rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 18,360
- 26,244
Wanataka mambo ya gesi na mafuta yasiwe ya muungano lakini wanataka kufaidi rasilimali za bara.Mkulugenzi kutoka Zanzibar mwenye profile lake la elimu
Wanataka mambo ya gesi na mafuta yasiwe ya muungano lakini wanataka kufaidi rasilimali za bara.Mkulugenzi kutoka Zanzibar mwenye profile lake la elimu
Ya mtwara inaenda zanzibar, ya Tanganyika inatoka njeile ya mtwara si walisema itasambazwa majumbani kama ilivyo maji? na kuna nyumba zimeungwa?
taarifa ya mwisho ya wazi may 8 2026 bungeni, ripoti ya jumla
View attachment 3675201
mchakato rasmi wa uungwaji hauwekwi wazi, ndo sehemu niliyolenga kwamba hakuna taarifa za kueleweka
Ilikuwa rushwa tuIle kampeni ya kugawa mitungi yaa gasi eti tutumie nisati safi lilikuwa ni bango la biashara viongozi hawana huruma na mtu wa chini
noma sana , hapa miaka mingi itapitaHili sahau,
naunga mkono, uchuuzi unaonekana upo simple zaidiBiashara za bongo zote ni za uchuuzi ..Mtu anaingiza container hata 4 ila hawezi kufungua hata kiwanda kidogo ,mashinw zipo za bei chee..Yaani bongo uchuuzi ,kwa idadi yetu siku ikitokea mipaka ikafungwa ghafla hata maboss watafilisika ; wamezoea kununua na kuja kuuza.
wanatumia njia gani kuipeleka zenji? kuna ushahidi?Ya mtwara inaenda zanzibar, ya Tanganyika inatoka nje
Chapa KAZI mkurugenzi TUMECHELEWA SANAMkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), Mussa Mohamed Makame amsema, Gesi ya mitungi tunayotumia majumbani kwa sasa yote inatoka nje, bei yake hupanda kulingana na bei za mafuta duniani.
"Gesi, nyingi ambayo tunatumia majumbani ni ile ya kwenye mitungi (LPG). Ni tofauti na gesi asilia ambayo sisi tunaisafirisha kwenye mabomba na kupitia njia ya CNG na LNG. Ile inatokana na uzalishaji wa mafuta, na kwasasa, kwasababu hatujaanza uzalishaji wa mafuta, ile gesi yote inatoka nje.
Kwa hiyo kwasababu inatoka nje, bei yake mara nyingi inacheza kulingana na mwenendo wa bei za mafuta duniani. Kwa katika kipindi hiki kwa mfano tangu vita imeanza, tumeona kwamba bei ya LPG ile imepanda."
Soma: Uharibifu wa mazingira kupitia ukataji miti hovyo ni tishio kubwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Chunya - Mbeya
Tofauti ni kuwa gesi inayotoka mtwara ni methane ama CNG, haiwezi kutumika jikoniile ya mtwara si walisema itasambazwa majumbani kama ilivyo maji? na kuna nyumba zimeungwa?
taarifa ya mwisho ya wazi may 8 2026 bungeni, ripoti ya jumla
View attachment 3675201
mchakato rasmi wa uungwaji hauwekwi wazi, ndo sehemu niliyolenga kwamba hakuna taarifa za kueleweka
Hana kosa ni muhalifu kabisa ...neno kosa linatokana na kukoseakosa la aziz lipo wapi?
Inaenda nje ili irudi ndani kutokea nje🐼Ile ya Ntwara inaenda wapi?
Sisi wazanzibar hatuna kodi umiza ndo maana bei ni ndogo.Zanzibar bei ni ndogo kuliko bara halafu uongozi wa tpdc wote ni wazanzibari.
nimekupa nakala ya hansard ya bunge, inaonesha kuna nyumba zimefungiwa , hustuki unavosema hawezi tumika jikoni?Tofauti ni kuwa gesi inayotoka mtwara ni methane ama CNG, haiwezi kutumika jikoni
Inayo tumika ni LPG, hii hatoki kwenye visima vya gesi, ila inatokana na hatua za kusafisha mafuta
Tatizo pia tanzania hai a refinery
habitatmedia.co.tz
Ya mtwara ndio hii inayotumika kwenye vyombo vya usafiri kama bajaji, ndio maana ukakuta bei ipo chini kama 1700 kwa kiloIle ya Ntwara inaenda wapi?
Aliyetuloga watanzania kashakufa hakyanani tena😡😡😡Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), Mussa Mohamed Makame amsema, Gesi ya mitungi tunayotumia majumbani kwa sasa yote inatoka nje, bei yake hupanda kulingana na bei za mafuta duniani.
"Gesi, nyingi ambayo tunatumia majumbani ni ile ya kwenye mitungi (LPG). Ni tofauti na gesi asilia ambayo sisi tunaisafirisha kwenye mabomba na kupitia njia ya CNG na LNG. Ile inatokana na uzalishaji wa mafuta, na kwasasa, kwasababu hatujaanza uzalishaji wa mafuta, ile gesi yote inatoka nje.
Kwa hiyo kwasababu inatoka nje, bei yake mara nyingi inacheza kulingana na mwenendo wa bei za mafuta duniani. Kwa katika kipindi hiki kwa mfano tangu vita imeanza, tumeona kwamba bei ya LPG ile imepanda."
Soma: Uharibifu wa mazingira kupitia ukataji miti hovyo ni tishio kubwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Chunya - Mbeya
CNG inatumika jikoni hiyo mikocheni kuna nyumba kibao za wadosi wanatumia kikubwa kuwe na pressure Regulator. Nimehusika kuweka meter kwenye baadhi ya nyumba chini ya GascoTofauti ni kuwa gesi inayotoka mtwara ni methane ama CNG, haiwezi kutumika jikoni
Inayo tumika ni LPG, hii hatoki kwenye visima vya gesi, ila inatokana na hatua za kusafisha mafuta
Tatizo pia tanzania hai a refinery