Wadau kama mnavyoona kichwa Cha habari kinavyosema Nina laki 5 kama mtaji kwenye betting kuelekea kuanza Kwa msimu. Nitumie mbinu Gani Ili niweze kufanikiwa kufikisha million 10 mpaka mwakani, nipo serious wadau naombeni ushauri wenu Mods naomba huu Uzi usiunganishwe nataka maoni ya wadau...
1. Mkulima anayekwenda shambani kulima akitegemea mvua ambayo haiko ndani ya uwezo wake anabeti.
2. Mfanya biashara anayenunua maparachichi na nyanya kwa mkulima akitegemea kuuza kwa mteja ambaye hamjui anabeti.
3. Serikali inapopitisha bajeti ya mwaka ujao wa fedha na kupanga matumizi ya fedha...
Betting imekuwa moja ya shughuli maarufu nchini Tanzania, hasa miongoni mwa vijana. Ingawa inaweza kutoa fursa za kiuchumi, ina changamoto zake nyingi. Makala hii itachunguza faida na hasara za betting, kutoa mifano halisi ya maisha, na kutoa mapendekezo ya nini kinachopaswa kufanyika ili...
Hapo zamani za hivi karibuni, kulikuwa na kijana mmoja aitwaye John. John alikuwa na rafiki yake wa karibu sana aitwaye Alex. Alex alikuwa kijana mwerevu, mwenye kipaji, na mwenye ndoto kubwa za kufanikiwa maishani. Alipokuwa shuleni, Alex alikuwa akiota kuwa mfanyabiashara mkubwa na kupata...
Ndo hivyo wakuu Hali sio Hali nimeamua nipige yowee mwenye maskio na asikie, maana jiwe limepigwa gizani na Mimi ndo nilikuwa nimejificha humo na jiwe ndo limenipata😓
Mimi ni kijana wa makamo tu zaidi ya vibarua Sina kingine cha kufanya naombeni kazi jaman, Sina ujuzi wowote ule zaidi ya...
Maana ya Betting
Betting, au kamari, ni kitendo cha kuweka dau au kubashiri matokeo ya tukio fulani, mara nyingi matokeo ya michezo, kwa matumaini ya kushinda fedha au tuzo nyingine. Betting inahusisha hatari ya kupoteza dau lako la awali lakini pia inatoa fursa ya kushinda zaidi. Aina...
''Fikira au Fikra (kutoka neno la Kiarabu) ni ujumbe uliotumwa kutoka akilini kwa ajili ya viumbe hai ili kujua kutenda jambo bila kukosea.
Fikra husaidia na maamuzi: wanyama(mfano mifugo n.k) mara nyingi huishi bila ya kufikiri, yaani kujua nini kesho atafanya, lakini wanadamu hutumia fikra na...
betting
bunifu
fikra
graphite
kimataifa
kiteknolojia
kukuza
kukuza uchumi
kupambana
kupitia
mapinduzi ya nne ya viwanda
silicon
tanzania
tanzania tuitakayo
uchumi
uhandisi
utegemezi
wataalamu
wenye
zao
Kwema wakuu,
Lazima tukumbushane kuwa ukimpenda mtoto wa watu ambae umekutanae ukubwani lazima uwekeze moyo na pesa zako kwa kiasi sio unaweka moyo wote na pesa zote siku mambo yakiwa tofauti lazima ujikute umepigwa na kitu kizito ndo pale unasikia mauaji n.k,
Kwa wakamaria hawa hawanashida...
Naliomba Bunge tunapofikia kujadili ustawi wa jamii michezo ya kubahatisha toeni sauti Taifa linaangamia, hata kama Mwigulu anaona ni sawa tu kwa kuwa pesa inaingia, faida ya pesa inayopatikana na madhara ya michezo hiyo kwa Taifa ni ni sawa na tone.
Mwenyezi Mungu ameharamisha betting kwa...
BETTING KUUA TAIFA LA KESHO
Michezo ya kubahatisha maarufu kama 'kubet' ndiyo habari ya mjini kwa sasa. Ukiacha aina mbalimbali za michezo hiyo zilizokuwepo kwa miaka mingi na katika maeneo maalumu kama vile kasino, hivi karibuni imeibuka ile ya kutabiri michezo na mashine za kutumia sarafu...
Amani ya Mungu iwe juu yenu
Najua hapa kuna waelewa wa mambo mengi katika biashara hivyo naomba kujua mambo yanayotakiwa ili kuanzisha ofisi ya betting.
Miongoni mwa mambo ninayotaka kujua ni;
1. Mtaji kiasi gani tunatakiwa
2. Nawezaje kupata mfumo wa betting
3. Leseni yake inapatikanaje
4...
kubeti ni tamaa ya kutoa kidogo na kupata kingi ndani ya muda mchache imetufanya vijana wengi tuishi kwenye dibwi la kubahatisha na kutaka vya haraka mpaka wengi wetu hudondokea kwenye madhara ya ushoga na liwati.
Jamii inaharibika kwa kuwa betting inadhoofisha akili na vijana wengi hatufanyi...
Nilitegemea pesa hizo zitamsaidia kwamba mwaka umeanza vizuri kwake walau afanye cha maana afungue hata biashara lakini nimekuja kumfatilia naona hakuna la maana alilofanya,
Kwa machache nayoyajua:
alinunua simu ya laki 9 kaiuza kwa hasara kubwa mno
alinunua Tv kubwa nzuri, kama kainunua...
for me jamii forum is for fun and being stupid at times. but I will share you my bet history. for people who don't count their losses
I start beting last year and wasted too much money and time. results shows.
I only won 129,574 /= I spent way more than this.
so betting can't be a job. I...
Ninaongea nikiwa na uhakika, michezo hii naifahamu vizuri, Simba anaua kesho vizuri tu.
Na kama mwarabu atachomoka kesho, mimi 1979magufuli natangaza rasmi kuagana na jamiiforums.
Iwe jua iwe mvua, mwarabu ameyakanyaga, mwarabu ameyatimba.
Salaam, Shalom!
Siku moja nilitoka nyumbani kwangu nilipanga kwenda mjini kununua baadhi ya mahitaji muhimu ya vifaa vya umeme,
Niliondoka nyumbani majira ya saa tisa hivi, baada ya nusu saa, nilifika mjini, Sasa Pana duka la vifaa vya umeme kubwa nililokuwa nikitumia kununua mahitaji yangu...
Kwenye makampuni mengi ya kubeti kuna hii kitu inaitwa jackpot ambapo kwa pesa yako kidogo tu utakayoweka unaweza kuondoka na mamilioni ya fedha.
Sasa na mimi nataka niingie mazima kwenye kubeti soka ila kabla sijaingia naomba niwaulize, hivi inawezekana kweli kwa buku tu mtu akashinda jackpot...
Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Nchini (GBT) amesema sekta ya michezo ya kubahatisha imekuwa chanzo cha ajira kwa wengi nchini akiwemo yeye mwenyewe ambapo mpaka sasa zaidi ya watu elfu ishirini na tano (25) wameajiriwa kupitia michezo ya kubahatisha.
Source: #EastAfricaTV
Position: Trainee Dealer (15)
We are seeking enthusiastic individuals with a keen interest in games and a drive to deliver exceptional service to our valued guests. As a Trainee Dealer, you will embark on a comprehensive training program that will equip you with the knowledge and skills...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.