biashara

  1. Introver

    Je Biashara ya pocket option Trading ni halali kwa Tanzania?

    Habari zenu wakuu. Nilikua na mpango wa kuanza biashara ya pocket option trading. Ila kabla ya kuanza ningependa kujua kama sheria za hapa Tanzania zinaruhusu
  2. COARTEM

    Shughuli zote za Kiserikali zifanyike Dodoma, Dar Es Salaam iachwe kwa mambo ya Biashara tu

    Binafsi nimuombe Rais Samia S. Hassan aongeze kasi ya kuijenga Dodoma ili shughuli zote za kiserikali including zake mwenyewe zifanyikie Dodoma. Dar es Salaam tuiache ipanuke kibiashara zaidi. Mikutano yote ya kitaifa na kimataifa ya kiserikali ifanyikie Dodoma. Marais wakija Tanzania waende...
  3. Rajab20190423

    Biashara ya madini ya shaba

    Habari wadau Kuna mtu yoyote qnaejua biashara ya madini ya shaba kutoka zambia na kusqfieisha kwenye nji nyingine je utaratibu wake up upoje mwenye uelewa ndugu zangu nahitaji msaada
  4. BabaMorgan

    Mke wangu ni mpambanaji anafanya biashara mara nyingi anasafiri mikoani kufuata mzigo.

    Kama mwanaume inabidi ujisikie aibu kutoa statement ya namna hiyo sisi graduate wa Cuba tunakuchora na kukuonea huruma jinsi mali yako inavyotafuna bila huruma na wafuatao. 1. Supplier 2. Dalali anayetafuta mzigo 3. Transporter 4. Dalali anayetafuta wateja 5. Mteja Kila trip ambayo mkeo...
  5. M

    Natafuta mshirika wa kuanzisha biashara Mwanza pekee

    Husika na kichwa hapo juu Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 40 ni mfanyanya biashara hapa mwanza, nahitaji mtu mwenye mtaji wa kuanziasha biashara ya pamoja. Mimi tayar nachumba cha duka natafuta mtu mwenye Nia ya pamoja, kutokana na chumba kilipo kinafaa sana kama Kuprint tishet mabango...
  6. W

    Watanzania wengi ni waoga wa maisha, wanamshangaa Mbowe kukataa ajira benki kuu, una baba tajiri wa kukupa mtaji mrefu na connections, bado uajiriwe ?

    Watanzania wengi sana huwa wanashangaa mtu akikataa ajira hata kama kwao pesa zipo, hii ni mentality ya uoga wa maisha, Yani uwe na baba mfanyabiashara aliefanikiwa, connections kama zote, anaweza kukupa mtaji mrefu bila kujiuliza mara mbili, uende kuhangaika kwenye ajira za mshahara wa milioni...
  7. W

    Supplier wangu Muhindi aliekuwa na deni la Bilioni 80 kalimaliza, Nimekaa na kutafakari hawa watu wapo serious na biashara, bado tuna safari ndefu

    Ni kijana tu yupo kwenye 30s flani za ukingoni imeenda sana ni 40, kwa jinsi alivyo kimuonekano, gari anazotembelea, mavazi, n.k. waweza kumchukulia poa sana ila ni supplier mikoani + exports nje ya nchi, Nikapewa data na rafiki yupo sekta ya banking akanijuza kijana alikuwa anadaiwa bilioni...
  8. M

    Nimepata wazo la kufanya Biashara ya mazao ya chakula (mchele,mahindi,unga,maharage)

    Habari wana jamii Kwa jina naitwa Juma Issa Mikidadi, ni kijana mwenye shahuku ya maendeleo . Nimepata wazo la kufanya biashara ya mazao ya chakula yaan mchele, maharage , mahindi na unga. Eneo ni Mtwara ...
  9. Damaso

    Tanzania Kuanzisha Biashara ya wa Bangi kwa Nchi Zilizohalalisha Matumizi Yake

    Bangi ni moja ya mimea ambayo imekuwa ikizua mijadala mingi duniani kutokana na matumizi yake katika maeneo mbalimbali kama vile tiba, burudani, na hata biashara. Angalizo! Mawazo ya mwandishi yanaweza kuleta fikra mbaya kwa baadhi ya watu! Hata hivyo, hali ya matumizi ya bangi inatofautiana...
  10. W

    Vijana mnaolalamika mapenzi mnazijua stress za mikopo ya biashara ?

    Nyumba ya familia umeiweka bondi upewe mkopo lakini ukiangalia biashara upepo umebadilika yani hutoboi kwenye marejesho, hizo stress hata unywe pombe hazituliziki Ndugu wanaona una pesa duka limenawiri bila kujali ni mkopo, Ni kama vile inaanzishwa ligi ya kukutupia matatizo yao halafu ukikataa...
  11. stabilityman

    Uzi wa kutaja Ni biashara gani umesikia mtu katajirika nayo siku za hv karibuni?

    Habari Kiukweli tunatoka sehem mbali mbali tunakutana na watu mbali mbali.Naomba toa fursa kwa waTz wenzio biashara gan umesikia au unamjua mtu imemtajirisha cku za karibu hz
  12. B

    Biashara ya Dhahabu

    Kwa wadau wote wa biashara ya dhahabu, hasa wale waliobobea katika ununuzi na uuzaji wa dhahabu kwa wingi (Broker na Dealer). Nimekuwa nikifikiria kuanzisha biashara ya ununuzi wa dhahabu hapa Tanzania, na ningependa kusikia ushauri wenu. Nina bajeti ya takriban shilingi milioni 400 hadi 500 za...
  13. S

    Wapi Mchengerwa ma-Headmaster wanafanya biashara za kuuza nafasi za form one 2025 kwa malipo ya mpaka Sh. Milioni moja

    Mbona naona km serikali imesimama kila mwenye kanafasi anajifanyia anavyoona inamfaa. Wiki hii wameripoti wanafunzi wanajiunga na masomo ya sekondari kidato cha kwanza 2025. Kuna shule za serikali ambazo zina ufaulu mzuri walimu wakuu(Headmasters) wanauza nafasi za kujiunga na shule hizo kwa...
  14. Shuku_

    Wabongo wanaofanya biashara online wengi wao wanafanya kosa hili

    Habari zenu wakuu 👋🏽 👋🏽 1 kwa 1 kwenye mada yangu kama vile kichwa kinavyosema. Najua una HAMU ya kujua wabongo wengi hufanya kosa gani ktk biashara huko ONLINE. Binafsi, nmepita katika mitandao mingi ikiwemo x (Instagram) na Facebook. Ktk mitandao hiyo wabongo wengo wamekuwa wakifanya...
  15. youngkato

    Jinsi ya Kupata Pesa Online kwa Kuuza Nguo au Kufanya Biashara ya Nguo

    Biashara ya nguo ni moja ya njia maarufu na rahisi ya kuanza kufanya biashara online. Katika makala hii, tutachambua jinsi unavyoweza kuanza kuuza nguo mtandaoni kwa kutumia mbinu rahisi na ambazo hazihitaji mtaji mkubwa sana. 1. Chagua Aina ya Nguo Unazotaka Kuuza Kabla ya kuanza, lazima uamue...
  16. nesty hustler

    Utambuzi kuhusu biashara ya vifaa vya umeme(electrical and electronics devices)

    Habari wapendwa, Kwa majina naitwa EMMANUEL NESTORY SAGINI, ni mzaliwa wa songea manispaa pia ni muhitimu wa elimu ya ufundi stadi katika fani ya umeme wa majumba na viwanda, ngazi ya tatu ya cheti level three(III) 2023. Lengo la kuandika makala hii ni kuhitaji kufahamu je ni vitu gani...
  17. Denis Gregory

    Biashara Biashara Tujuzane Hapaa

    Nauza Biashara Yangu ya Vipuri vya Pikipiki na Matairi Kwa sababu za kibinafsi, nimeamua kuuza biashara yangu ambayo imenishinda. Hii ni fursa nzuri kwa mtu mwenye nia ya kuwekeza kwenye biashara inayokua haraka. Maelezo ya Biashara: Aina ya Biashara: Duka la vipuri vya pikipiki na matairi...
  18. PAZIA 3

    Naomba kuijua biashara mtandaoni ya Gwac, nasikia watu wengi wamejiunga

    Habari za Leo? Jamani, nimeshirikishwa fursa na mtu mmoja, anasema, Kuna biashara mtandao inaitwa Governmentwide Acquisition Contract (GWAC). Watu wanawekeza pesa na ukishawekeza baada ya siku moja, unaanza kurudishiwa asilimia 10 ya pesa uliyowekeza kila siku mfululizo kwa mwaka mzima...
  19. E

    Nahitaji elimu kuhusu biashara

    WAkuu hivi naomba kuuliza kama una milioni 30 inatosha kuchukua mzigo china ila pesa hiyo hiyo ndio yakufanyia clearance bandarini na kupakia mzigo kutoka china kuleta hapa na kama inatosha ni biashara gani italipa
  20. Xinho De Roi

    Naombeni ushauri Kwa wanaofahamu vizuri Dodoma katika Biashara ya nafaka

    Habari ndugu zangu wa JF Nilikuwa naomba msaada wenu wa ushauri Kwa wanao kufahamu vizuri Dodoma na wanaofanya biashara mbali mbali Dodoma. Kwa Sasa nipo Morogoro lakini nataka nifanye biashara ya nafaka(mchele, mahindi, maharage, kunde ngano n.k) Dodoma na msaada wa location pia Kwa mkoa...
Back
Top Bottom