Madawa ya kulevya yaweza kuwa yanaongoza
Kisha inakuja ya kuuza silaha haramu
Kusafirisha binafamu
Bidhaa feki nazo ni top selling products.. Pombe zikiwa kinara
Kwa Afrika wafanyabiashara mafia wanashirikiana na wanasiasa walioko madarakani
Hawa wafanyabiashara wanatoa mitaji na nyenzo...
Habari zenu wana MMU 👋🏽 👋🏽
Ktk kuishi kwangu na kuchunguza chunguza baadhi ya mambo, nmegundua kuwa wanawake wengi wamekuwa mstari wa mbele kwenye kumiliki biashara kubwa na ndogo ambazo zimekuwa hazina tija.
Hapa siwazungumzii wanawake wote bali hawa wanawake ambao wanatumia UHUSIANO wa...
Habari zenu wakuu 👋🏽 👋🏽
Ktk kuishi kwangu na kuchunguza chunguza baadhi ya mambo, nmegundua kuwa wanawake wengi wamekuwa mstari wa mbele kwenye kumiliki biashara kubwa na ndogo ambazo zimekuwa hazina tija.
Hapa siwazungumzii wanawake wote bali hawa wanawake ambao wanatumia UHUSIANO wa...
Kama unahitaji logo kali kwaajili ya biashara yako basi usikose kupitia hapa ili uchague zipo design mbalimbali za logo:
https://campuscitymall.com/cart/HX9v8aGNRZPLdQfXMeUvePaj7Pq1/buyeasy/21fpXLJTCEyNC6y4QFxd
Mfani rj45 connector ni 200 madukani ikizidi 500, mtu anauza 1500 au 2000
Kifaa ambacho dukan ni elf 65, mtu anaweka 120,000. Kifupi wanaweka bei mara mbili ya inavyokua kawaida, watu wanatamaa sana.
Aslaam,
Baada ya kujikusanya kwenye mtaji na kujiuliza nifanye biashara gani, nimeamua kuchukua 10% ya mtaji WANGU kwenda kuanza biashara.
Kiukweli hakuna kitu kigum kwenye biashara kama kuamua ni biashara gani yakufanya ambayo itakidhi mahitaji yako na kukuletea faida itakayokuwezesha kukuza...
Kwanza tuanze kwa kujifunza kuhusu Open Source project katika ulimwengu wa Technology,
Open Source ni zile project ambazo source code zinakuwa available in public kwaajili ya modifications n.k isipokuwa atakaechukua source code na kumodify hatakuwa na umiliki hadi kusema kwamba ni software au...
Baada ya muda mrefu kesi iliyokuwa inaikumba Google kwa kuwa moja ya kampuni inayomiliki platform nyingi zinazokusanya data pamoja na umiliki wa Google search engine ambayo imekuwa ikitumika kwenye browser nyingi duniani, kama vile Mozilla Firefox, UCbrowser, Safari, Google Chrome, Operamini n.k...
Habari JF , kuna kipindi nliwahi anzisha uzi ambao lengo lake lilikuwa ni kujua ni nani hasa mmiliki wa UTT , nlipata majibu mengi ambayo yalinirodhisha kwa Asilimia kama 70 .
Najua biashara ina risk zake , Voda, UTT kwa kiasi chache Tunawajua wamiliki .
Mabenki iko wazi umiliki wake .
Kwa...
Habari wana JF,
Nina mpango wa kuanzisha biashara ya kuagiza nguo za special za kupoint kutoka kwa wauzaji mbalimbali mtandaoni, hasa kwenye mitandao kama Alibaba. Hii ni biashara ambapo nitachagua nguo chache chache kutoka kwa wauzaji tofauti, badala ya kuagiza kwa wingi.
Ningependa kujua...
Biashara Za Mtandaoni zinatusaidia sana kupata vitu kwa bei rahisi sana Ila sasa Biashara hii imeingiliwa na Matapeli wengi. Sasa utamjuaje uyu ni tapeli.?
JINSI YA KUMJUA TAPELI WA MTANDAONI
1. Mabadiliko ya namba za simu za huduma kwa mteja.
Yaani kila ukiperuzi bidhaa utakuta baada ya muda...
Nataka kuwa wakala wa kuuza magodoro ya TANFOAM ARUSHA, naweza kupata mawazo jengefu zaidi kuihusu hii biashara.
Nataka niuze mattress, mataulo, mashuka nk. Mbeleni niongezee vitanda pia.
Hii biashara changamoto zake ni zipi na faida yake imekaaje kwa wenye ujuzi nayo tafadhali.
Ahsanteni.
Wana jamvi habarini za mchana, Naomba kujua mwenye uzoefu juu ya kuhifadhi Viazi mbatata "Viazi mviringo" vilivyo menywa na kukatwa kwa ajili ya chipsi ili visibadilike rangi au kuharibika kwa halaka.
Unapoamua kuingia kwenye ulimwengu wa biashara, zipo changamoto kadhaa ambazo lazima
utakutana nazo katika harakati za utafutaji. Changamoto kubwa zaidi ni kujua wapi pa kupata bidhaa kwa bei ya jumla ili uweze kuuza kwa jumla na rejareja.
Najua, ndugu msomaji wa kitabu
hiki, pengine hata wewe...
Habari wakuu.
Nilikua natafuta eneo la biashara ya Cafeteria ambayo unaweza kaanga viazi,kuuza sharubati ya miwa na sharubati ya matunda mengine.
Ila hilo eneo kama kuna uwezekano liwe na vifaa ambavyo nitakua naweza kuvikodi na kumlipa mwenye vifaa kwa wiki ama kwa mwezi.
Vifaa hivyo ni kabati...
Wakuu,
Baada ya kutema cheche siku ya Jumapili, Paul Makonda ameendelea kutoa matamko mbalimbali
Siku ya leo akiwa anaongea na wanahabari, Makonda amesema kuwa kazi ya kuwa kiongozi ni ngumu sana na hata yeye alikuwa anaingiza pesa nyingi akiwa mfanyabiashara kuliko sasa hivi akiwa analipwa...
Umaskini ni mfumo kama ulivyo utajiri hivyo ukiwa kwenye mfumo wa kimaskini utapata madili ya kimaskini tu ili uanze kupata michongo ya kitajiri sharti utoke kwenye mfumo wa kimaskini uhamie kwenye wa KITAJIRI
UKIWA KWENYE MFUMO WA KIMASKINI MCHONGO PEKEE UTAOPATA NI WA KUSAMBAZA UMBEA
UTAJIRI...
Kweli kila mwenye mafanikio ana siri yake.
Wale wa ' niache ajira niingie kwenye biashara' mtayaweza haya
ILe tamaa ya kumuona mbona fulani anauza kuliko mimi" hujui siri ya mafanikio yake.
Mtazamaji kula chuma hicho
Ndo maana nikienda dukani najikuta na nunua hata vitu ambavyo...
Kariakoo ni sehemu ya kuchuuza vitu ya kimataifa na inapata promo kwa sababu pia tunazungukwa na nchi randlocked nyingi tunazo fanana nazo kama Burundi, Congo, Rwanda, Zambia, Malawi hizo zote ni nch za uchuuzi, za Frame Economy. Kariakoo haiwezi kuwa kituo cha Kibiashara cha kinataifa, kariakoo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.