Kuna jamaa yangu mmoja anapanga kuwafungulia mashtaka benki moja maarufu nchini kwa kufanya yafuatayo
1.Kutoa taarifa zake kwa mtu binafsi, ikiwapo benk statement, kuonesha kiasi alichonacho,
2.Pili na kuhold account ya jamaa kisa, anadaiana na mtu akatumia advantage ya kujulikana serikali...