arusha

  1. B

    Kuna jambo zito linawakabili vijana wa kiume wa Arusha. Msaada wa haraka unatakiwa

    Ndugu zangu Hapa Arusha kuna shida kubwa sana kwa upande wa watoto wa kiume hasa vijana ambao ni nguvu kazi ya Taifa. Vijana wa kiume hapa Arusha hawapendi kufanya kazi na kujiingizia kipato. Vijana wa kiume wa Arusha wamekumbwa na Kampeni ya kuolewa na wanawake wenye umri mkubwa maarufu kama...
  2. T

    Pongezi kwa mchungaji Dkt. Geodavie kwa kuchangia maendeleo ya wana kisongo na Arusha kwa ujumla

    Dkt. Geodavie pongezi ziende kwakao aisee kwa kuchangia maendeleo kwa Wana kisongo na wana Arusha tunakupongeza Sana endelea na moyo huyo huyo baba.Geodavie wa kanisa la geodavie ministry mtu mwema sana na mpenda maendeleo watu habagui dini wala kabila mtu yoyote mwenye shida yeye anamsaidia...
  3. TODAYS

    Kituo Chetu Mabasi Arusha hiki hapa

    Eneo kinapotarajiwa kujengwa ni palepale Bondeni City ambapo pembeni yake kutakuwa na mji wa kisasa (satellite city) Kwa mgeni wa jiji la Arusha, eneo la bondeni lipo barabara inayoelekea kwenye kambi ya kufunza vijana (JKT Oljoro) kutoka kwa mromboo ni takribani 8km. Kwa taarifa za awali ni...
  4. A

    Mkuu wa Mkoa Arusha Paul Makonda: Siasa inaua Arusha School!

    Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha; tunakuomba uingilie mgogoro ulioko kati ya Jiji la Arusha na shule ya msingi Arusha (Arusha School) iliyoko mkabala na Tanesco Arusha! Sisi wazazi tunalipa ada Ili watoto wapate huduma mbalimbali za kimasomo, chai asubuhi, chakula cha mchana na chakula cha...
  5. JanguKamaJangu

    Arusha: Waliotuhumiwa kuingilia Mifumo ya Mawasiliano wasomewa Mashtaka 195

    Washtakiwa 20 wakiwemo raia wanne wa kigeni kutoka mataifa ya Afrika Mashariki wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha jana na kusomewa mashtaka 195 ikihusisha kesi ya kuongoza genge la uhalifu pamoja na uhujumu uchumi, matumizi ya vifaa vya kielektroniki yaani simu box kuingilia mfumo wa...
  6. JanguKamaJangu

    LGE2024 Makada wa CCM wajitupa chini watoa shutuma kwa wanaokata majina katika kura za maoni Arusha

    Baadhi ya wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Mtaa wa Longdon kata ya Sokoni One Jijini Arusha, wamedai kuwa hawatashiriki uchaguzi wa kumchagua mwenyekiti wa eneo hilo kutokana na aliyeongoza kupata kura za maoni 189 jina lake limekatwa na aliyepata kura 36 jina kurejeshwa kama...
  7. Ally Msangi

    How to Get the Best Flight Deals to Arusha

    Are you planning a trip to Arusha? Whether you're heading there for an exciting safari, business meetings, or just to explore the city, finding an affordable flight is important. Luckily, Skylink Online can help you get the best flight deals. As a trusted platform for booking domestic and...
  8. JanguKamaJangu

    LGE2024 Kura za maoni zazua 'mtiti' Unga Limited – Arusha, wengine watishia kutompa kura kada wao wa CCM

    Baadhi ya wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Mtaa wa Viwandani kata ya Unga Limited Jijini Arusha, wametishia kutompa kura za ndio mgombea wa uenyekiti wa mtaa huo kupitia chama hicho endapo aliyeshinda kura za maoni hatawekwa kama mgombea katika nafasi hiyo. Wanachamama hao...
  9. R

    Dereva wa kubeba watalii (war bus) Arusha anatafuta gari ya kukodisha

    Nina dereva wangu ambaye ana kazi zake za kupeleka watalii porini ila kwa sasa hana gari. Mwenye gari ambaye anaikodisha tafadhali tuwasiliane. WhatsApp: 0656388678
  10. GENTAMYCINE

    Ni kwamba huko Arusha hatutaki Kufunga Kipindi cha Kwanza ili Kuzuga kuwa Mechi ni Ngumu ili tukimalizana nao Kipindi cha Pili ubao usome 9-0 au?

    Kwa Timu yangu ninavyoijua (tena baada ya Kijili hivi majuzi Kuwasaidia) hadi sasa ningekuwa mbele kwa Goli 4 hivi.
  11. Cute Wife

    Pre GE2025 Rais Samia ampa Sheikh wa Arusha Land Rover Discovery limsaidie kwenye shughuli za kidini. Hii si Rushwa kabisa?

    Wakuu, Nawaacha mtoe mapovu, mambo ndio kama haya, Sheikh amepewa land rover bana likamsadie kwenye kutoa huduma zake.... Hii si rushwa kabisa? Tusubiri 'zawadi' hizi ziendelee kutolewa kwa viongozi wengine wa dini. Tunataka uchaguzi ufanyike kila mtu akiwa na fursa sawa ya kushindana, kwa...
  12. B

    Ujio wa SGR umekuwa nafuu sana kwa wasafiri wa Dar,Mwanza, Arusha, Singida na Iringa

    Kwa sasa watu wengi sana wanaosafiri kutoka DAR - MZA wanapanda SGR kutoka DAR - DOM kwa masaa manne na wakishuka tu wanapanda gari za mwanza ambapo masaa 13 upo mza. MABUS YA DOM - MZA yanafursa hii kwa sasa pia abiria wanaoenda DAR IRINGA mtu anapanda zake SGR mpaka DOM then anakwea bus la...
  13. H

    KERO Wembamba wa barabara za kutoka Jiji la Arusha huleta foleni kubwa mida ya jioni

    Kwanza nimpongeze sana mkuu wa Mkoa wa Arusha kwa jitihada zake za kusaidia wananchi; Naamini na hili lipo kwenye mpango kazi wake ila kwa kuchangia tu; Kuna vipande vitatu vya Barabara VIFUPI KABISA ila vina sababisha jiji la ARUSHA lisimame Asubuhi na jioni... 1. Ukitoka mnara wa Saa...
  14. M

    KERO Mzani wa Makuyuni Arusha ni kero na hatari kwa watumiaji wa barabara

    Kwa waliowahi kutumia barabara ya Arusha Babati watakuwa mashahidi. Eneo mzani ulipo ni mteremkoni na kuna kona mlalo hivi. Sijajua kulikuwa na ulazima gani umbali wa Arusha babati kuwa na vituo viwili vya mizani. Makuyuni na mdoli. Kama kuna ulazima huo, basi tanroads watafute sehemu...
  15. Roving Journalist

    Pre GE2025 Arusha: Matukio Yanayojiri Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

    HISTORIA YA MKOA WA ARUSHA Mkoa wa Arusha ni moja kati ya Mikoa 26 ya Tanzania Bara, wenye ukubwa wa KM za mraba 34,515.5. Kiutawala Mkoa unao Wilaya 6 na Halmashauri 7, Tarafa 23, Kata 33, Vijiji 393, Mitaa 154 na Vitongoji 1471. Idadi ya watu kwa ongezeko la 2.7% kwa mwaka na inakadiriwa...
  16. nipo online

    Kesho naelekea Tengeru Arusha, naomba location kutoka Arusha mjini

    Wakuu kwa mara yangu ya kwanza kufika kule namsindikiza mdogo wangu anaenda chuo cha tengeru. Sina experience yeyote najua hapa nitapata ABC zake. Shukrani.
  17. Yoda

    Jiji la Arusha lina watu nadhifu na wasafi kuliko majiji yote

    Nimetembea Dar, Mwanza, Mbeya, Dodoma, Tanga na Arusha yenyewe ambako kuna yanayoitwa majiji ya nchi yetu, niseme tu watu wa jiji la Arusha wanaongoza kwa unadhifu na usafi wa binadamu na mazingira. Yani hata ukipanda daladala (wenyewe wanaita hiace/Haisi) za Arusha harufu ya kwenye daladala...
  18. Roving Journalist

    Majibu ya Mkuu wa Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA), Prof. Eliamini Sedoyeka mbele ya Baraza la Maadili

    Mkuu wa Taasisi ya Uhasibu Arusha (IAA), Prof. Eliamini Sedoyeka alisomewa mshtaka manne katika Baraza la Maadili kutokana na malalamiko manne ya kukiuka maadili ya Viongozi wa Umma ambapo ameyakana yote Kikao cha Baraza la Maadili liliketi chini ya Mwenyekiti wa Baraza, Jaji Mstaafu Rose...
  19. M

    Pongezi kwa RC Makonda kuboresha makao makuu ya polisi Arusha

    Maeneo ni mengi ambayo binafsi naona uwepo wa Mh Makonda umefanya uboreshwe. Mojawapo ni kituo cha polisi central pamoja na makao makuu ya mkoa (ofisi ya RPC) Hakika yanaendana na hadhi ya Arusha. Hongera sana Makonda. Endelea kuangazia maeneo yote na kuhimiza utendaji wa kuzingatia huduma...
  20. Waufukweni

    Paul Makonda awakabidhi Arusha timu ya Coastal Union ya Tanga

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda, ametangaza rasmi kuwa timu ya Coastal Union ya Tanga, maarufu kama "Wagosi wa Kaya," sasa itaanza kutumia Uwanja wa Sheikh Amri Abeid kama uwanja wake wa nyumbani. Hatua hii inalenga kukuza mchezo wa soka mkoani Arusha, huku pia ikileta manufaa makubwa...
Back
Top Bottom