bashiru

Ayotomiwa Sherif Dele-Bashiru (born 17 September 1999) is a Nigerian professional footballer who plays as a midfielder for Watford.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    Hii imekaaje: Spika Ndugai kumwakilisha Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Bashiru kwenye mkutano

    Kuuliza siyo ujinga. Leo nimemsikia Rais wa CWT bi Ulaya wakati anawatambulisha wageni wa meza kuu alimtambulisha mh Job Ndugai Spika wa Bunge ambaye anamwakilisha Katibu mkuu wa CCM. Kiitifaki hiyo imekaaje? Ni hilo tu, Maendeleo hayana vyama!
  2. J

    Rais Magufuli akutana na Rais Zanzibar, mzee Mangula na Dr Bashiru Ikulu Dodoma

    Rais Magufuli ambaye ndiye Mwenyekiti wa CCM amekutana na Rais wa Zanzibar Dr Shein ambaye pia ni makamu wa mwenyekiti CCM huko visiwani. Katika kikao hicho alikuwepo pia mzee Mangula na Dr Bashiru Ally. Baada ya kikao hicho Rais Shein alienda kuweka udongo kwenye jiwe la msingi la ujenzi wa...
  3. F

    TAKUKURU Ikimaliza Kuichunguza CHADEMA Watumie Ripoti ya Wizi wa Mali za CCM ya Bashiru Kuichunguza CCM pia

    Katika kuendeleza mashambulizi dhidi ya CHADEMA na Mbowe, serikali ya CCM imeiagiza TAKUKURU kuchunguza tuhuma za ubadhilifu wa fedha ndani ya CHADEMA. Mbali na ripoti ya CAG kueleza wazi kuwa kulikuwa na kasoro kadhaa katika taarifa za fedha za vyama vyote, vikiwemo CCM na CUF, TAKUKURU...
  4. F

    Kuna ukimya sana wa ndugu zetu Dkt. Bashiru na Polepole, kulikoni?

    Habari za pilika wana wa jamii forums. Kumekuwa na ukimya kwa mwezi mzima sasa, kati ya hawa wanasiasa wa CCM, ndugu Dkt. Bashiru Ally na Humphrey Polepole. Hawasikiki tena na mwezi umeisha siwasikii wawili hawa ambao ni watendaji wakubwa sana chamani. Mnyika, Zitto, Habibu na wengine wa...
  5. G

    Rais Magufuli, Bashiru wagonga mwamba, walazimisha maamuzi yao kupita bila pingamizi, NEC wagoma kuburuzwa

    Kikao cha NEC kikiendelea kusubiriwa kwa hamu sana, ili kujipanga kwa ajili ya Uchaguzi mkuu ujao pia kwa ajili ya kupokea Maazimio ya Central Committee juu ya Kinana, Membe na Makamba. Tayari wanaCCM nchini kote wamewashangaa Magufuli na Bashiru kwa kukiuka kanuni za ccm na kutoa maazimio yao...
  6. S

    Ansbert Ngurumo: Bashiru aangukia pua kwa Meya Chifu Karumuna

    Waziri wa Fedha na Mipango, ambaye majuzi alimpigia simu Meya wa Bukoba, Chifu Karumuna, akamwita kwa dharura aende Dodoma kwa mazungumzo ya kikazi. Manispaa ya Bukoba inaongozwa na CHADEMA. Iilikuwa hivi: Chifu Karumuna akapokea simu toka Waziri Mpango, akaitwa Dodoma. Akaenda. Kufika ofisi...
  7. CoronaVirus yasababisha CCM kumpokea na kumpa Uanachama Fredrick Sumaye bila sherehe. Dkt. Bashiri asema itafanyika wakati mwingine

    TISHIO la ugonjwa wa Corona limesababisha Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye akabidhiwe kadi ya uanachama wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) kimya kimya, bila kuwepo shamrashamra zozote kama ilivyozoeleka. Akizungumza jana katika hafla fupi ya kumkabidhi kadi mwanachama huyo, Katibu Mkuu wa CCM, Dk...
  8. Mnyika: Kama CCM watatumia dola kubaki madarakani, sisi tutatumia nguvu ya umma kuwaondoa

  9. Taratibu tuelewane: Bashiru anaposema kutumia Dola kushika Dola anamaanisha haya...

    KUHUSU HILI LA DOLA TUKIENDA TARATIBU TUTAMUELEWA KATIBU MKUU Magoiga SN Katika nchi inayojiongoza kwa misingi ya kidemokrasia hususani demokrasia ya vyama vingi, Chama cha siasa kinapochaguliwa na wananchi kwa kura hupewa mamlaka ya kuunda serikali, serikali hiyo iliyoundwa inakuwa serikali...
  10. J

    Kwa kauli hii ya Dr Bashiru ni uhakika wahamiaji kutoka Upinzani akiwemo Mwita Waitara aliyekuwa Chadema hawatarudi bungeni

    Dr Bashiru amesema wabunge wote walioko madarakani watapimwa kwa namna walivyotimiza ahadi zao na jinsi walivyoielezea na kuitekeleza ilani ya CCM. Kimsingi hakuna mbunge wa upinzani au wale waliohamia CCM aliyetimiza ahadi alizoahidi. Naibu waziri Mwita Waitara kwa mfano amelikimbia jimbo la...
  11. M

    Wengi hawajaielewa kauli ya Dkt. Ally Bashiru kuhusu CCM kutumia faida ya kuwa na dola kuendelea kubaki madarakani

    Nimeona tafsiri potofu/uelewa finyu kuhusu Kauli hiyo ya BASHIRU, Msingi wa kauli hiyo ni dhana ya kitaaluma ya INCUMBENCY ADVANTAGES inayotumika katika Political Science. Chanzo cha tafsiri hio POTOFU inaweza kuwa uelewa hafifu wa dhana ya INCUMBENT ADVATANGE au inafanyika maksudi ili kupata...
  12. Jeshi la Polisi lazuia Mkutano wa ndani wa Bavicha Sengerema

    Hii hapa nukuu ya Rais Mstaafu Dr Jakaya Kikwete kwa wanaccm mwaka 2012
  13. Kitu gani kinachomfanya Dkt. Bashiru aweweseke hadi kutamani Membe arejee CCM?

    Kutokana na kauli alizotoa mfululizo katika siku chache zilizopita, mtu yeyote hana budi kujiuliza swali, kulikoni tena Dkt Bashiru amepoa na kutaka kujirudi hadi "kutamani" Membe aweze rejea CCM? Ametamka mwenyewe Dkt Bashiru, akiwasihi wanaccm wenzake, wasisheherekee kufukuzwa kwa kada...
  14. G

    Ushauri wa Bashiru kwa Membe na maana yake

    Hii tuanze tu hata bila kusalimiana wala kuzingatia itifaki maana sasa kila mwananchi ana maswali mengi kuliko majibu hivyo salamu na itifaki hazisaidii kutafuta majibu ya maswali vichwani wa wananchi. Tujiulize; Bashiru anashauri Membe ajiunge na upinzani na huko akagombee urais. Sasa kwa...
  15. Nitamsamehe Magufuli ila sio Bashiru

    Rais magufuli ni mgeni kwa Mambo mengi ya kisiasa ndio maana ameharibu kila mahali nitamsamehe kwa sababu ya ugeni wake kwenye mambo ya uongozi kimataifa sisi Kama taifa tuliyumba ndio maana yeye akajiokotea pera (guava) kwenye mpapai. Mungu anisamehe siwezi kumsamehe bashiru mpaka naingia...
  16. N

    Uchaguzi 2020 Dr. Bashiru: Kama Membe anasema tatizo ni Urais agombee kwa chama chochote tukutane uwanjani

    Katibu mkuu wa CCM amesema kama Membe anasema kilichomfukuzisha CCM ni nia yake ya kugombea urais basi agombee kupitia chama kingine na wakutane kwa debe. VIDEO: Dk Bashiru asema kama tatizo urais tukutane na Membe
  17. Joseph Mbilinyi Mbunge wa Mbeya Mjini, amuonya Bashiru Ally

    Amemtahadharisha kwamba kwenye suala la Urais na Ubunge wa Mbeya Mjini wana Mbeya Mjini walishalifunga tangu mwaka 2010.
  18. J

    Dr Bashiru: Ripoti ya Makamba, Kinana na Membe iko tayari na itawasilishwa kwa kamati kuu kwa maamuzi wiki hii

    Katibu mkuu wa CCM Dr Bashiru amesema ripoti ya Makamba, Kinana na Membe iko tayari na itawasilishwa mbele ya kamati kuu ya CCM wiki hii tayari kwa kufanyiwa maamuzi. Kadhalika Dr Bashiru amesema swala la katiba mpya ni la mchakato wa muda mrefu na siyo la wiki moja kama wenye tamaa ya kwenda...
  19. F

    Huko tuendako kuna tufani linakuja! Hii siasa ya CCM Mpya ya akina Bashiru Ali na Polepole ni dalili tu!

    Kwa mtu makini na mwenye uelewa mpana wa siasa au wale wana CCM makini na wenye upeo mkubwa hawawezi kukubali kuwa huku kuhamia kwa wapinzani kwa maana ya Wabunge na Madiwani ni ishara ya kukubalika kwa CCM au kuboreka kwa sera zake, la hasha! Kuna kitu hapa kinasukwa kwa ustadi na " gharama"...
  20. Chadema yaanza kufuta nyayo za Bashiru Ally jimbo la Ndanda

    Baada ya Bashiru Ally kufika Ndanda amejionea hali ilivyo ngumu , ambapo alivuna wanachama watatu tu wa Chadema na kuamua kukimbia mwenyewe , huku akiondoka na mapendekezo ya kumpeleka Cecil Mwambe Jimbo la Masasi baada ya kuona ukubwa wa Chuki za wananchi kwa Mwambe , imejulikana kwamba Mwambe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…