba zinavunjwa viwanja walivyonunua wananchi kwa taratibu kabisa na uwepo wa wajumbe wa maeneo husika lakini wanakuja kuwapora huu ni uvunjifu wa...
  10. Mfahamu mzee mwenye nyaraka za ardhi ya Palestina ambayo Waisraeli wamevamia

    Picha ya mkulima wa Kipalestina huko Jurish akiwa ameshikilia hati ya mauzo ya miaka 117 iliyo na muhuri wa Ottoman inayothibitisha kwamba ardhi hiyo ni ya familia yake. [emoji1193] Mpalestina huyu mwenye umri wa miaka 73 alisema kwamba hati hii, iliyorithiwa kutoka kwa babu yake, ilihifadhiwa...
  11. Milioni 5 kwa goli na 10% mikopo kwa wanawake/vijana/wenye ulemavu ni Mbingu na Ardhi

    Bravo Madame Presidaa kwa kuhaidi na kutoa sh. 5 M kwa kila goli linalofungwa katika mashindano ya CAF. Beyond reasonable doubt matokeo tumeyaona na timu zetu ziko robo fainali, hii kitu ilifanyika kwa wakati sahihi na timu nzima ya utekelezaji ilisimama katika malengo, niungane na watanzania...
  12. Mikoa 11 iliyoko hatarini kukumbwa na Tetemeko la Ardhi

    Mikoa 11 inayopitiwa na ukanda wa Bonde la Ufa la Afrika Mashariki imetakiwa kuhakikisha inazingatia viwango halisi vya ujenzi vinavyojumuisha ushauri wa kitaalamu wa jiolojia ya eneo husika, na kuepuka ujenzi wa nyumba katika miinuko yenye mawe na mipasuko ya miamba. Ushauri huo umetolewa na...
  13. T

    Serikali pigeni marufuku upimaji na ugawaji wa ardhi kutumia futi. Haiakisi mipango miji

    Kuna dhuluma kubwa na utapeli mwingi unatendeka kwenye kipimo cha futi kinachotumiwa katika upimaji na ugawaji kwa wasiojua. Kipimo cha futi ni cha kufikirika tu na zaidi kinatumika kipimo hicho kuficha ukweli halisi wa udogo wa viwanja vinavyotolewa. Kwa mfano, unakuta kiwanja unaambiwa kina...
  14. Njia 10 za kuongeza thamani ya ardhi yako

    Utangulizi. Thamani ya ardhi yako inapoongezeka huathiri bei ya ardhi husika. Mara nyingi thamani 6a ya ardhi na bei yake huenda pamoja lakini sio lazima. Thamani inaweza kupanda na bei isiongezeke. Vilevile bei inaweza kuongezeka bila hata thamani ya ardhi kuongezeka. Thamani ya ardhi hupanda...
  15. Mahakama ya Rufaa inaenda kupitia upya usahihi wa haki ya raia wa kigeni kumiliki ardhi nchini Tanzania kwa njia ya kurithi

    Unakumbuka ile kesi ambayo Mahakama Kuu ya Tanzania iliamua kwamba Raia wa Kigeni wanaweza kumiliki ardhi nchini Tanzania kwa njia ya kurithi (where High Court ruled that non-citizen heirs could own land by way of inheritance)? Uamuzi ambao ulitolewa na Mahakama Kuu mwaka 2011. Lakini serikali...
  16. Baraza la Biashara Afrika Mashariki lamshukuru Rais Samia kwa kuwapa ardhi

    Baraza la Biashara la Afrika Mashariki limemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kukabidhi ardhi kwa baraza hilo yenye ukubwa wa hekta tatu. Hati miliki ya ardhi hiyo namba 4/2 iliyopo eneo la Mateves mkoani Arusha, ilipokelewa na Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa EABC, John Bosco Kalisa. Kwa mujibu...
  17. Baada ya Dogo kumaliza Kuwekeza katika Ardhi sasa mmempeleka Utumishi ili akawapachike kwa Kumlindia alivyodhulumu

    Na kwa Majina niliyoyaona ni dhahiri shahiri Baba mwenye Nyumba kwa sasa baada ya mwingine kuwa hajielewi hata Kumbukumbu tu hana atakuwa kahusika nayo kwa 95%
  18. R

    Serikali kupitia Wizara ya Ardhi yatoa Orodha ya Viwanja Vilivyobatilishwa na Rais

    Kamishna Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi anawatangazia wanachi kuwa wamiliki wa viwanja na mashamba kwenye orodha hii milki zao zimebatilishwa kwa mujibu wa Sheria ya Ardhi No. 4 Sura ya 113 kwa amri ya Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania kuanzia tarehe 3 na 8 Agost 2022...
  19. HAARP mfumo wa Marekani uliosababisha tetemeko la ardhi Uturuki na Syria

    Tangu tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa 7.8 liikumbe Uturuki na Syria tarehe 6 Februari, na kuua zaidi ya watu 44,000, kumekuwa na mamilioni ya machapisho kwenye Twitter yakishiriki habari, picha na video za maafa hayo. Lakini imgegundulika kwamba baadhi ya machapisho hayo yameilaumu kwa njia...
  20. Mbinu Bora ya Kutumia Kujenga Himaya ya Utajiri Wako Kupitia Ardhi na Majengo

    Lengo kuu la huduma zangu za uandishi kwenye uwekezaji wa ardhi na majengo ni: ✓ Kuwasaida watu kutunza fedha zao kupitia ardhi na majengo. ✓ Kujenga himaya ya utajiri kupitia ardhi na majengo. Nimekuwa nikiulizwa mara kwa mara swali kuhusu ni mbinu gani ya kujitengenezea kipato kutokana na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…