TPDC: Gesi ya Mitungi tunayotumia Nyumbani kwasasa yote inatoka nje, bei yake hupanda kulingana na bei za mafuta duniani

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), Mussa Mohamed Makame amsema, Gesi ya mitungi tunayotumia majumbani kwa sasa yote inatoka nje, bei yake hupanda kulingana na bei za mafuta duniani.

"Gesi, nyingi ambayo tunatumia majumbani ni ile ya kwenye mitungi (LPG). Ni tofauti na gesi asilia ambayo sisi tunaisafirisha kwenye mabomba na kupitia njia ya CNG na LNG. Ile inatokana na uzalishaji wa mafuta, na kwasasa, kwasababu hatujaanza uzalishaji wa mafuta, ile gesi yote inatoka nje.

Kwa hiyo kwasababu inatoka nje, bei yake mara nyingi inacheza kulingana na mwenendo wa bei za mafuta duniani. Kwa katika kipindi hiki kwa mfano tangu vita imeanza, tumeona kwamba bei ya LPG ile imepanda."

Soma: Uharibifu wa mazingira kupitia ukataji miti hovyo ni tishio kubwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Chunya - Mbeya

HUYU KIUMBE ROSTAM NI KIUMBE KISHENZI.
 
Yanaeleweka labda hujaelewa ww. Kuna difference between gas ya manyumbani na ya mtwara
ile ya mtwara si walisema itasambazwa majumbani kama ilivyo maji? na kuna nyumba zimeungwa?

taarifa ya mwisho ya wazi may 8 2026 bungeni, ripoti ya jumla

1790000808790.png

mchakato rasmi wa uungwaji hauwekwi wazi, ndo sehemu niliyolenga kwamba hakuna taarifa za kueleweka
 
Nchi ka kiafrika kwao kuimport ni biashara nzuri ,ilq kuanzisha vyao ...Kama pale Kariakoo ni ufahari mtu kuingiza kontena za nguo na vifaa ila haweza kuanzisha kiwanda hata kama anao mtaji.

Hizi ni biashara za uchuuzi ,zinaendelea kulifanya taifa kuwa tegemezi..Leo pakitokea tu hata vita kubwa tunaathirika kweli kweli.
 
wanalenga kamisheni
 
Back
Top Bottom