Habari za jioni wadau.
Napenda kufahamu hivi ni kwanini kampuni za betting mtu akishafungua akaunti inakua haiwezekani tena kuifuta yaani hawana kabisa sehemu ya iwapo mtu amekoma kwa kuliwa pesa basi afute akaunti ajishughulishe na mambo mengine.
Mimi sijawahi kubet, sasa juzi nikaona nijaribu. Nikawapa Yanga ushindi, Man City na timu za ligi mbalimbali duniani. Nikaweka sh 2000 ndiyo wakazidisha sijui Mara 50 odds. Utaniutani nikapata meseji nimeshinda elfu 90 wasafibet. Wenyewe sasa wanapataje faida kama.siyo hasara. Yaani elfu 2 hadi...
Ahlan wa sahlan.
Leo naomba niongelee experience yangu fupi katika betting (Kamari).
Binafsi, mimi ni mmoja wa watu waliokuwa wanaipinga sana michezo ya Kamari, maarufu kama betting. Ila kutokana na upweke (boredom) pamoja na udadisi (curiosity) wa kutaka kujua nini kipo nyuma ya michezo hii...
Michezo ni sekta rasmi kama sekta zingine inatakiwa ichangie Pato la Taifa na itoe ajira na burudani pia.
Ni aibu kwa Nchi kubwa kama Tanzania yenye washabiki wengi wa mpira na wacheza kamali yaani betting wa kuyosha kushindwa kuwa na viwanja vya kisasa vya michezo (sports complex) walau Kimoja...
Taifa kama taifa ni LAZIMA litafute namna ya kuchukua pesa za wanaobet ili kuziingiza kwenye mfumo unaoleweka wa kiuchumi!!!
Tukitumia mfano wa mtu anayefahamika na wengi kwa mfano, Diamond Platnumz, hivi karibuni amezindua kampuni ya betting... yaani kampuni ya watu kucheza kamali!
Kwa hili...
Jambo la kwanza na kubwa kabisa betting is addictive very addictive hutaamini itakavyo kukamata na kuingia kwenye mishipa ya damu yaani kuna wakati kukaa bila kua na ka mkeka unakokasubiria ka tick ✅ basi unahisi kama kuna kitu hakiko sawa hivi.
Jambo lingine ni kwamba utakua na matumizi yasio...
Diamond Platnumz msanii namba moja Africa ameendelea kuonyesha ubabe wake kwenye kila kona kuanzia muziki mpaka uwekezaji.
Ametambulisha rasmi biashara yake mpya ya Wasafi betting.
Ama kwa hakika vijana wapambanaji tuna mengi ya kujifunza kwa huyu living legend. Tunakiwa tupate hamasa kwa...
Habari wana JF.
Hivi ni kweli watu unapiga pesa kupitia company za betting au kubashiri kuhusu mpira au baadhi ya michezo mengine.
Kikwel sijawh kuon mtu kapata pesa kupitia betting wala sidhn na kuna watu unapiga pesa kwel au ni maisha yao ya kila siku.
PESA ZA BETTING YAMEWAHI KUBADILI...
Najivunia kuzaliwa kabla ya mapinduzi ya teknolojia ya simu za mkononi/mitandao ya kijamii kwa ujumla.
FACTS
• 70% of Tanzania population ni vijana under 24yrs.
• Nguvu kazi ya taifa ni vijana (40m)
• Ukosefu wa ajira bado upo
• Over 40m people use mobile phone
• Kila kijana anataka mafanikio...
Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiForums Maxence Melo amesema vyombo vingi vya habari hukubali matangazo kwa kuwa yana hela nyingi
Kwa JamiiForums amesema wana sera ambayo inawafanya wakatae matangazo ya Pombe na Matangazo ya Betting japo yana hela.
Aidha Chombo cha habari kutegemea matangazo ni...
Mnataka baba zetu waendelee kubet sio? Wahamie kabisa na mashuka na magodoro?
Hii nchi hii yaani kuna mtu yuko bungeni kimkakati kuhakikisha betting hata inafutiwa ushuru, mwingine yeye ahakikishe pombeee pombeee zinakaa pazuri shida za wananchi na kero zao acha wafie mbali.
Aiseee we are finished
Katika hii dunia ya sasa vilevi ni vingi mno na unahitaji umakini mkubwa sana maan aukangukia kwenye uraibu basi utapoteza vingi sana.
Nikiwa kama kijana, nimekuwa mmoja wapo waliokumbwa na uribu wa vilevi vitatu ambavyo ni Punyeto, betting na sigara.
PUNYETO - Nlianza kimasihara masihara...
Kwanza niseme tu mimi ni kati ya watu, waliokuwa wakiamini betting kwa asilimia 100, nilikuwa na imani betting ndio kitu itanitoa kimaisha, kuhusu betting ulikuwa huniambii kitu, kuna ile kauli watu huwa wanasema beti kama starehe, Lakini mimi nimekuwa nikiifanya kama kazi ya kujiingizia kipato...
Karibu rafiki yangu mpendwa kwenye makala hii ya ushauri wa changamoto zinazotuzuia kupiga hatua na kufanikiwa kwenye maisha.
Kwenye makala hii tunakwenda kujifunza jinsi ya kuondoka kwenye uraibu wa kucheza kamari au kama ilivyo maarufu kwa jina la betting.
Hii ni changamoto ambayo imekuwa...
WanaJF,
Niliposoma katiba ya Kaji waliomba ilichagiza Zaidi wateule wa Rais watokane Na mikoa yao. Hii inaleta maana kwamba Ni rahisi wananchi wa sehemu hiyo kupata mwakilishi mzuri Na Kwa kuwa anakuwa anafahamu vizuri maeneo Ni rahisi kuondoa migogoro ya kwao kuliko kuleta Mgeni asiyefahamu...
Wakuu nimekuwa nikifanya hizi kitu zote mbili kwa pamoja. I mean forex na na betting na nimekuja gundua hata forex nayo ni betting tu in another system huku tunabet mechi kule tunabet currency.
Tofauti nyingine ni msamiati tu huku pips huku odds huku evaluation huku technical and fundamental...
Poleni na majukumu wanajanvi na tusiache kuchukua tahadhari kwa kipindi hiki kigumu
Kama ilivo ada matatizo hayawezi kukuacha kama yalivokukuta problems never leave us the way they found us yatakubadilisha tu kwa namna moja ama nyingine iwe positively au negatively.
Tumeshuhudia baada ya janga...
Habari wadau naomba kufahamu kiundani juu ya huu mchezo nani ambaye anakuwa anachezesha binadamu wa kawaida au ni computer ndio inakuwa inacheza tu yenyewe?
I don't see any other activities in quarantine except betting =) and playing in Dota. the world has gone mad, but there must be some financial income, at least to buy food. I continue to bet. but there are less sporting events now. I'm not used to betting on political, but this is also...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.