Sohan asali (Persian: سوهان عسلی, romanized: sohān-e asali; from asal "honey") is a kind of Iranian cuisine pastry or candy (sohan). It is made of honey, sugar, saffron, almond or other nuts and cooking oil.
Hii ndio falsafa ambayo mlitakiwa msimame nayo.
Nia thabit kupinga ufisadi.
Kwenye sakata la bandari mpaka sasa mmeonyesha hamtaki mali za Watanganyika kuibiwa. Mmeweka kando utamu wa asali na kukomaa.
Habarini ndugu zangu,
Nianaomba mrejee heading hapo juu. Natamani sana kufanya biashara ya asali. Ninaomba wenye uzoefu wanijuze wapi nitapata asali halisi na mambo yapi ya kuzingatia kwenye biashara hii.
Pia nina potential buyers outside the country hivyo mwenye uzoefu pia wa kuexport atakua...
Taarifa tulizonazo mpaka sasa ni kwamba kimeandaliwa kikundi cha dharura cha kumshambulia Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe kwenye mitandao ya kijamii, redioni, barabarani, vichochoroni na kwenye TV na media zote.
Mamluki hao wameelekezwa kumshambulia Mbowe kwa kile kinachosemwa kwamba...
Majuzi nimelisikia Bunge letu tukufu wakijadili hoja ya URAIA PACHA na HADHI MAALUM kwa kina sana lakini yaonyesha wazi viongozi wetu hawajui maana wala tofauti ya mifumo hii miwili japokuwa ni wasomi wazuri.
Kwa sababu hizi inanilazimu kuufahamisha Umma, viongozi na Wabunge wanaojadili hoja ya...
Najikuta kama nimekaa sehem nahisi kitu kinatambaa nikiingiza mkono na ikuitoa nakutana na majimoto. Aina ya siafu wa rangi ya mbao almaafu majiamoto.
Wengine huita sisimizi.
Naona wote ni siafu tu
Wakuu kwanza Poleni kwa Msiba mzito wa Kiongozi wetu Bernard Membe.
Hata hivyo bado Ratiba nyingine za kisiasa ziliendelea kama kawaida, huko Kahama Tundu Lissu alikuwa na Mkutano wa hadhara ambao umevunja rekodi yake mwenyewe ya Mahudhurio, na sasa tumeelewa kisa cha ccm na Magufuli kuogopa...
Baada ya msiba wa Bernard Membe kutangazwa kumekuwepo na mpasuko wa wasi kati wafuasi wa Hayati Magufuli na walamba asali ya serikali ya awamu ya sita maarufu kama MSOGA GANG.
Kundi la Hayati Magufuli linajumuisha wavujajasho na watu wenye subiri
Kundi la walamba asali linajumuisha vyombo vya...
Inadaiwa tangu vurugu za kuchoma moto kituo cha polisi Muganza zitokee paranja lilipita na kamata kamata ikafanyika. Viongozi wa Chadema inasadikiwa walishawishi wananchi kufanya vurugu.
Wanasota rumande wamenyimwa dhamana. Leo hii zaidi ya wiki na na siku kadhaa wameshonwa nyavuni
Mbowe...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu alihojiwa na Dar 24 Media siku chache zilizopia. Akiwa katika mahojiano hayo Lissu amezungumza masuala mengi yanayohusu mwenendo wa kisiasa nchini.
Aidha alipoulizwa kuhusu kumchukulia Mkuu wa Wilaya wa zamani wa Hai, Lengai Ole Sabaya kama Mkosaji wa...
Siku ya Jumatatu usiku kuamkia Jumanne Party Cocus ya CCM ilikutana Dodoma kuwekana sawa kabla ya vikao vya Bunge kuanza kama ilivyo kawaida.
Kikao kiliratibiwa vizuri na Mbunge Rashidi Shangazi kama Katibu wa hiyo Cocus akisaidiwa na Mzee Kinana na Sekretariet ya chama.
Hoja ya CAG ikachukua...
Leo tarehe 28 Machi 2023, kikao cha wakuu wa vyama wanachama wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) kilifanyika katika Hoteli ya Serena, Dar es Salaam. Kikao hicho kilikuwa na lengo la kujadili jinsi ya kuendeleza mageuzi ya kisiasa nchini.
Katika kikao hicho, Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha...
Akiwa 'nyumbani kwake' huko Ubelgiji, makamu wenyekiti wa mitandaoni wa CHADEMA, Mheshimiwa Tundu Lissu ameandika hivi mtandaoni.
Je huku sio kumkosea adabu partner wa CDM kwenye maridhiano ambaye technically ameshika upande wa mpini?
Si amesema hadharani kuwa mchakato unakuja na utakuwa...
Tunasahau kuwa tulikuwa tunachangishana kwenye shida na raha?
Tunasahau mabakuli waliopitisha vijana wa Bavicha na kuingiza pesa kwenye akaunti zao binafsi za M pesa?
Hii ruzuku na asali za CCM zimefanya kuwa na kiburi kiasi cha kusahau umuhimu wa michango ya makamanda.
Amini naawaambieni mambo ni Magumu mno huku kitaa lakini tuliozoea kutusemea wameshalamba asali na hawajui wafanye nini. Wametugeuka sasa wanaona kazi zetu za bodaboda na uvuvi ni za hovyo.
Bei za vitu zimepanda sana na Serikali imelala. Wapambe wanahakikisha Rais hajui mambo ya nchi...
Mheshimiwa Rais, Shikamoo.
Pole na hongera kwa majukumu mazito ya kujenga Taifa.
Nakuandikia andiko hili kukuomba kwa heshima na taadhima kubwa kwamba , Mheshimiwa. Tafadhali, Tafadhali sana. Sana sana. Wapunguzie akina Mbowe na genge lake asali. Inawalevya, Wanapagawa na wanafanya mambo mpaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.