Mgogoro wa Mashariki ya Kati umeifanya dunia kuendelea kuonja joto la jiwe, baada ya bei ya mafuta ghafi aina ya Brent kuendelea kuwa juu tangu Agosti, kutoka wastani wa dola 91 kwa pipa mwezi huo hadi kuvuka dola 100 Septemba na kuendelea kuzunguka kiwango hicho mwanzoni mwa Oktoba, hali...