Ni kwa mda mrefu kidogo nimekua nikiwa nchini Tanzania natumia bia ya Serengeti Lager, hii ni vile taste yake kidogo inakalibiana na bia ya balozi ya Kenya.
Sasa kwa kipindi hiki nina kama week moja na nusu niko nchini na nikiitisha hii bia waiter akifungua inafoka, na inamwagika kama 25% hivi...