bei ya mafuta tanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Hormuz yabana dunia, bei ya mafuta yazidi kuwa juu

    Mgogoro wa Mashariki ya Kati umeifanya dunia kuendelea kuonja joto la jiwe, baada ya bei ya mafuta ghafi aina ya Brent kuendelea kuwa juu tangu Agosti, kutoka wastani wa dola 91 kwa pipa mwezi huo hadi kuvuka dola 100 Septemba na kuendelea kuzunguka kiwango hicho mwanzoni mwa Oktoba, hali...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania TPDC: Gesi ya Mitungi tunayotumia Nyumbani kwasasa yote inatoka nje, bei yake hupanda kulingana na bei za mafuta duniani

    Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), Mussa Mohamed Makame amsema, Gesi ya mitungi tunayotumia majumbani kwa sasa yote inatoka nje, bei yake hupanda kulingana na bei za mafuta duniani. "Gesi, nyingi ambayo tunatumia majumbani ni ile ya kwenye mitungi (LPG). Ni...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Waziri Ndejembi: Serikali imewataka TPDC, PBPA na EWURA kushusha bei ya mafuta baada ya kushuka kwa bei duniani

    Waziri wa Nishati, Deogratius Ndejembi amesema kuwa Serikali imezitaka mamlaka za TPDC, PBPA na EWURA kuhakikisha kuwa punguzo la bei ya mafuta katika soko la dunia linaanza kuonekana kwa wananchi nchini kuanzia mwezi ujao. Agizo hili linakuja kufuatia kuanza kushuka kwa bei ya mafuta ghafi...
Back
Top Bottom