Jana nilikuwa safarini mkoa wa Iringa. Njiani, ukipita Igingilanyi kwa mbele kuna askari polisi wawili walikuwa wanavizia magari yanayokwenda spidi wakiwa wameficha gari yao aina ya spacio.
Nilichoona ni kwamba mabasi yanapita kasi huku wakidondosha pesa. Hii ni aibu. Kuna haja ya kubadilika...