Madam President,naomba nikusalimie kwa salam ambayo umeipendelea Sana wewe mwenyewe kuwa NAKUSALIM KWA JINA LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA,NA KAZ IENDELEE.
First and foremost,naomba nichukue nafas hii kukupa pole zangu nyingi sana KWA kifo cha aliekuwa RAIS wa Jamhuri ya muungano wa...