Wadau salama, CCM hoyee.
Huwa nina tabia ya kupiga story na wazee watu wazima kidogo.
Sasa kuna huyu amebakiza kama miezi sita ya kustaafu kazi ya utumishi wa umma.
Anaitwa mzee Shayo, anasema yeye anataka hela yake akishastaafu ajenge at least matundu 30 ya vyoo hapa mjini sehemu tofauti...
Hakuna shule hakuna chuo utafundishwa kuhusu dark side of anything,Kuna njia mbili tu za kujua wasichokijua watu wengi,njia nyepesi zaidi ni kujua kupitia shuhuda za watu waliopita kwenye kivuli cha mauti na wakatoka salama na njia ngumu zaidi ndio Kama niliyopitia Mimi,i dip my feet into the...
Mambo vipi wakuu.
Wewe umeweka mtaji wako wa milion 10 dukani kwako.
Jirani yako ameweka mtaji WA milion 30.
Unaamua kwenda Kwa mganga alafu mganga baada ya kukuchekia Ramli yako anakwambia njoo na jogoo mwekundu na Nazi Saba kwajili ya kufungua.
Mwenzio anaenda Kwa mganga anaambiwa inabidi...
Kuna maeneo ya makazi tuliyowahi kukulia yaliyokuwa yanawaweka watu pamoja huwa yanaanza kupoteza asili yake kwa kugeuzwa kuwa maeneo ya biashara,
unakuta majirani karibu wote uliowahi kuwajua wamehama wameuza plot, mtaa umejaa fremu, magorofa, bar, lodge, gereji, magodauni, n.k.
Nyumba za...
Sasa ni rasmi serikali inakusudia kufunga kamera za ulinzi (CCTV), katika eneo la Kariakoo, jijini Dar es Salaam, ili kudhibiti uhalifu na kuwezesha biashara kufanyika kwa saa 24.
Mkurugenzi wa Jiji la Ilala, juzi alitoa taarifa ya kumtafuta mzabuni akayetekeleza kazi hiyo na jana ilikuwa ni...
Imekua nikama uvivu ama kutojitambua kwa watu wengi juu ya kuwa na wazo la biashara lakini kuianzisha biashara yenyewe inakua mthihani kweli kweli na hii kasumba sijui ni kwa biashara kubwa tu au hata ndogondogo?
Habari Kwa makazi nipo dar es salaam, Nina mtaji mdogo ambao Kwa upande wa frame ni changamoto Sasa Basi nataka kufanya biashara Kwa njia ya mtandao hasa kupitia WhatsApp
Kwanini nataka kutumia platform ya WhatsApp?
Kwasababu watu ambao nimesave namba zao wananijua na ninawajua vizuri kwaiyo...
Habari
Hopefully wote mko salama. Leo nipo hapa kushare nanyi research yangu niliyoifanya baada ya kumaliza chuo na kuwa jobless kwa miaka kadhaa.
Muda namaliza chuo mpaka napata ajira ya kudumu kuna kitu nimejifunza sana ambacho ningependa kushare na wahitimu mbalimbali wanaotafuta ajira...
Jinsi ya Kuanza na Kufanikiwa Kuuza Followers Bila Mtaji – Mwongozo wa Hatua kwa Hatua
Kabla ya kuendelea kusoma makala hii, hakikisha unabonyeza REPOST pale juu. Tayari? Chukua popcorn zako na ufuatilie mpaka mwisho, hatua kwa hatua!
Safari Yangu ya Kuuza Followers
Nilianza biashara ya...
Lengo la uzi huu ni kumtia moyo kijana aliyeamua ku take risk na kujiajiri,Ni kweli Kwenye biashara Kuna ups and downs,Kuna light and dark,Kuna kila aina ya rangi lakini mwisho wa siku biashara ndio sure way onto true riches,hata ukisikia kuna mwanasiasa tajiri behind the scene Kuna business...
Jamani huyu ni mchepuko wangu wa muda mrefu sana.
Sasa alinunua shamba la miti huko iringa miaka mingi nyuma, na this time ndio ile miti imeshakuwa kwenye stage ya kuvunwa.
Sasa walikuja wachina wakataka kumpa M50 akachomoa. Ndio jana baada ya penzi letu zito akiwa amelala kifuani mwangu...
Uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan umeendelea kuipa Tanzania mafanikio makubwa katika biashara za kikanda, na kuthibitisha nafasi ya nchi kama kiongozi wa Afrika Mashariki, hiyo ni baada ya hivi karibuni wakati Rais wa Kenya, William Ruto kukiri katika maadhimisho ya Miaka 25 ya Jumuiya ya...
Siku za hivi karibuni tumeona Biashara ya kujiuza ikiendelea kukua siku hadi siku na sababu zikiwa ni nyingi
Mimi kwa utafiti wangu mdogo nimezipata zifuatazo kupitia dada zetu waliopo kwenye vyuo mbalimbali hapa nchini
1. Ugumu wa Maisha
Baadhi ya dada zetu wamekuwa wakijiingiza kwenye hii...
Sisi Wafanyabiashara wadogowadogo tuliokuwa tukifanya shughuli zetu za biashara katika eneo lililopo jirani na ofisi za World Oil eneo la Tungi Mnadani, Kigamboni hapa Dar es Salaam.
Tulianza kufanya biashara kwa takribani miaka miwili iliyoputa na tukajenga vibanda vyetu eneo hilo, tulitumia...
Kwa walivyo na roho mbaya, wabaguzi, na wenye roho ya korosho, je kuna wabongo wanaoishi na kufanya biashara India? Kama wapo, nao wanatesa kama magabacholi wanavyofanya nchini?African victims of racism in India share their stories
Ukiachana na hii video..,
1. Kuna video moja niliona njemba zinakanda unga wa ngano kwa kurukiarukia tena peku.
2. Nimewahi kushuhudia jirani yangu (mpangaji mwenzangu) akitumia chupi kama chujio cha chai. Alikua ni mama ntilie pale mtaani kila asubuhi alikua anaenda kuuza uji, chai na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.