Ukitaka unufaike na matatizo yako basi yageuze upande wa pili.
Sakata la bandari limeibua mengi na sasa linaonekana kutaka kuigawa nchi. Niwaambie kitu? Nchi yetu itakuwa imara zaidi baada ya sakata hili.
Kwani tutawajua viongozi wetu vizuri zaidi, tutajua sheria zetu vizuri zaidi, viongozi wa...
Tumewahi kuona mikataba mikubwa ya kuuza au kubinafsisha raslimali zetu ikisainiwa kati ya Tanzania na mataifa mbalimbali lkn huu wa kuuza bandari zetu unaoneka kuwa utavunja rekodi ya kuwa mkataba mbovu kuwahi kusainiwa na rais aliye madarakani na utamwachia legacy mbaya Rais Samia.
Tukiondoa...
Kama kawaida yangu Lord Denning a.k.a kiboko ya wafiwa a.k.a kiboko wa ufipa fc na kiboko ya wapotoshaji leo nakuja kwenu wale mnaodai Rais ameuza Bandari zetu
Swali langu kwenu.
Upo wapi uthibitisho/ ushahidi wa Bandari zetu/ yetu kuuzwa?
Msisitizo: Sitaki longolongo , naombeni uthibitisho...
Serikali ya mhe Ndugu dkt Samia naishauri kwa wazi! isikamate watu na badala yake afumue Baraza lote la Mawaziri na pale ndipo kuna shida.
Unajua Wananchi wakipiga kelele sana nadhani hekima pekee ni kuwapa majibu hata kama majibu hayo yana uchungu.
Jaribio la kuwakamata watu wanaopinga swala...
Kifungu cha 11 cha National wealth and reources (permanent sovreignty) kinazua makampuni yatayoingia mkataba na nchi yetu kutumia rasilimali kufungua kesi nje ya nchi kwenye mahakama za kitaifa.
IGA ya mwarabu imeenda kinyume na sheria za nchi.
Ila ilipitishwa na ikabarikiwa na mahakama kuu.
Sijajua nini shida mpaka CCM wameshindwa kutoa elimu na kuwahakikishia wananchi kama kama kweli mkataba sio mbovu.
Lakini Chadema kupitia Tundu Lissu walikuwa wanafafanua ibara mbovu zisizofaa
Majaji watatu huko Mbeya High court wamekiri kuwa mkataba ni mbovu kwa baadhi ya vipengele ila...
Dikteta ni neno la kumtaja mtawala asiyebanwa na sheria na kutumia nguvu ya dola kuendeleza utawala wake na kutokubali upinzani dhidi yake.
Dikteta uwa mtendaji mkuu wa serikali na amiri jeshi mkuu. Anashika pia madaraka ya kihakimu. Anaweza kuwaondoa maafisa wote wengine madarakani, anaweza...
Jana wamekamatwa Mdude Nyagali na Mwabukusi.
Leo kuna tetesi kukamatwa kwa Dr. Slaa tena akiwa nyumbani kwake.
Naanza kupata wasiwasi wakosoaji wengi wa suala la bandari watawekwa kolokoloni. Je nani anafuata kukamatwa?
Lakini pia hili sio la kwanza kufanyika hata Hayati Magufuli alifanya...
Asalam,
Nilifuatilia sana suala la kesi iliyofunguliwa na hawa mawakili. Nikafuatilia hukumu na baada ya hukumu nikajipa muda kufuatilia mitazamo, uelewa, na mipango ya wafungua kesi. Huu ndio ushauri wangu.
1. Zamani sio kama sasa, hasa kwa taifa lililopevuka kama Tanzania, TUHESHIMU TAASISI...
Uingereza ilikuwa na uchumi mkubwa duniani kwa zaidi ya miaka 200+ kwa kuweza kudhibiti njia za majini na karibu bandari zote ulaya kuanzia Karne 15. Kifupi ilijengwa na uchumi wa bandari.
Ukiigusa Dubai unaigusa Uingereza. Hata Mjerumani alipoachiwa Tanganyika hakuachiwa pwani yoyote. Pwani...
Hey habarini nyote,
Nimesikitika na kutema mate na kusonya sana utoto wa hatua ya police kuhusu maandamano ya amani na yenye nia njema kufikisha ujumbe wa kupinga mkataba mbovu na wa kitumwa na usiofaa popote Duniani kote.
Ni zumbukuku na mazumbukoko tu ndio wanaweza kua na akili za kengeza...
Tuseme tu ukweli.
Nyerere aliwanyanganya kila kitu Wageni. Alipoondoka tu. Mwinyi akauza migodi iliyokuwa ikifanya kazi akaanza na mwadui. Polisi kibao wakaondolewa uko.
Mkapa akaja akagawa migodi yote adi ya wachimbaji wadogo. Buzwagi, geita na bulyankuru na yeye akajipati wa kwake kiwira...
Johanne Poirier
Full Professor
Peter MacKell Chair in Federalism
New Chancellor Day Hall
3644 Peel Street
Room 604
Montreal, Quebec
Canada H3A 1W9
514-398-3296 [Office]
Email
Website: Peter MacKell Chair in Federalism
List of Publications
Recent media appearances
The Sunday Magazine (hosted...
Kalibia mwezi mzima sasa naona matangazo mengi ya TPA kwenye digital platforms hasa hasa Google Ads(Youtube, search engine, e.t.c).
Nashindwa kuelewa, haya matangazo ni ya nini? Na mbona hatujawahi ona matangazo yenu kipindi cha nyuma?
Hata kama tunaitaji mwekezaji. Huyu DP World hawezi kuwa...
"Leo (jana) hukumu ya kupinga mkataba wa bandari imetoka lakini kabla haijatoka nilishafanya mikutano kadhaa nikawaambia wana-Mbeya mjini bandari haijauzwa nikawaambia nchi haijauzwa mtu akikuambia bandari imeuzwa mwambie shilingi ngapi?? Akishindwa kukuambia chaliiii!!! maana leo (jana) watu...
Wapendwa wana wa nchi! Kupitia viongozi wetu wa kiroho wa dini zote na madhehebu yote nchi nzima,kuchagua siku maalum ambayo itatuweka pamoja kwa ajili ya kumlilia Mungu aliyetujalia kuwa Tanzania na akatupa rasilimali hii muhimu ya bandari,ambayo watawala wasio na haya wameamua kutuuza na...
Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu anesema angeshangaa Sana kama majaji wangeamua tofauti na walivyofanya leo kwani hawawezi kuukata mkono unaowalisha.
Lissu amesema Mahakama ya sheria haiwezi kuamua Swala la Bandari bali ni lazima itumike Mahakama ya Umma yenye Majaji milioni 60 na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.