Kuna mchambuzi namshukuru kwa kuifanya kazi ya Serikali kuwa rahisi. Amechambua vipengere vinavyoidhlilisha nchi yetu tukufu ya Tanzania.
Mwanasheria Mkuu ni lazima achukue hatua na si kuwaachia kina Mbarawa mambo haya ambayo yana lifedhehesha Taifa.
Ukitaka kujua hii nchi unafiki ni mkubwa, tazama tulivyo kidedea kuminyana na maswala ya bandari wakati swala la katiba (ambalo ndio source ya haya yote) tumesinzia.
CCM na katiba leo hii ndio imetufikisha hapa.
Tumeshindwa kudai katiba basi hata hili la bandari tutulie kimya, maana bado nguvu...
Hawa jamaa ngoje nitumie fursa hii kuwapa pole. Maana wana wakati mgumu sana kuchuja habari.
Watu tunaandika kwa mihemko. Kongole kwenu na pole kwa kupitia mefu ya nyuzi bila kucboka...
I
KWA NINI KUUPINGA MKATABA WA BANDARI INAITWA "UDINI" LAKINI KUUNGA MKONO SIO UDINI? MSIWE WAPUMBAVU.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Wanasiasa moja ya mambo yanayowashushia heshima ni kigeugeu na unafiki wao. Wanasiasa wakisifiwa na viongozi wa dini hawasemi dini imeingizwa kwenye Siasa...
Akitoa hotuba yake, Sheikh Muharam Mziwanda amedai kwamba Kanisa Katoliki linahusika na upotevu wa makontena bandarini.
Kama ni kweli, je ujio wa DP unaenda kukata mirija ya hawa ndugu? Kuna tetesi kwamba maelfu ya makontena hupitia jina la kanisa hili kwa lengo la kukwepa Kodi.
Je kanisa...
Ukimya wa Mbunge wa Chalinze unatupa picha gani kuhusu msimamo wake kwa mkataba huu wa ajabu ajabu?
jimboni hajapita kuufafanua wala kuukosoa. Je anataka tumuone ni mwema sana kuwa hana upande wakati aliupigia kura mkataba huu?
Wanangu wapendwa,
Je kama tungetakiwa wabongo tupige kura kupitisha au kuupiga chini mkataba wa bandari, wapi ungeeelekeza kura yako? Kama itawafurahisha hasa ikizingatiwa kuwa inatoka kwa baba yeni, pigeni kura kuonyesha nini kifanyike.
Maaskofu wa dhehebu moja linalosifika kwa ubakaji na...
https://youtu.be/XejFzX2kqfc
Katika harakati za kupigania bandari isiuzwe mtumishi wa Mungu amejitokeza na kumchambua Kikwete. Mtumishi amesema Kikwete hakuainisha mipaka. Kwamba matendo yapi ya mwanasiasa tanatakiwa kukemewa. Amehoji mbona pindi dini inaposifia wanasiasa hakuwahi kuhoji...
I. UTANGULIZI
Aya ya 19(2) katika Katiba ya Tanzania (1977) inaizuia serikali kujitenga na ubaguzi wa kidini na kuhimiza usawa wa kidini kwa kutumia maneno ifuatayo:
"Bila ya kuathiri sheria zinazohusika za Jamhuri ya Muungano, kazi ya kutangaza dini, kufanya ibada na kueneza dini itakuwa ni...
Maana si kwa kukomaa huko! Hivi mtu ukiwa blackmailed unafanyaje kujinasua? Tufanyeje tuweze kuwanasua? Maana kwa kweli naanza kuwaonea huruma na inabidi tuwaombee sana!!
Bila kupoteza mda waraka wa Maaskofu umemtoa Kikwete pangoni alikojificha siku nyingi.
Binafsi nimekuwa nikihoji uadilifu wa huyu mstaafu na faida yake kwa nchi pale mambo yanapokuwa yanaenda mrama amekuwa kimya sana.
Sasa tumemskia anakemea udini ambayo ni planned huko mara kwenye kanisa la...
Kuna watu wanapotosha kuwa TEC imeingilia maswala ya kisiasa. Kwamba TEC iache kuchanganya dini na siasa.
Ninachopenda mfahamu ni kwamba, michakato katika nchi imegawanyika katika sehemu tatu Siasa, uchumi na jamii...yaani political, economic and social.
Swala la mkataba wa bandari si swala la...
Ni haki na wajibu wa kila Mtanzania kuhakikisha rasilimali za nchi yake hazichezewi hovyo.Nawapongeza nyote munaotoa maoni yenu ya kuukosoa huu mkataba ila chonde chonde, tujitahidi kuongeza umakini tunapokosoa.
Kikawaida,imani ina nguvu sana kwenye suala la ushawishi. Unaweza kushangaa mtu...
1)Fanya utafiti yakinifu na makini kubaini gharama,namna bora ya uendeshaji,faida na mengineyo watu wa project wanaweza kunisaidia. Weka mipango mirefu na mifupi na kufanya tafiti za mara kwa mara kuona malengo yamefika wapi
2)Tafuta wataalam waliobobea kwenye maswala ya uendeshaji wa bandari...
Chanzo cha habari kilichiripoti tukio hilo sikuu hii ya leo kabisa tena siku tukufu ni gazeti la mwananchi, watu wamesikiliza kwa makini waraka huo na kuelewa nini kinaendelea nchini[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Niko hapa kuthibitisha hilo pasi na chembe ya shaka yoyote leo nimehudhuria ibada ya misa takatifu katika kanisa la St Joseph Cathedral Dar.
Waraka umesomwa kwa waumini wote, na kupitia reliable source ya Jesuits agent amenithibitishia makanisa yote na vigango vyote vya kanisa katoliki Tanzania...
1) tukumbuke kanisa katoliki lina wasomi wengi sana tena wenye uwezo na elimu za juu sana na kikubwa zaidi wana intelligence system yenye nguvu sana kote duniani. Ukiona jambo wameshikilia msimamo ujue kuna kitu.
2) Najiuliza sana kwanini hawa DP wanakuja tu baadhi ya sheria zinataka...
Tokea suala hilo liibuke, takriban miezi miwili sasa, kumetokea makundi makuu mawili.
Kundi la kwanza ni la wanounga mkono huo mkataba. Na kundi la pili ni la wanoupinga, wengi wao wakitaka baadhi ya vipengele virekebishwe.
Binafsi, nipo upande wa wanaotaka huo mkataba urekebishwe ili uweze...
Thamani ya rasilimali zetu imeshushwa chini kutoka kwenye utetezi wa watu makini hadi kutetewa na chawa; chawa hawana hoja wana matusi na tunaamini tutapiga hatua ?
Ni fedhea kubwa sana kuona baraza la maaskofu na watetezi wengine wa rasilimali zetu wanakosa wasome wakuwajibu badala yake...
https://youtu.be/CsfIiDj5LQY
Askofu profesa Victor Chisanga kwenye mahojiano yake na Jambo TV kadai ana maelekezo ya Mwenyezi Mungu lazima apinge mamlaka kwenye uwekezaji wa bandari na asipofanya hivyo atakwenda motoni.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.