TPDC: Gesi ya Mitungi tunayotumia Nyumbani kwasasa yote inatoka nje, bei yake hupanda kulingana na bei za mafuta duniani

TPDC: Gesi ya Mitungi tunayotumia Nyumbani kwasasa yote inatoka nje, bei yake hupanda kulingana na bei za mafuta duniani

ORYX GAS
1790074436706.png




TAIFA GAS TANZANIA

Taifa Gas Tanzania Limited, initially established as Mihan Gas Company Limited, was duly incorporated in the United Republic of Tanzania in 2005, holding a certificate of incorporation number 52508, as a limited liability entity pursuant to the Companies Ordinance (Cap 212).

Over an initial two-year period, the Company invested significantly in its startup infrastructure within the Liquefied Petroleum Gas (LPG) sector and subsequently expanded its operations. In 2018, following a strategic acquisition by Mihan Gas Company Limited and subsequent consolidation, Taifa Gas Tanzania Limited rebranded and launched a new corporate vision.

Operating under the Taifa Gas and Mihan Gas brands, Taifa Gas Tanzania Limited offers LPG cylinders and related services.

The company boasts an extensive network comprising 22 depots and sub-depots strategically located across various regions including Mwanza, Mbeya, Moshi, Dodoma, Singida, Morogoro, Iringa, Tanga, Shinyanga, Songwe, and Manyara.

And the sub-depots being in Njombe, Bukoba, Geita, Tabora, Musoma, Arusha, Sumbawanga, Kahama, Singida, Mtwara, and Lindi.
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Kumbe unagoogle ndugu .Ngoja tu nikwambie Unaona hapo Udsm nyumba za lecturers wanatumia hiyo CNG.
huyo ni mtetezi mkubwa sana wa serikali, sasa anadhani AI anatumia mwenyewe tu, AI hiyo hiyo kama akiiuliza gas ile ya mtwara kama inatumika majumbani itamwambia ndiyo ila bado kiwango ni kidogo,, nimempa hadi nakala ya bunge majibu kuoka wizara ya nishati ila bado anakomaa na akili mnemba
 
USANII WA KI-DOLA KUHADAA WATANZANIA NI MWINGI SANA

Sasa tumeelewa kuwa gesi ya mitungi siyo ya kutoka Lindi wala Mtwara kama ilivyokuwa inaaminika kutokana na serikali kukosa uwazi wa kuelezea jambo hili la nishati kwa uwazi na ukweli.

Gesi ya majumbani imetumika kisanii na kipropaganda sana na CCM, kumbe huku nchi ikutumia mamia ya fedha adimu za kigeni kuagiza nq kununua gesi ya kupikia majumbani. Nina uhakika raia wengi walikuwa wamepumbazika kuwa gesi ya majumbani ni mitungi ya gesi ni gesi yetu ya Mtwara wakati siyo kweli kwa mujibu wa DG wa TPDC alivyoufahamisha umma leo.


TOKA MAKTABA
03 August 2026

Rostam kujenga LPG terminal Mombasa ni udhihirisho kazi ya wahindi ni kuvuna utajiri Tz na kwenda kuwekeza nchi nyingine​



Dennis Robert Shughuru​

JF-Expert Member​

Rostam kupitia Taifa gas anajenga LPG terminal mombasa ambayo ni kubwa east ila hii inadhihirisha tabia ya matajiri wa kihindi kuvuna utajiri Tanzania na kwenda kuwekeza nchi nyingine

Source :

 
  • Thanks
Reactions: Lax
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), Mussa Mohamed Makame amsema, Gesi ya mitungi tunayotumia majumbani kwa sasa yote inatoka nje, bei yake hupanda kulingana na bei za mafuta duniani.

"Gesi, nyingi ambayo tunatumia majumbani ni ile ya kwenye mitungi (LPG). Ni tofauti na gesi asilia ambayo sisi tunaisafirisha kwenye mabomba na kupitia njia ya CNG na LNG. Ile inatokana na uzalishaji wa mafuta, na kwasasa, kwasababu hatujaanza uzalishaji wa mafuta, ile gesi yote inatoka nje.

Kwa hiyo kwasababu inatoka nje, bei yake mara nyingi inacheza kulingana na mwenendo wa bei za mafuta duniani. Kwa katika kipindi hiki kwa mfano tangu vita imeanza, tumeona kwamba bei ya LPG ile imepanda."

Soma: Uharibifu wa mazingira kupitia ukataji miti hovyo ni tishio kubwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Chunya - Mbeya

Mkurugenzi wa shirika la umma haoni aibu kwa anayosema?
 
Kumbe unagoogle ndugu .Ngoja tu nikwambie Unaona hapo Udsm nyumba za lecturers wanatumia hiyo CNG.
Si nagugo taarifa za tpdc,najua kuwa mabomba ya gesi yanasambazwa miaka takriban kumi sasa,hata jeshini gongo la moto yamepita,ila CNG kutumia ni risky,huenda kuna vitu vikahitajika
 
kwenye muungano kuna kipimo chochote cha kuainisha idadi ya watumishi kwa uwiano,
ni kweli inaonekana katika wamu hii wa visiwani wapo maeneo mengi wanaonekana.

je inamaana awamu hizo zingine walikua wanakandamizwa ? maana walikua hawaonekani

ikumbukwe kwenye makaratasi jamhuri ya muungano inaendeshwa na pande zote
Sawa.
 
Acha woga,kama siyo muhalifu hubebwi
vipi lakini mkuu article hiyo ya bunge umesoma?


Kila eneo sahivi ni visiwani tu. Awamu yao hii.
kwenye muungano kuna kipimo chochote cha kuainisha idadi ya watumishi kwa uwiano,
ni kweli inaonekana katika wamu hii wa visiwani wapo maeneo mengi wanaonekana.

je inamaana awamu hizo zingine walikua wanakandamizwa ? maana walikua hawaonekani

ikumbukwe kwenye makaratasi jamhuri ya muungano inaendeshwa na pande zote
 
Mlitwambia kuwa mtwara tuna gesi leo mnasema tunanunua nje na taifa gas nayo inatoka nje ya nchi ?au mmeshauza hio gesi yote hii nchi usikute hata zile gold reserve washapita nazo wahuni sio watu
 
Back
Top Bottom