Hii imenitokea
Niliandikiwa fine ya laki 3
Nikaomba control number
Ila niliwaomba niwalipe siku inayofata wakakataa na kunilazimisha nilipe siku hiyohiyo.
Baadae wakanipakia Kwa Bajaj peke yangu na kunipeleka stakishari police huku njian nikipewa vitisho na kuwekwa ndani usiku kucha bila utetezi...
Anonymous
Thread
biashara
ilala
kulipa
kutumia
maafisa
nguvu
wafanyabiashara
Huwa inatokea mmiliki wa biasahara hasa baba anapotangulia mbele ya haki haya hutokea,
Mke hujimilikisha mali zote na pengine yeye kahusika kwenye kifo kwa tamaa ya mali
kuna mtoto hasa wa kwanza hupenda kujimilikisha biashara yote akiamini ni haki yake
Wengine wanaolewa au kuoa majambazi...
Habari,
Leo nipo hapa kuomba fursa ya ajira, Kazi au part time job.
Kuhusu Mimi
Mimi ni ME
Umri 26
Elimu form six
Napatikana DSM
Sifa zangu
Mchapa Kazi
Mwaminifu
Mtu wa kujituma kazini
Aina ya Kazi ambazo nipo na uzoefu nazo.
-Mimi nina uzoefu wa kuuza na kununua mazao Kama middle broker...
Wana JF natumaini mko salama.
Naomba kushirikisha suala moja hapa, Katika kupambana kwangu na harakati za kujikwamua, nikafanikiwa kununua Kiwanja na kujenga nyumba.
Pia nikafungua biashara ya bidhaa za Jumla jumla za Dukani. Nilianza na Mtaji wa milioni 4, Baadae Mtaji ukafika mpaka milioni...
Nitaelezea zaidi Kanda ya ziwa, hasa mkoa wa Kagera
Biashara ya mazao hasa nafaka ni biashara ambaya haimtupi mtu, yaani hapa faida inayoweza kuji double ni uhakika
Usichukue mtaji ukawekeza kulima kama kijana unayejitafuta maana kilimo kina risky zake Kwa sisi Africa tunaotegemea mvua ya...
Watu wengi tumekuwa tukipeana ushauri wa biashara zinazolipa hasa kwa wale vijana wadogo wanaoanza pilika baada ya kutoka masomoni. Nimekumbuka biashara kadhaa nzuri ila sio rafiki kwa anayeanza biashara ambaye bado mtaji wake ni mdogo. Haya ni maoni yangu ila sio sheria.
1. Biashara ya...
Mm n kijana wa kitanzania, npo maeneo ya Nyegezi Mtaa wa Nyamazobe, ninahitaji kufungua biashara ya kuweka movies na nyimbo mbalimbali,
1. Naombeni ushauri wenu wadau kuhusu vitu vya msingi vya kuzingatia.
2. Sehem gani hapa mwanza naweza nkapata CD za kuanziakwa bei ya jumla.
FURSA YA USHIRIKIANO: NATAFUTA BIDHAA ZA KUUZA KWA MAKUBALIANO YA MALIPO BAADA YA MAUZO
Maelezo:
Habari,
Jina langu ni Ramadhani Juma Kimweri, mjasiriamali mwenye nia ya kuendeleza biashara kwa kushirikiana na wafanyabiashara wenye bidhaa mbalimbali. Natafuta wafanyabiashara wanaotaka kuongeza...
Nipo tiyari kukosolewa lakini Kwa uthibitisho tu na sio mbwembwe zingine.
Kwanza hakuna kwenye biblia sehemu yoyote Ile watu walifanya harambee ya kumnunulia mtume ama nabii punda ama farasi Kwa Wakati huo maana hapakuwa na magari Wala pikipiki.
Hivyo usafiri wao ulikuwa Punda,Ngamia au...
Salamu Sio muhimu sanaaa soma hapa chini 👇
Biashara yenyewe ni hapa
Kuhudumia wateja wa mtandao wa YAS zamani Tigo ambao wanachukua huduma zao za kibiashara kutoka katika kitengo Cha Tigo business au almaarufu kama Mjasiriamali box
HUDUMA HIZO NI
Post Paid Bundles
5G...
katika maisha ya sasa connection ni kitu muhimu sana, lakini zimekuwa ngumu sana kupatikana ni hadi utoe kitu kidogo, uwe chawa, n.k.
Je umewahi kupata connection kimasihara iwe kwa mtu ambae hukumtegemea au Bila kuombwa chochote au mazingira usiyotegemea, n.k.
Nimewahi kumjua Mhitimu wa...
Wadogo zangu ambao ni fresh graduates mnaokaribia kuanza kazi au mpo kazini ila ni wachanga hapo ofisini, kamwe usimuibie boss wako. Hiyo ni laana.
Kama unaona mshahara pamoja na bonuses zingine hazitoshi, please acha kazi kisha uende ukatafute kwingine kwenye maslahi mazuri zaidi ya hapo...
Ni binti mzuri wa kikinga, mwenye elimu yake Chuo diploma certificate, mzuri wa umbo, amekulia katika malezi mazuri ya wazazi wote wawili
Lakini mahari waliohitaji ilikua ni 3M, mimi mwenye maisha si mabaya sana lakini uwezo wa kufata protocol walizozitaka
Sendoff, mahari, ndoa ya kanisani...
Huu ndo mchanganuo kwa wanaotaka kufanya barbershop kwa mtaji wa miti 20(2M)
👉Utengenezaji wa frame ndani na nje
(unakuta labda furniture tu mule ndani kama miti 5 hivi (5M), tuseme labda (decoration ya jengo Mti NNE(4M) hujanunua madryer labda (2M na vifaa vingine Miti 2(2M),hujaweka bhango...
Kuna watu duniani utajiri watausikia Kwa wengine tu huwa nashindwa kuelewa akili zao unakuta mtu ananunua pikipiki 3.5M halafu anampa mjinga mmoja mnyoa kiduku amletee elfu 10 Kwa siku ambayo unakuta mwingine ndio akiletewa anaila na familia yake hivi hii ni akili gani yaani unajua Kuna watu...
Je, wewe ni mjasiriamali na unajiuliza ni vipi utaongeza ubora wa bidhaa zako na kuongeza mauzo. Leo Digital Sprayer tunalo jibu la maswali yako. Tumekuletea huduma ya uchapaji(printing) na ubunifu(design) wa label za bidhaa za aina zote kwa gharama nafuu na ubora wa hali ya juu.
LABEL NI...
Eneo linauzwa lipo Goba njia nne barabara ya kuelekea Madale lina faa sana kwa ajili ya kujenga sheli ya mafuta au Kujenga maduka makubwa.
Eneo lina ukubwa wa sqm 4800 na ndani ya eneo kuna nyumba 1 imejengwa na fremu 2 za biashara
Bei yake ni Tsh 500 mil
Kwa mawasiliano zaidi piga 0656077998
Sio lazima wanafamilia / ndugu / wana ukoo wote wawe wamekusanyika sehemu moja, No !! Inaweza kuwa Mzazi, Dada, Kaka, Last born, Baba mkubwa na mtoto wake kila mtu ana biashara yake ila kuna baadhi ya mambo wanafanya na kufaidika pamoja
1. Ununuzi kwa Wingi
Kundi la Familia / Ndugu / Ukoo: Kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.