arusha

  1. Mindyou

    Makonda: Kesho kama huna gari aina ya Land Rover, baki tu nyumbani!

    Wakuu, Mkuu wa mkoa wa Arusha, Paul Makonda amesema kuwa siku ya kesho ambayo kutakuwa na tukio kubwa la Land Rover Festival ambalo linafanyika huko jijini Arusha kama huna gari aina ya Land Rover paki tu gari lako nyumbani. Makonda amesema kuwa kwa kuwa kesho kutakuwa na msafara wa gari...
  2. Waufukweni

    Team Land Rover wapita Mwenge kwa Mbwembwe kuelekea Arusha kwa Makonda kwenye Land Rover Festival

    Mambo vipi Wakuu! Team Land Rover wako njiani kuelekea Chuga wakitokea Dar es Salaam, na hivi ndivyo walivyopitia Mwenge, kuelekea Arusha ambako wanataka kwenda kuandika historia Jumamosi hii kwenye tukio la Land Rover Festival 2024, tamasha la kwanza la aina yake katika viwanja vya Magereza...
  3. Cute Wife

    LGE2024 CCM Arusha: Mgombea Serikali za Mitaa lazima awe na kazi ya kufanya inayomuingizia kipato halali la sivyo ataufanya Uenyekiti ndio kazi

    Wakuu, mambo yanazidi kunoga, kwani hawa ambao tunaenda na wanatudai hizi hela za 'copy' si ni wenyewe hawa hawa CCM? Au anaongelea watu gani? Maana wao ndio walipita kwa 99% bila kupingwa! === "Mgombea ni lazima awe na kazi ya kufanya inayomuingizia kipato halali kinachomuwezesha kuishi na...
  4. F

    Hakuna kitu cha maana Paul Makonda anafanya Arusha isipokuwa blaa blaa na vituko

    Tanzania ifike wakati sasa tutenganishe viongozi makini na wapiga debe wa vyama. Tunagharimika sana Tanzania kwa kuwapa watu nafasi za uongozi kwa sababu ya umaarufu wao wa kupiga debe. Paul Makonda ni mmoja wa wale waliopewa uongozi kwa sababu tu ya blaa blaa zake lakini ki utendaji hana...
  5. 3-Star General

    Utafiti: Popular cars Arusha ni Land Cruiser, Rav4 na Alphard

    Juzi nilikuwa na kazi moja kwenye maeneo mbalimbali ndani ya Jiji la Arusha siku nzima. Sasa, kutokana na msongamano unaotokana na ongezeko kubwa la magari ilibidi nijipe dual-work na kufanya simple observational cross sectional study (Utafiti mdogo wa kutazama katika wakati mahususi). Lengo...
  6. Waufukweni

    Paul Makonda: Arusha sasa inazalisha Magari aina ya Defender na kuyapeleka Ulaya

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda, ameweka wazi kuwa Arusha imeanza kutengeneza magari aina ya Defender, ambayo sasa yanauzwa Ulaya. Akizungumza kwenye kongamano la Radiolojia lililofanyika leo Oktoba 9, jijini Arusha mbele ya Naibu Waziri Mkuu, Doto Biteko, Makonda ameeleza kuwa magari hayo...
  7. jingalao

    Arusha LandRover festival set to break World Record!

    Let us all stay tuned! Arusha Region is an iconic Tanzania Tourist attraction City in Africa which is located about 350 kilometers to The famous Serengeti National Park. The Regional Authority Under Paul Makonda has organized a tremendous and spectacular brand of Land Rover caravan ..a parade...
  8. S

    TBC; walimu Arusha hawatumii nishati chafu bali ni kumuunga mkono Rais Samia. Mtutake radhi.

  9. G

    Kwetu wakristo watoto wa nje wana haki sawa ya kurithi mali kama watoto wa ndani ya ndoa, Dada wa Arusha awape mali watoto wa Housegirl

    Watoto wote wana haki sawa, maamuzi ya wazazi hayana uzito wa kuwabagua, Mali zipigwe pasu kwa pasu kwa watoto wote bila kujali ni wa ndani ya ndoa au nje. Nimeshangazwa kusikia kinachoendelea huko Arusha kwamba mke wa marehemu bilionea YTemu anajitetea kwamba walifunga ndoa ya kikristo ya mke...
  10. Mindyou

    LGE2024 Arusha: Mrisho Gambo amuahidi Rais Samia kulinda mitaa kwenye Uchaguzi Wa Serikali Za Mitaa ili kutengeneza jeshi kwenye Uchaguzi Mkuu

    Wakati taifa likiwa linaelekea kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwezi Novemba, Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo amemuahidi Rais Samia kutumia viongozi watakaochaguliwa na wananchi kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa kama Jeshi la kumtetea Samia kwenye uchaguzi mkuu. Soma pia: Ruvuma...
  11. Waufukweni

    Waziri Mchengerwa: Arusha Mlijichelewesha Wenyewe Kwa Siasa za Majitaka

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohamed Omary Mchengerwa, akizungumza wakati wa mkutano wa hadhara wa kuhitimisha ziara yake ya kikazi, uliofanyika leo Ijumaa, Oktoba 04, 2024, katika Uwanja wa Kituo cha Mabasi cha Kilombero Jijini Arusha, amesema...
  12. zigi 01

    Naombeni ushauri chuo gani kizuri kwa kozi ya ICT

    Naombeni ushauri chuo gani kizuri kwa kozi ya ICT kati ya vyuo hivyo hapo kwa level ya degree!. Chuo kizuri kwa kozi ya ict kati ya must, arusha tech na ardhi
  13. Wizara ya Ardhi

    Samia AFCON City kuoamba Jiji la Arusha

    Arusha Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Deogratius Ndejembi ametembelea eneo utakapojengwa Mji wa “Samia AFCON City” kwenye eneo linalozunguka Uwanja Mpya wa Michezo unaojengwa eneo la Mirongoine jijini Arusha. Waziri Ndejembi amefanya ziara hiyo Oktoba 03, 2024 kukagua eneo...
  14. Mkalukungone mwamba

    Arusha: Mfanyabiashara wa madini auawa mlima wa maombi, wauwaji watuma meseji

    Mwili wa Mfanyabiashara wa madini ya ujenzi, David Mollel mkazi wa Kata ya Moivaro, umekutwa ukining’inia kwenye mti juu ya Mlima Oldonyowas, jirani na eneo linalotumika kwa maombi. Inadaiwa Mollel mwenye umri wa kati ya miaka 50 na 55, aliuawa na watu wasiojulikana usiku wa kuamkia Jumanne...
  15. Roving Journalist

    Mkaguzi Kata ya Kisangura (Mara) awapatia Wananchi wenye uhitaji viti mwendo

    Mkaguzi Kata ya Kisangura Wilayani Serengeti Mkoa wa Mara Mkaguzi Msaidizi wa Polisi A/Insp Genuine Kimario ametoa viti mwendo kwa wananchi wahitaji. Mkaguzi huyo amebainisha kuwa ameendelea kutoa viti mwendo hivyo kutokana na changamoto aliyoikuta kwa wananchi anao wahudumia ambapo aliwaomba...
  16. Pdidy

    Polisi Arusha kuchunguza Tukio la Kifo cha Mtu mmoja Eneo la Moivaro

    Juzi kati nasoma mtoto wa miaka 54 kamuua mama yake kisa maki za urithi; ======= Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha linafanya uchunguzi wa kifo cha David Mollel mwenye umri unaokadiriwa kuwa kati ya miaka 50 hadi 55 mkazi wa Baraa Jijini Arusha aliyekutwa amefariki dunia, huku mwili wake ukiwa...
  17. JanguKamaJangu

    Polisi na TANROADS - Arusha wafanya ukaguzi wa maeneo hatarishi kwa ajali

    Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama Barabarni Mkoa wa Arusha kwa kushirikiana na wakala wa Barabara (Tanroads) Mkoa wa Arusha katika kuhakikisha wanadhibiti ajali za barabarani wameendelea na ukaguzi wa maeneo hatarishi ambayo yanatokea ajali za mara kwa mara huku wakiweka wazi kuchua hatua za...
  18. miser

    Discover the Perfect Blend of Comfort, Convenience, and Business at Parrot Hotel Arusha!

    Looking for a serene yet central place to stay while in Arusha? Welcome to Parrot Hotel Arusha, where luxury meets affordability. Whether you're in town for business, safari, or a relaxing getaway, we offer a warm and inviting space that caters to all your needs. 🏨 Why Choose Parrot Hotel...
  19. Roving Journalist

    LGE2024 Yaliyojiri kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha - Novemba 27, 2024

    HISTORIA Mkoa wa Arusha ni moja kati ya Mikoa 26 ya Tanzania Bara, wenye ukubwa wa KM za mraba 34,515.5. Idadi ya watu kwa ongezeko la 2.7% kwa mwaka na inakadiriwa kufikia jumla ya watu wapatao 1,835,787 ambapo wanawake wakiwa sawa na 51.5% na wanaume 48.5% Mkoa wa Arusha umepakana na Mkoa wa...
  20. A

    Magufuli angekuwepo, awamu mpya ya SGR ingekua Dodoma - Arusha na Moshi

    Naanza kwa kuipongeza Serikali kwa kazi nzuri ya Ujenzi wa Reli ya Mwendo kasi inayo endelea, hakuna shaka yeyote kwasasa watanzania wamesha anza kuonja matunda ya reli hiyo wakitokea Dar - Dom na Dom - Dar, ikijumuisha maeneo yote yaliyo kati ya Dom Dar nao wananufaika Kwa namna inavyoonekana...
Back
Top Bottom