Sohan asali (Persian: سوهان عسلی, romanized: sohān-e asali; from asal "honey") is a kind of Iranian cuisine pastry or candy (sohan). It is made of honey, sugar, saffron, almond or other nuts and cooking oil.
Kuna watu wanadai eti Magufuli alikuwa anataka upinzani imara tofauti na Samia ambaye inadaiwa amewalambisha asali.
Napenda kuwakumbusha hawa wenye kumbukumbu fupi kuwa hakuna rais aliyetumia nguvu kubwa ili wamsifie kama Magufuli.
Magufuli alikuwa akinunua madiwani na wapinzani kwenda CCM na...
People milioni 62 na ushee lakini mmmmhhhh wakulaji ni very small cycle.
Competence wala sio ishu kubwa kwenye hii nchi. Kikubwa zaidi ni kuwa karibu na hiyo cycle nothing more nothing less.
Lakini truth be told....tatizo sio wakulaji bali tatizo ni wananchi wenyewe.
Wameshapigwa ki ufasaha...
Kitwanga anasema kuna kundi ambalo limejipenyeza kwa rais na kila mahala linamshauri vibaya Rais.
==========
WAZIRI wa zamani wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga, amesema kuna kundi linalomzunguka Rais Samia Suluhu Hassan ambalo limekuwa likiweka vigingi kwa watu, wakiwamo wataalamu...
Ni kwa sababu moja tu! JPM, hakuwa mvivu, ni mtu aliyekerwa sana vinchi vidogovidogo kuwa juu yetu kiuchumi, Uchapakazi wake na kasi yake; maono makubwa na ya mbali kuliko ilivyotarajiwa na wengi! Ilimfanya atrend haraka na kueleweka kwa kila mtanzania mwenye akili timamu bila kujua kwamba hilo...
"Rais Samia Suluhu Hassan ananiita mdogo wangu mpaka leo. Hata alipokuja Ubelgiji mwaka jana aliwaambia wale wapambe wake 'mmemuona mdogo wangu?" - Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu.
..................................................................................
CCM Kila la Kheri...
MTANZANIA Mzalendo, Mussa Okoko amewatupia lawama Mawaziri kuendelea kulamba asali huku walalahoi wakishindwa kupata mlo japo mmoja kwa siku
"MCHELE KILO MOJA 4000 UNGA KILO 2000 MAHARAGE KILO 4000,DAGAA KILO 7000,NYAMA KILO 10000 MCHICHA FUNGU 600, MAWAZIRI WANAJIFUNGIA KWENYE VIYOYOZI...
Mheshimiwa Lissu kaingizana nchini jana kama farasi wa ngongo. Mapokezi yake tu ni ishara tosha kuwa huyu ni mtu wa namna gani kwa watu wake.
Kwenye hotuba yake mara tu baada ya kuwasili, anawaongelea waziwazi watanzania wote. Matatizo ya bei za vyakula, mzigo wa matozo na kodi ni shida kwa...
Kwa wale Wasomaji wa Biblia wanaungana na mimi, Eva alifanikiwa kumshawishi Adam hata akatenda kile ambacho alikatazwa kukifanya, maneno matamu Eva (ASALI) yalimshawishi Adam kutokumtii Mwenyezi Mungu nakujikuta ameanguka dhambini.
Lakini Pia Delila alifanikiwa kumshawishi na ASALI Samson...
Ni ushauri wa bure kwa CHADEMA, mmemtukana sana Hayati ridhikeni sasa tafteni kuungwa mkono na hao
Sukuma Gang.
Hamkuona wenzenu rufiji wakitaja jina la hayati watu wanalipuka kwa shangwe!?
Ni asubuhi tulivu siku ya Jumamosi tarehe 21 Januari hapa Jijini Mwanza.
Macho na masikio ya Watanzania yanaelekezwa hapa Jijini Mwanza kutakakofanyika shughuli kubwa ya kisiasa ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo.
Chadema Leo inazindua Rasmi mikutano ya kisiasa baada ya kuzuiwa kwa miaka...
Ama kweli kutesa Kwa zamu. Haya si kwa majirani tu bali hata kwetu wajiandae:
“They were very vocal in telling Kenyans not to vote for thieves yet they were the real thieves."
Hawa siyo kwao tu hata kwetu wapo:
“We will not pay for that loan since farmers did not approve it,” he said...
Rais Samia ameyasema hayo akiwa anawaambia viongozi wa vyama vya siasa wanatakiwa kufanya siasa za kistaarabu kwasababu kutukanana siyo mila za kitanzania.
Akisema kuwa yeye anaweza kuwa na upeo mkubwa wa ustamihilivu kama aliyokuwa nayo, sababu yanampata lakini anakaa kimya lakini chawa wake...
asali
chawa
cost
hadhara
kitendawili
mama samia
mbowe
mikutano
mikutano ya hadhara
nani
rais
rais samia
rais samia suluhu
samia
samia suluhu
serikali
uwajibikaji
MADAI
Kumekuwepo na picha inayozunguka mtandaoni ikimuonesha mwenyekiti wa CHADEMA Mhe. Freeman Mbowe akizungumza na Rais Samia huku mandhari ya nyuma ya picha hiyo kukiwa na chombo chenye asali ndani yake.
Ukweli wa picha hii upoje?
Picha inayodaiwa kuwa na chombo chenye asali
Picha...
Heri ya Mwaka Mpya wana JF nyote.
Nimekutana na picha ikimuonesha mwenyekiti wa CHADEMA bw. Freeman Mbowe akizungumza na Rais Samia lakini baada ya kuiangalia sana nimeona kwenye mandhari ya nyuma ya picha kumewekwa chombo chenye asali ndani yake.
Nimejiuliza maswali mengi bila majibu.
Kwa...
Eti wataalamu, tofauti ya asali ya nyuki wadogo na wakubwa ni nini? nyuki hao wanatofauti gani zingine mbali na ukubwa? maana binafsi huwa naona hili suala ni la marketing tu ili kupiga watu bei.
Upinzani imara ndio hufanya Serikali ya CCM yenye utendaji imara na wenye hofu Kwa Umma na tija Kwa wananchi. Pia usikivu na uwajibikaji wa haraka na majibu haraka ya kero mbalimbali
Kimsingi imani iliyopo ya hayo maridhiano ambayo ni maridhiano uchwara, pengine msingi wake ni kumponya Mbowe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.