Katika pitapita zangu nimekutana na tovuti ya nofap hii imenipa hamasa sana ukiangalia ukanda mzima huu wa afrika mashariki hakuna tovuti hii kwa jamii yetu
Nimeona niianzishe na teyari nilikua nayo nyingine so nikufuta old post na kuanza upya
Ningependa nipate mtazamo wako hii ni kama forum...
Sina Mengi ya Kusema hii Article ya Gab Marcoti paints a Better Picture:-
Trying to make sense of Chelsea's transfer spree: big gambles, but big rewards too?
The dust has settled, and the numbers are in. Since June 10, when the summer transfer window opened, Chelsea has spent more than €600...
Kuendelea kubaki na pesa uliyonayo ni muhimu kama vile kutafuta nyingine..., na wikiendi hii ya FA CUP ninawashauri wadau wakae likizo..., Sababu historically FA Cup huwa ina Upsets nyingi sana Timu ndogo kukamia; kubwa kuzembea..., Timu kubwa kuweka kikosi cha ajabu au ndogo kupaki basi n.k...
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza.
Naomba kwa mwenye uzoefu anisaidie namna naweza kuwa wakala wa betting (Betting Point).
Nataka uwakala sabab nina kibanda changu cha kuonesha mpira kimechanganya sana, nikapata wazo la kuwa wakala (Agent) kabisa wa betting.
Nitashukuru kwa msaada kutoka...
Naomba kujua yafuatayo juu ya mashine na biashara za kubetisha mpira.
1. Mashine zinauzwaje.
2. Zinapatikanaje/wapi?
3. Mtaji wake kiasi gani?
4. Risk zake ni zipi?
5. Faida yake inapatikanaje?
Nk
Wakuu,
Nawakaribisha kujadili hili. Kati ya forex trading na betting kipi kirahisi au kipi waweza sema unaweza jivunia.
Binafsi kutabiri outcome ktk forex ni rahisi kuliko kwa betting.
Risk ya betting ni 100pecnt ya mtaji wako or stake, ila forex unaweza limit kiasi kadhaa.
Betting ina...
Vijana wawili waliodaiwa kuvamia ofisi ya michezo ya kubahatisha (Premier bet) eneo la Mwenge ITV na kutaka kupora fedha wamefariki kutokana na kipigo walichokipata kutoka kwa wananchi.
Septemba 27, 2022, saa 3:30 asubuhi vijana hao walifika katika ofisi hiyo kama wateja wanaohitaji huduma na...
Wakuu msaada, nimekuwa nahangaika kulink card yangu ya VISA Debit kutoka Equity Bank. Nilipowauliza wakasema ni BOT wamezuia online transactions kutoka/kwenda kwenye online gambling sites na forex.
Nilipewa pia jibu hilo hilo nilipowapigia BancABC.
Kwa wale wanaofanya online betting kupitia...
Wakuu msaada, nimekuwa nahangaika kulink card yangu ya VISA Debit kutoka Equity Bank. Nilipowauliza wakasema ni BOT wamezuia online transactions kutoka/kwenda kwenye online gambling sites na forex.
Nilipewa pia jibu hilo hilo nilipowapigia BancABC.
Kwa wale wanaofanya online betting kupitia...
Dear Pigabet Customers,
We regret the inconvenience that had been caused to you during our upgrades for the past week.
However, we would like to inform you that withdrawals through Tigo, Vodacom and Airtel mobile operators are back.
Pigabet wants to assure each one of you that your funds are...
Mkeka au Mikeka "ni kauli zinazotamkwa kutoka kwa vijana wengi kwenye kila kona ya nchi yetu haswa vijana wa kiume ukilinganisha na wale vijana wa kike ,kwa hakika vijana ni miongoni mwa nyenzo muhimu inayotegemewa na kila taifa kwa ajili kusukuma maendeleo ya taifa husika , kwa hiyo basi...
Miaka ya hivi karibuni kuanzia 2015 Hadi sasa kumekuwa na ongezeko kubwa la kampuni za michezo ya kubeti kuja kuwekeza Tanzania.
Je nikutokana na kuimarika kwa huduma za internet, au upatikanaji mzuri wa njia za malipo ya simu? Je kutokana na uwekezaji wanaokuja nao mathalani kila kampuni...
Kizazi cha sasa hasa kwa vijana (wasichana kwa wavulana) asilimia kubwa wamekuwa wakijikita katika michezo ya kubahatisha (betting) kama njia ya kujipatia kipato ya haraka,
Picha: Watanzania wakiwa katika moja ya kampuni la michezo ya kubahatisha (Benjamin Fernandez 2017) Lakini swali la...
Hivi wadau betting inauchawi au maana nilipata million 50 nikaanza Kila siku kuitumia nimekuja kushtuka Nina milioni 1 sasa hivi aisee ni msala sijui majini nishaurini maana Mimi kazi yangu ni betting kusema ukweli Mimi nakuaga na bahati ila sasa matumizi yangu ni ovyo wanawake ndio wangu bia...
Leo waziri wa fedha amependekeza kupunguza kodi kwenye pesa anayoshinda mtu aliyebeti kutoka 15% mpaka 10%.
Kwangu naona hii ni kama kuendelea kuharibu vijana maana watahamasika kutokana na kuona wakishinda watakatwa pesa kidogo.
Bora ingeongezwa ili iwavunje moyo watu wanaobet labda...
Radios na TVs ila Radios sana sana, yaani ukifungua tu unakutana na tangazo la kamari. Kama zamani ilikuwa matangazo ya waganga wa kienyeji.
Sasa hivi Radio zimeamua zichezeshe zenyewe michezo hii. Hii biashara inaonekana kulipa sana.
Sijui tunatengeneza kizazi cha aina gani? Ukifungua hapa ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.