barua

Barua (Assamese: বৰুৱা), also; Baruah, Barooah, Baruwa, Baroova, Barooa, Baroowa, Borooah, Boruah, Baroa is a very common Assamese surname.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Nawapongeza sana Polisi wetu kwa utaratibu mpya wa kumuita mtu kwa barua au kupiga simu

    Utaratibu huu wa polisi wa kumuita mtu kwa kumpigia simu au barua afike kituo cha polisi ni utaratibu mzuri sana kwani unalinda staha na heshima ya mtuhumiwa. Na ni utaratibu wa kistaarabu sana. It is a civilized form of summoning the accused person. Katika hili nawapongeza sana polisi. Mambo...
  2. Kimenuka: Ali Karume kujibu Mapigo, anasubiri barua ya kuvuliwa Uanachama

    Balozi Ali Karume MwanaCCM anayedaiwa kuvuliwa uanachama, Amesema kwamba , mpaka sasa hata yeye anasikia tu kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii kwamba amevuliwa uanachama. Na kwamba ikiwa atapewa Barua hiyo basi atafunguka , hawezi kuzungumzia uvumi tu wa mitaani. --- Muda mfupi...
  3. B

    Viongozi wa juu wa serikali wamulikie vitendo vya baadhi ya Wakurugenzi wa Halmashauri kukataa kusaini barua zinazofika ofisini kwa utekelezaji

    Tumeshaongea sn hapa juu ya baadhi ya viongozi wa serikali wanaolipwa mshahara wa Watanzania wanyonge kuona km ofisi wanazokalia ni mali Yao. Hili limekuwa likitokea ktk idara mbalimbali za serikali. Unakuta mtu kapewa dhamana kusimamia kundi flani la watu kwa kufuata sheria, utaratibu, na...
  4. S

    Naomba ushauri kuhusu barua ya kurejeshwa upya kazini

    Habarini, Nina barua yenye check namba, niliyoambiwa kwamba nionapo tangazo mamlaka yoyote ya ajira nchini ikiwemo sekretarieti ya ajira niombe ili niweze kupangiwa kituo kulingana na uhitaji uliopo. Sasa kuona tangazo ni ishu ukiliona leo mpaka baada ya miezi au mwaka pia nafasi ni chache...
  5. M

    Barua ya wazi kwa maaskofu wa TEC: Baba zetu tuokoeni, nchi yetu inauzwa Uhuru wetu unamong'onyolewa

    Kwenu baba zetu maaskofu. Nawaandikieni nikiwa na hisia nzito iliyojaa huzuni kubwa juu ya mustakbali wangu na Taifa langu na vizazi vijavyo. Baba zetu, siku zote Taifa letu linapokuwa katika mtanzuko mzito, hamjawahi kusita kusimama thabiti na kutoa muelekeo wenye kuponya ili kuwasaidia...
  6. Barua ya wazi kwa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Rais Hussein Mwinyi

    MH. RAIS, POLE KWA MAJUKUMU MAZITO UNAYOKABILIANA NAYO TANGU UTWISHWE JUKUMU HILI ZITO LA KUONGOZA VISIWA HIVI VYA ZANZIBAR pale wakazi wa visiwa vya Unguja na Pemba walipokuchagua kuwa kiongozi wa visiwa hivi katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2020. Hadi sasa sisi wakazi wa visiwa hivi tunaziona...
  7. Mkazi wa Songea amuandikia barua Spika wa Bunge kupinga bandari kuuzwa

    BRAHIM JEREMIAH S.L.P 602 SONGEA 06/06/2023 KATIBU WA BUNGE, OFISI YA BUNGE 10 BARABARA YA MOROGORO S.L.P 941, 40490 TAMBUKARELI DODOMA YAH. KUPINGA AZIMIO LA UBINAFSISHWAJI WA BANDARI KWA KAMPUNI YA DP WORLD Ndugu Husika na Kichwa cha barua hapo Juu, Mimi ni Mtanzania ambaye nimeguswa na...
  8. Ofisi za Wakuu wa Wilaya na barua za wapitao mitaani kuomba misaada!

    Maana nimekutana na hawa watu (nawe pia naamini umekutana nao) wanapita mitaani kuomba wasaidiwe matibabu au masuala mbalimbali ya kijamii. Tusiwajadili wale matapeli. Mana leo nmekutana na mhitaji kweli alipata ajali ya gari. Anahitajika kurudiwa upasuaji wa mguu. Ukicheki gharama ni kama laki...
  9. Masijala wanakwamisha shughuli za Watu na Serikali

    Wakuu ivi huyu masjal ni nani? Maana sikuizi ofisi za serikali nyingi ukienda kufwatilia maswala ya msingi..unaskia "barua yako haijajibiwa na masijala njoo mwezi ujao au mwakani njoo" Kirahisi rahisi ivyo? Ikumbukwe kua binadamu anaishi vizuri kwa kumtegemea binadamu mwenzake.. Pale...
  10. Hatima ya mtumishi aliyefukuzwa kazi kwa utoro kazini akiwa shuleni kwa barua

    Kwenu wanasheria. Mpwa wangu alikuwa chuo akisoma shahada ya pili! Kwenye kile kipindi cha giza alitolewa kwenye ajira kwa kisingizio kwamba alikuwa nje ya kituo cha kazi na kwamba muajiri alikuwa hajui alipo. Amejaribu kufuatilia lakini ngoma ngumu. Japo kuna wadau wanasema anaweza kurudi...
  11. Barua ya mwaliko wa kusafiri ughaibuni

    Habali wakuu, Dada yangu wa kufahamiana, yeye anataka kwenda kuishi nje yani USA lakini amekosa visa hapa Bongo. Kwahiyo atakayependa kumsaidia hata ampe mwaliko ili aombe visa. Kuhusu pesa ya nahuri na visa anayo ila mwaliko ndo hana kwahyo naombeni ndugu zangu msaidieni sister huyu aje huko...
  12. Barua ya kuomba nafasi nilipitisha kwa mkurugenzi wangu

    Habari wadau, Naomba kupata elimu kuhusu hili suala langu hapa. Nilipitisha barua yangu kwa mkuu wangu (DG) kwa lengo la kuomba nafasi taasisi X. Je, wakati wa kuomba kibali nalazimika kupitisha tena au naweza kuitumia ili barua niliyoipitisha awali kama kiambatanisho.
  13. Serikali yakana kupokea barua ya Mkurugenzi Jatu kukiri Mashtaka

    Upande wa mashtaka katika kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili mkurugenzi mkuu wa kampuni ya Jatu PLC, Peter Gasaya (33) umeileza mahakama kuwa bado haujapata barua ya mshtakiwa huyo kuomba kufanya majadiliano na makubaliano na Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) kukiri mashtaka yanayomkabili. Gesaya...
  14. Yanga yapigwa faini na CAF kwa makosa 3 likiwemo kuwasha fataki uwanjani wakati wa mchezo

    =============== Katika lugha inayotumika kwenye barua official sehemu za pesa huwa zinaanza kwa tarakimu zilizotenganishwa kwa comma, kisha aina ya pesa kwa initials baada ya hapo kuwepo kwa mabano ya maneno) Mfano 2,000 USD (Two thousand US Dollars) 2,000 Tshs (Two thousand Tanzanian...
  15. Sikujua tumefikia mpaka kazi ya Uchawa unatakiwa Kutuma maombi ya barua na CV.

    Kwema Waungwana! Leo nilikuwa kwenye interview kama mnavyojua kijana ni taifa la leo, na kijana ni nguvu kazi ya nchi. Nami nikasema nisibweteke mwishowe nisijeitwa majina mabaya. Acha nitafute kazi hata zile nilizoona hazihitaji Vyeti. Maana hizo za Vyeti kiukweli Ngoma ngumu, nimeomba mpaka...
  16. T

    DOKEZO Matangazo na barua za vitisho zashamiri kwa wataokaidi kuhudhuria Sherehe za Mei Mosi kitaifa Morogoro. Sheria ikoje?

    Wapo watumishi wasioona mafanikio ya kutatuliwa kero zao za kiutumishi siku ya Mei Mosi, wapo watumishi wasio wanachama licha ya kukatwa mishahara yao ili kulipia michango ya vyama vya wafanyakazi, wapo watumishi wanao amini michango yao inaliwa tu na viongozi wa vyama hivi kwa kujilipa...
  17. Sharti la kupitisha barua kwa mwajiri wakati wa kuomba kazi za serikali ni kikwazo

    Tofauti na zamani kwenye matangazo ya kazi mbali mbali hivi karibuni serikalini kumekuwa na uhuru wa watumishi kuomba hizo kazi ila kigezo kimojawapo ni kutakiwa kupitisha barua ya maomba kwa mwajiri husika, mfano mkurugenzi wa halmashauri. Kwa kiasi kikubwa hiki kimekuwa kikwazo kwa mtumishi...
  18. A

    Barua ya wazi kwa Waziri TAMISEMI

    Pole na majukumu Ndugu Waziri, nina machache ya kukushauri juu ya suala la ajira za walimu; Rejea enzi za Ummy Mwalimu, alichukua wahitimu wa 2012, 2013, 2014, na 2015 akapeleka wote primary hakukuwa na shida. ~ Chukua wahitimu wote wa 2015 peleka primary ili upunguze kelele.
  19. B

    Barua kwa Mpendwa Mwalimu wangu

    Nimeona post imesambaa sana ya barua ya mapenzi iliyoandikwa na mwanafunzi kwenda kwa mwanafunzi mwingine...kwa Zama hizi hili linaonekana la ajabu lkn nyakati zetu halikuwa jambo la ajabu, binafsi nilikuwa bingwa wa kuandika barua za aina hiyo. Namuomba binti aniazime daftari, japo sina haja ya...
  20. K

    DOKEZO Barua kwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan

    Rais Samia Suluhu Hassan nianze kwa kukupongeza pia kukupa pole na majukumu mazito ya ujenzi wa Taifa. Tunamshukuri Mungu kwa kutupa Rais ambaye amefanikiwa kuliunganisha Taifa ndani ya kipindi kifupi Mungu akubariki mama yetu. Neno haki halijawahi kuachwa kwenye kinywa chako, ukiamini haki...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…