arusha

  1. N

    KERO Changamoto shule ya msingi Kimandafu Halmashauri ya Meru mkoa wa Arusha

    Pale Arusha wilaya ya Arumeru hasa Halmashauri ya Meru shule ya msingi Kimandafu kuna mzungu anaitwa Birgita sijui ametokea nchi gani. Huyu mama anatoa vifaa kadhaa vikiwemo vitabu, chakula km unga, chereko, mchele, mafuta ya kupikia. Jambo la kwanza huyu Birgita serikali inamfahamu? Pili...
  2. LGE2024 Wananchi ni kama wamegoma kujitokeza kujiandikisha Olasiti, Arusha, kwani shida ni nini?

    Hivi ndivyo ilivyo katika Kata ya Olasiti pande za Chuga, jamaa ameshea video akionesha mwitikio ni mdogo sana, Wananchi wanajitokeza kwa uchache sana kujiandikisha. Ndugu zangu kwani shida ni nini?
  3. Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma yawasilisha malalamiko kuhusu Prof. Eliamini M. Sedoyeka

    SEKRETARIETI YA MAADILI YA VIONGOZI WA UMMA TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma ni Taasisi inayojitegemea chini ya Ofisi ya Rais iliyoanzishwa kwa mujibu wa Ibara ya 132 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 kutekeleza Sheria ya Maadili...
  4. LGE2024 Mkurugenzi Jiji la Arusha: CHADEMA wasilalamike mitandaoni uandikisha daftari la mpiga kura, walete malalamiko ofisi kwangu

    Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Arusha, John Kayombo, ameibuka na majibu makali kufuatia madai yaliyotolewa na Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini, Godbless Lema, kuhusu kasoro katika zoezi la uandikishaji wa wapiga kura kwenye daftari la mkazi linaloendelea nchini. Akizungumza na...
  5. B

    Siasa za Mwalimu Nyerere za Ujamaa wa kujitegemea na itikadi yake ya Azimio la Arusha ndio chanzo cha umaskini wa Tanzania

    Leo Oktoba 14, 2024 tunakumbuka kifo cha muasisi wa Tanzania Mwl. Julius Kambarage Nyerere aliyefariki siku na mwezi kama leo mwaka 1999 takribani miaka 25 sasa imepita Baada ya Tanzania kupata uhuru wake mwaka 1961 Mwalimu Nyerere alipata kufanya ziara nchini Marekani (USA) alikutana na Rais...
  6. F

    Landrover festivals ni ubunifu wa watu wa Arusha na sio ubunifu wa Paul Makonda, wazo lilikuwepo kabla ya 2020

    Wafanyabiashara na matajiri wa Arusha wamekuwa na ari na ubunifu mkubwa ila mara nyingi wamekosa sapoti ya Serikali. Landrover Festivals zilizofanyika hivi majuzi ni moja ya bunifu nyingi za watu wa Arusha na Moshi ambazo kwa muda mrefu zimekosa kuungwa mkono kwasababu za kisiasa. Wanasiasa...
  7. M

    Ni zipi faida zilizopatikana kwa kufanyika kwa Arusha Land Rover Festival 2024

    Ninajua faida ndogondogo zipo, kama biashara za Mahoteli nk. Lakini ningependa kujua ni ipi faida kubwa kwa Mkoa na Taifa kiujumla.
  8. Battle: Tanzania 🇹🇿 ( Bongo) Vs Kenya ( Elite of Africa)

    Hii ni list kuonyesha namna Tanzania iko mbali sana tuu Hii hapa list namba 7 na 8 zitakushangaza 1. TZ tuna Iconic figure wa Africa Nyerere🇹🇿 2. Best and longest SGR in Africa ipo Tz 🇹🇿 3. Lugha ya Kiswahili ni ya Tz 🇹🇿 na inazungumzwa Africa na dunia kote 4. Mlima mrefu kuliko yote Africa...
  9. Mikoa mingine tuige umoja walionao Arusha

    Ninaona kwenye youtube matukio yakitokea Arusha wananchi wanaungana wote kama ni mazishi au uokozi wote wanakuwa na awareness. Kwa mfano panya road wangekuwaga Arusha wangeshamalizwa na wananchi wenyewe umoja kama huo ni mzuri tena unakuta jinsia zote zinashiriki na watu wa rika lote...
  10. Arusha: Risiti za vifo zaidi ya 50 zakutwa ndani ya nyumba ya Ramji Hatibu Mlacha

    Tukio lilianzia baada ya: Mtoto wa miaka 11 (Maryam) anayesoma darasa la sita Kata ya Sokone One kukutwa ameuawa kwa kukatwa katwa na kutenganishwa mwili wake na kichwa na kisha kuwekwa kwenye beseni na kufichwa uvunguni mwa kitanda katika nyumba ya bwana Ramji Hatibu Mlacha. Baada ya taharuki...
  11. DOKEZO Uhaba wa Kondom Arusha

    Assalam Aleikum, Nimekuja Festival toka ijumaa jioni sasa leo kwenye moja-mbili nimeopoa binti Afisa Burudani II nikajiburudishe ila Kondom adimu pharmacy hata maduka madogo ya mitaani (kuanzia stendi kuu, Kijenge hadi Njiro). Wanadai mzigo ndio umepakiwa Dar unakuja na mabasi ya usiku...
  12. Arusha: Polisi yamshikilia Jaina Mchomvu kwa tuhuma za kumuua Mtoto wa Miaka 12 kisha kuficha mwili wake uvunguni

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema linamshikiria Jaina Mchomvu kwa tukio la mauaji ya mtoto aitwaye Mariam Juma mwenye umri wa miaka 12 mkazi wa kwa Mrombo katika Halmashauri ya Jijini la Arusha aliyekutwa ameuawa huku mwili wake ukiwa na majeraha ya kukatwa na kitu chenye ncha kali sehemu...
  13. LandRover Festival 2024 rasmi imevunja rekodi ya Mjerumani

    Tamasha la Land Rover limefanyika kwa mara ya kwanza nchini Tanzania mkoani Arusha leo 12 Oktoba 2024. Arusha ni kitovu cha utalii Afrika Mashariki zaidi ya magari 1,000 ya Land Rover yamehudhuria tamasha hilo, huku zaidi ya watu 2,000 wakikuhudhuria ufunguzi na kushiriki tukio hilo. Guinness...
  14. Arusha: Tazama balaa la msafara mrefu wa magari ya LandRoverFestival2024

    Leo tunatambua huko Arusha kuna jambo kubwa ambalo limeandaliwa na Serikali ya Mkoa huo chini ya Mkuu wa Mkoa Paul Makonda ambalo ni LandRoverFestival2024 . Sasa hapa jitazamie mwenyewe namna msafara mkubwa ulivyofunga barabara za kuelekea viwanja vya Kisongo magereza. Soma Pia: Polisi...
  15. Kuna mtu nafahamu kiasi gani cha pesa kimetumika kufanya Land Rover Festival ya Arusha?

    Mafuta, matengenezo, matangazo,posho na n.k kwa magari zaidi ya 1000 huu pesa inawashwa kibiriti kisa tu ni kunshindana na wajerumani waliona uchumi mkubwa zaidi Ulaya na wanaosadia bajeti yetu ya kitaifa. USSR
  16. Land Rover Festive Arusha 2024

    (VIDEO ipo chini) Tamasha la Land Rover 2024 ni tukio la kipekee linalofanyika kwa mara ya kwanza nchini Tanzania, katika viwanja vya Magereza Grounds, Kisongo, jijini Arusha. Tamasha hili litafanyika kuanzia Oktoba 12 hadi Oktoba 14, 2024, na limeandaliwa na Mhe. Paul Makonda, likilenga...
  17. Je, Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere angependa tuwe na Tamasha na Land Rover Arusha au tupambane zaidi na Maadui wakuu wa nchi aliowataja?

    Halafu wenye Akili Kubwa tukisema kuwa Tanzania ya sasa huenda ikawa na Viongozi Wehu zaidi mnaanza Kuchukia.
  18. Kwa Mara ya kwanza Napongeza Ubunifu alioufanya Makonda Arusha

    Mimi sio mshabiki wa Makonda, kutokana na namna ninavyomjua. Tabia zake binafsi na hulka zake ndo chanzo kikuu cha mimi kutokuwa shabiki wake na kila siku kumpinga kwenye masuala mengi sana. Katika kumfuatilia kwangu tangu akiwa mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, then Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam...
  19. Arusha: Auwawa kwa kupigwa na kitu kizito baada ya kuingilia ugomvi wa mtu na mpenzi wake

    Jamani wanaJukwaa. Huku kuingilia mapenzi ya watu na kujifanya mwema wakati mwingine tuangalie na kuwa makini ============== Mwananchi mmoja aliyefahamika kwa jina la Akwii ambaye ni mlinzi na mkazi wa Kimandolu mkoani Arusha ameuwawa kwa kupigwa na kitu kizito kilichodhaniwa kuwa nondo mara...
  20. Polisi Arusha wataja njia zitakazotumika katika Tamasha la Land Rover, usalama waimarishwa

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha kupitia kikosi cha Usalama Barabarani wametaja barabara zitakazotumika katika tamasha la Landrover litakaloanza kuanzia Oktoba 12, 2024 Mkoani Arusha huku likisema limejipanga vyema kuhakikisha linafanyika kwa amani na utulivu. Akitaja njia hizo Mkuu wa Kikosi cha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…