Jamani kama nilivoeleza Pao juu nilibetia shoot on tergert za CRYSTAL PALACE vs BANLEY sasa Kuna sehemu nyingine wameonesha 6.0 na nyingine 6.1 sasa nilivo watafuta wamesema nitafutee full match tuhesabu shoot on tergert naipataje full mechii msaada jamani na pili kama hatuaelewana kampuni...
Anaandika,
Mimi ni kijana wa miaka 20s+ nilifundishwa kubeti mwishoni mwa mwaka 2014 Kama Sio mwanzoni mwa mwaka 2015 nikiwa bado nasoma secondary.
Kabla sijajifunza kubeti nilikua kijana mwenye akili iliyotulia,mipango inayotekelezeka na mwenye future nzuri na yenye tumaini.
Lakini kadri...
Badala ya kuanza kuchangisha tunaweza kuamua kutumia mapato yapatikanayo katika tasnia ya michezo ya bahati nasibu ambayo ni mengi kuboresha na kuinua timu za Taifa kuliko kutembeza bakuli.
Mfano wa nchi wanazoelekeza mapato ya betting kwenye timu za Taifa Ni Ujerumani. Ni aibu kila siku...
Tumeanzisha mfuko wa kuchangia bima ya afya chanzo cha mapato yake ni kubeti.
Ni kweli kwamba wanaobeti wengi wana matatizo ya akili na hivyo kuwawekea kiasi cha fedha zao kwenye matibabu ya afya zao ni jambo jema.
Ni kweli kwamba wanaobeti wengi ni jobless hivyo kupata fedha za kujitibu ni...
Akiwasilisha Muswada wa Bima ya Afya kwa Wote Bungeni baada ya kukwama mara mbili, Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema baada ya Serikali kutakiwa kueleza chanzo cha Fedha zitakazoendesha Bima ya Afya kwa Wote, Wizara ya Fedha imeridhia kuhamisha baadhi ya Kodi na Tozo kwenda kwenye mfuko huo...
Kuna addiction flani ukishiingia katika betting inakushikilia na haitakuachia hivi hivi no matter we ni tajiri kiasi gani.
Recently wacheza mpira maarufu wameanza kupigwa suspension ndefu kutokana na wao kujihusisha na betting. Mtu anaweza kuchomesha team ili tu apige kibunda.
Vijana mtaani...
Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania (GBT) imetimiza miaka 20 tangu kuanzishwa kwake July 01, 2003 ambapo imesema ndani ya miaka hiyo imefanikiwa kuchangia pato la Taifa kufikia Tsh. bilioni 170.43 kwa mwaka, kuongeza ajira kwa vijana na kuvutia uwekezaji wa kampuni 67 za kitaifa na...
Nimeshuhudia jamaa waki-bet kuwa ndani ya siku 100 kutoka Mosi Oktoba, yatafanyika mabadiliko ya viongozi kutoka Wizara moja kwenda nyingine, Wakuu wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya.
Endapo atafanya mabadiliko kwenye Wizara atatoa fungu lake, na kama atabadilisha mkuu wa mkoa kuna fungu lake, pia...
Mwaka 2012 mwishoni nilishawishika kuanza kubeti baada ya kushuhudia rafiki yangu aliekuwa akibeti kwa muda mrefu hatimae katandika shilingi laki 4 na elf 30 kwa dau la elf 2 pekee, nilimsindikiza kwenda kuwithdraw na kwa macho yangu niliona akipewa pesa cash taslimu, nilipagawa!
Akaanza...
Gambling companies have continued to rapidly proliferate in Tanzania more than in other East African countries. This growth is driven by the undeniable fact that owning a gambling company is the easiest way to profit from people of different age groups.
My motivation for writing this piece is...
When it comes to developing a wealth mindset, there are many different strategies that people use. One approach that has been gaining popularity in recent years is casino betting. While some might see gambling as a risky and unreliable way to make money, others see it as an opportunity to learn...
Kwa wale ambao mmeshawahi kusikia namna 'punda' wa 'sembe ya mwakyembe' wanavyo 'packiwa' mizigo ya kusafirisha mtakubaliana na mimi kwamba biashara hii 'takatifu' ina faida kubwa iliyotukuka. Ni ukweli unaosikitisha kwamba 'pipi' za 'sembe' hushindiliwa kupitia njia ya nyuma mpaka tumbo lijae...
Kuna mambo mawili binafsi yananikera katika usafiri wa mabasi ya ruti ndefu tz.
1. Mabishano ya wanaoitwa wanazi wa makampuni ya mabasi juu ya ubora wa gari zinazotumika na kipimo ni mwendokasi.
2. Betting ya basi lipi litawahi kufika eneo Fulani.
Yote haya yanachochea mwendokasi na rafu...
Habari zenu wana jamvi, poleni kwa pilika za hapa na pale za kimaisha. Leo nimeamua kufanya hiki nachokifanya.
Kwanza kabisa nikuondoe matamanio yote ya kunufaika na kampuni za betting Kama nitakaa kimya. Mie sio mwandishi unayefikiria kipaji hiki Sina lakini ninachokupa kichukue uweze...
Mhindi hajawahi kubahatisha pale linapokuja swala la betting, Simba Sc kupewa odds kubwa dhidi ya mpinzani wake Wydad AC ina maana gani? Ni mtego au?
Mliosoma Cuba tuna mtudadavulie tafadhali
Dear Viongozi,
Ukuaji wa GDP (Gross Domestic Product) haupaswi kutegemea michezo ya kamari au betting. GDP ni kipimo cha thamani ya bidhaa na huduma zote zinazozalishwa katika nchi ndani ya kipindi fulani cha wakati, na inaweza kuongezeka kupitia ukuaji wa shughuli za kiuchumi kama vile...
Mwezi ulioisha nikiwa nabet na kampuni la 1xbet, nilifanikiwa kukusanya pesa mpaka ikafika 2.5 million. Baada ya mwezi kuisha upepo ukakata mpaka sasa nimeliwa na imebaki 1.4million.
Najuta sana maana mwanzo kabisa niliwaza nikafungue playstation ila nikawa najivuta kutokana na kuwa busy na...
Habari za asubuhi wana JF,
Kuna wimbi kubwa mtaani la wazee na wanawake kujiingiza kwenye kamari (kubeti), tatizo umasikini au ndio maendeleo ya soka nchini?
Nakumbuka World Cup last year kila mtu ni kubeti tu, ukikutana na wazee, wanawake wa mtaani wanataka uwafundishe kubeti na wakisikia...
Kubashiri mtandaoni kwenye tovuti au Apps kama vile Sokabet kunaweza kuwa chanzo cha mapato, lakini ni muhimu kutambua kwamba si njia ya uhakika ya kupata pesa. Ingawa baadhi ya watu wamefanikiwa kupata faida mara kwa mara kwa kubashiri mtandaoni, wengine wanaweza kuishia kupoteza pesa kwa muda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.