bandari

  1. Rutashubanyuma

    Hawa DP WORLD siyo wawekezaji bali ni mchwa

    SERIKALI IJIANDAE KUWATETEA DP WORLD KWA SABABU AJIRA NA MAPATO YA BANDARI YATAKASHUKA MNO! Hawa DP WORLD siyo wawekezaji bali ni mchwa. Tuna mapigo matatu yanahusiana na huu uwekezaji wa kifisadi yanakuja bila kuchelea. Pigo la kwanza mapato yatashuka kinyume na matarajio yao. Mapato ya...
  2. BARD AI

    Kuling'ang'ania suala DP World kuchukua Bandari ni dhahiri kuna Viongozi wamelipwa Fedha

    Licha ya makelele yote haya kwa Wananchi, Mashinikizo ya Wanasiasa na sasa Matamko ya Viongozi wa Dini kupinga suala la Dubai kuwekeza kwenye Bandari zetu inaonesha kabisa Kuna watu wamelipwa fedha nyingi wameahidiwa mgawo mkubwa sana endapo jambo hili litaanza utekelezaji nchini including namba...
  3. Robert Heriel Mtibeli

    Serikali isikubali mtafaruku wa Bandari kuchukua mkondo wa kidini, ni ngumu kuidhibiti

    SERIKALI ISIKUBALI MTAFARUKU WA BANDARI KUCHUKUA MKONDO WA KIDINI, NI NGUMU KUIDHIBITI. Anaandika, Robert Heriel. Mtibeli. Haya mambo yanayoendelea ndani ya nchi Kwa kweli hayavutii na kuna Wakati yanatia wasiwasi. Serikali inahitaji kutiiwa lakini nayo inaowajibu wa kusikiliza kile...
  4. H

    " La T.E.C. sio Tamko la Bandari, ni waraka wa Bandari kwa Watanzania wote" au (barua ya kichungaji kwa watanzania.)

    Tusichanganye dini na siasa, au viongozi wa dini ingieni kwenye siasa, imekuwa silaha kubwa kwa wanasiasa wezi, mafisadi, majambazi, wabadhirifu wa mali za umma, kuwazuia viongozi wa dini kufanya kazi yao ya kufundisha kuonya, na kukemea maovu katika jamii. hata wakati mambo yanakwenda vibaya...
  5. K

    Baraza la Maaskofu ni wanadamu, wanakosea kwenye mengi hata waraka wao kupinga uwekezaji wa bandari ni makosa.

    Kuna aina mbili za mitazamo ya watu juu ya viongozi wa dini: Aina ya kwanza wanawatazama viongozi wa dini kama wanadamu kamili na wenye ukamilifu wote, kunena mpaka kutenda kwao ni kwa ukamilifu. Hawakosei lolote Aina ya pili wanawatazama viongozi wa dini kama wanadamu wa kawaida, wanatenda...
  6. MK254

    Bandari ya Urusi yashambuliwa, inawaka moto mkubwa

    Ni muendelezo wa kumpa Mrusi kibano, kumgeuzia kichapo, sasa hivi ndiye anapokea, kaanzisha...wenzake wanamaliza....na alishatoa mkwara kwamba akiguswa ndani atafanya kitu, sasa Ukraine wanajipigia opote kuanzia ikulu hadi bandarini...... https://t.me/shot_shot/55761 A huge fire covering at...
  7. B

    Mkataba wa Bandari: Diaspora Waandamana kupinga Mkataba wa Bandari leo Agosti 18, 2023 London

    Mambo yanakwenda kama moto wa nyika. Mkataba huu si usitishwe tu? Hivi kweli tumekosa watu wenye busara zao kiasi hiki? --- Habari zaidi, soma: Sakata la DP WORLD: Rais Samia asema Serikali itatafuta mbia wa kuiendesha bandari ya Dar, sasa kuchangia robo tatu ya bajeti ya nchi
  8. Replica

    Waziri Ndumbaro: Tibaijuka alikosoa mkataba wa bandari, amekamatwa? Asema ukitukana viongozi uhuru wako unaishia hapo

    Akizungumza katika kongamano la huduma ya msaada wa kisheria na upatikanaji haki kwa wananchi linalofanyika mkoani Arusha jana Alhamisi Agosti 17, Dk Ndumbaro amehoji kutokamatwa kwa Prof. Anna Tibaijuka na wengine ambao wamekosoa mkataba wa bandari. Ndumbaro amesema kukatwa kwa Dkt. Slaa na...
  9. Victor Mlaki

    Profesa Kitila Mkumbo: Wapinzani wanarukia hatua juu ya suala la mkataba wa Bandari

    Katika mahojiano kati ya Profesa Kitila Mkumbo na Mwandishi wa habari nimeweza kuelewa mambo yafuatayo: Mosi, suala hili la mkataba wa Bandari kati ya Serikali ya Tanzania na Emirati ya Dubai linapitia katika hatua kadhaa na hatua iliyopo ni hatua ya makubaliano kati ya Serikali na Serikali...
  10. Mr Dudumizi

    Jinsi suala la bandari linavyoidhalilisha na kuichafua LHRC

    Habari zenu wanaJF wenzangu, Ki ukweli hili suala la bandari ilikuwa ni lazima litokee ili watanzania tuweze kuwajua maadui wetu wa taifa. Lakini pia ilikuwa ni lazima litokee ili tuweze kuwajua wale Chui na Simba, waliojivika ngozi ya Kondoo na Swala. Watanzania wenye akili zetu timamu we...
  11. Naanto Mushi

    Miezi 30 ya Rais Samia madarakani: Pamoja na kujikwaa kwenye Bandari, bado ni Rais mwenye record bora ya kukuza uchumi wa Tanzania kwa kipindi kifupi

    Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni. Unapozungumzia masuala ya kiuchumi, huwa mara zote tunaangalia Zaidi ‘numbers’. Kwenye uchumi hakuhitaji porojo na mihemko. Waweza kumchukia mtu lakini kamwe huwezi kujidanganya kwamba eti hakuna lolote alilofanya, kwasababu namba huwa hazidanganyi. Lengo...
  12. Suley2019

    Nape Nnauye: Hakuna Mtanzania amekamatwa kwa kukosoa Mkataba wa Bandari

    Waziri wa Nape Nnauye amesema kwamba hakuna Mtanzania yeyote aliyekamatwa ama anyeshikiliwa na Jeshi la Polisi kwa sababu tu ya kukosoa mkataba wa uwekezaji wa bandari kati ya serikali ya Tanzania na Dubai kama ambavyo imekuwa ikitajwa na mashirika ya Kitaifa na Kimataifa. Kauli hiyo ameitoa...
  13. Crocodiletooth

    Dkt. Ananilea Nkya: IGP kusema Rais atapinduliwa ni kutweza utu wa Rais, kuonesha jeshi limeshindwa kumlinda

    Ipo script inazunguka mitandaoni inayojaribu kuonyesha waliokamatwa hawana tuhuma zenye kuhatarisha usalama wa serekali yetu. Nimeshindwa kuwaelewa zaidi pale wanapoona mtu / watu wanakamatwa kwa kauli zenye utata na hatari kwa taifa letu, Wao kazi yao huwa ni kukemea vikali waachiwe...
  14. BARD AI

    Tamko la Serikali kuhusu Kukamatwa kwa Dkt. Slaa, Mdude, Wakili Mwabukusi

    Waziri wa Mawasiliano Nchini Tanzania, Nape Moses Nnauye amejibu kuhusu matamko yanayondelea kutolewa na taasisi za kimataifa kuhusu kukamatwa kwa wakosoaji wa Mkataba wa Uwekezaji wa Bandari kati ya Tanzania na Dubai. Nape ameandika kupitia Twitter -- MAJIBU YA TANZANIA KUHUSU TAARIFA ZA...
  15. S

    Mbali na Mkataba wa Bandari ni mkataba gani mwingine ulipitishwa na vikao vya CCM?

    Wanabodi, Naomba ufahamu kidogo Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM (NEC) ilijadili na kupitisha Mkataba wa Bandari kwamba ni mzuri na una maslahi mapana ya Taifa. Naomba kufahamu katika Historia ya nchi yetu ukiacha mkataba wa Bandari ni Mkataba gani mwingine ulijadiliwa na NEC na kupewa baraka...
  16. saidoo25

    Wakili Mwabukusi amevunja rekodi za viongozi wote kutetea mali za umma, atalipwa wema hadi kizazi chake cha mwisho

    Wakili Boniface Mwabukusi yuko Mahabusu kwa siku kadhaa sasa kwa kosa la kupigania haki za Watanganyika kuzuia Bandari zake kuuzwa kwa Mwarabu. Mwabukusi anakuwa Mtanzania wa kwanza wa kizazi cha sasa kupinga mipango ya familia za watu wachache Serikalini kuuza mali asili za watanzania wote...
  17. The Burning Spear

    Kwa hali ilivyo sasa, Serikali itagombana sana na Watanzania kwa Mkataba mbovu wa Bandari

    Hawa ndo wanyakyusa katika ubora wao hawapendangi ujinga. Hizi nyimbo unaweza kuzibeza lakini kuna la kujifunza hapa kama wenye mamlaka wana akili. .
  18. Father of All

    Mahakama imeamua. Je, ndo bandari yetu imekwenda, unasemaje?

    Bila ushabiki. Kama ungeulizwa nini ushauri wako kwa mama kuhusiana mzozo wa bandari ambao mahakama kuu ilitolea uamuzi? Je, unashauri tuendelee hivi au tukate rufaa? Je, akili na nguvu vinavyotumika kuhakikisha hii kitu inafanikiwa zinaonyesha maanguko au mafanikio huko tuendako hasa...
  19. M

    Ombea Taifa dhidi ya Roho ya uadui na chuki za kidini iliyojidhirisha kupitia issue ya bandari

    Siyo kweli kwamba uwekezaji hauna faida au hasara Kwa mstakabali wa Taifa. Lakini hoja ya bandari imefunua mioyo ya wengi na kuonesha hatari iliyoko katika nchi yetu. Tanzania hatutakuja kupigana vita ya wenyewe eti Kwa sababu ya kisiasa. Ccm Ina nguvu sana kuweza kutawala hata miaka hamsini...
  20. Sildenafil Citrate

    Amnesty International: Mamlaka ya Tanzania iwaachie mara moja bila Masharti Wakosoaji wa Mkataba wa DP World inaowashikilia

    Mamlaka ya Tanzania inapaswa kuwaachilia mara moja na bila masharti Willibrod Slaa, aliyekuwa mbunge na Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Boniface Mwabukusi, mwanasheria na mwanaharakati, na Mdude Nyagali, mwanaharakati wa kisiasa, ambao wote walikamatwa kati ya 12 na 13 Agosti kwa kosa la...
Back
Top Bottom