Huyo sio waifu ni mdau tu wa maendeleo.
Wakuu chochote mtachosema mimi nitakuwa mtekelezaji mwaminifu.
Mimi naliamini sana hili jukwaa halijawahi kuniangusha hata siku moja.
Mnasemaje wakuu
Mnanipa grini laiti au?
Habari Wadau,
Nina frame mjini Morogoro, eneo la Sabasaba, eneo zuri kabisa kwa biashara ya nguo (nafuu), viatu, jezi, nk, jumla na rejareja. Pia ni eneo lenye mnada siku ya Jumapili.
Tatizo sina mtaji wa kutosha kama wanaonizunguka… nakuita wewe mwenye mali, njoo tushirikiane, lete mali...
Wajumbe nimepitia mtaala mpya nikakuta masomo 6 ya lazima moja wapo ni somo business studies ikielezwa kwamba ni mbadala wa commerce. Somo hili linaambatana na hesabu, historia ya Tanzania 🇹🇿 , Kiswahili, Kiingereza na Jiografia. Masomo 6 ya lazima, kama business studies(commerce) zamani ni...
Wengi Tumekuwa Tukipambana Maishani Tukifikiria Kuwa Biashara Au Ajira Ndo Vinaweza Kututoa Maishani Mwetu Huku Tukisahau Au Kudharau Baadhi Ya Fursa Zilizopo Mbele Yetu
Nikuombe Kijana Mwenzangu Mwaka 2025 Jaribu Kufanya Ufugaji Wa Nguruwe Kama Sehemu Ya Fursa Namba 2 Ukiacha Hicho...
Hapa ushauri unahitajika maana nimeshauri mpaka nimechoka.
Kuna binti kaja kuniomba ushauri kuna biashara anatamani kufungua ila wifi yake yaani mke wa kaka yake anatamani kufanya naye partnership.
Watu wenye uzoefu na biashara za kufanya na ndugu hili swala mnaweza kushauri vipi.
Wakuu mke wangu alikua muuza mitumba sasa ile biashara huwa wananunua yale mabando ya nguo na huwa linafungashwa mchanganyiko wa nguo tofauti
Sasa kwa mara kadhaa kila alipokuwa akifungua ili achague nguo za kufanya usafi ili aanze kuuza huwa alikutana na taka nyingi sana za matambara...
Wabunge WENGI WAKISTAAFU
WANAPATA ‘STROKE’ - DKT. MSUKUMA
Ijumaa Ya Leo Ndani Ya Kipindi Cha JANA na LEO, Dr Joseph Kasheku Musukuma MBUNGE wa GEITA amesema hata suala ka kufeli kwa mradi wa Mwendokasi ni kutokana na kuwaamini Wasomi
Wadau nataka taabya mbele kubwa ya spacio new model upande wa kushoto,bampa la mbele zima,side mirrow kushoto, kioo cha mbele na kijioo kile kidogo cha kushoto.
KAMA UKO UNAWEZA PATA NITAFUTE NIKUPATIE PESA
Wakati changamoto za uchumi duniani zikiendelea kuonekana, na wanasiasa wa mrengo wa kulia katika nchi za magharibi wakiendelea na hata kutamka maneno mbalimbali yenye viashiria vya kutatiza biashara huria duniani, takwimu zilizotolewa na Jarida la Guancha la China, zinaonesha kuwa biashara...
Je, inawezekana kuanzisha na kuendesha biashara ya maudhui mtandaoni kama blogging au YouTube kama kina Millard Ayo, bila ada za awali (license fee) ? Kama vile mambo ya lecense za TCRA sijui BRELA, then nikaja kulipa baadae
Ikiwa kuna gharama, ni zipi zinaweza kulipwa baadaye baada ya kupata...
Je, inawezekana kuanzisha na kuendesha biashara ya maudhui mtandaoni kama blogging au YouTube kama kina Millard Ayo, bila ada za awali (license fee) ? Kama vile mambo ya lecense za TCRA sijui BRELA, then nikaja kulipa baadae
Ikiwa kuna gharama, ni zipi zinaweza kulipwa baadaye baada ya kupata...
Habari.
Biashara ya saluni ya kunyoa na kupunguza nywele utaratibu wa kulipia mapato ya serikali ukoje?
Naomba ufafanuzi nisije kuyatimba wakati mwaka bado bikra huu.
Kwa kasi ya ujenzi wa barabara za mwendokas kuna root zitaenda kufa au kususuasua
route za
Bunju - Ubungo.
Bunju - Makubusho
Goms - Kariakoo
Mbagala - Kariakoo.
Hizi routes mapato /hesabu ya boss itapungua by half yani 50%.
Ni vyema kuanza kuinvest kwenye sector nyingine.
Haya nimetulia sasa niwaambie yaliyonikuta kwenye biashara ya daladala🤣basi baada yakuona dereva na konda wake wananizingua sikuhiyo nikaamua niingie mzigoni mwenyewe nikae mlangoni nikusanye hela nione mpaka jion gari itakufa nini au tutapata shilingi ngap ✍️
Jioni dereva kaleta gari...
Wakuu habari
Kuna viwanja vitatu Mzee kanipa,
Kimoja kipo Mlandizi ndani ndani huko porini, kama unaenda bagamoyo
Kingine kipo ubungo external
Cha mwisho kipo kimara mwisho
Na Sina mpango wa kuuza hata kimoja , ila mpango mkubwa ni kuanza biashara ya Real Estate
Sasa, swali la msingi...
Kama unahitaji kusajili kampuni au jina la biashara
Kubadili jina la biashara au kampuni n.k.
Nitumie ujumbe whatssap au piga simu 0765991551.
Nikufanyie mchakato hadi kazi yako ikamilike.
Hivi niseme kutafuta vyanzo vya mapato katika msikiti na kwanini ni wao tu mbona Makanisa katoliki hakunaga utaratibu huu?
Na wale wazee wanakuwepo pale Kkoo na bango la msaada wa ujenzi Msikiti huwa ni kweli au imani anakaa juan kuanzia asubuhi hadi jion au ni imani imemtuma?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.