Habari nduguzangu.
Kuna hii mifuko inayotumika kubebea mahitaji mbalimbali ya nyumbani, ambayo rejareja huuzwa 200, 300 na 500.
Bei ya jumla inauzwaje?
Na je inakaa mingapi?
Inapatikana wapi kwa Dar es Salaam.
Nataka kuagiza nizungushe kwenye manuka kwa bei ya jumla jumla.
Ndugu Mwenyekiti, miaka 21 ya kuwa mwenyekiti ni mingi sana, isitoshe umeshafanya mengi mazuri kama Mwenyekiti na kwa sasa hatutarajia jipya lolote kutoka kwako bali tunatamani kukuona unastaafu kwa heshima na kuachia wengine waendeleze guruduma.
Pengine Mwenyekiti sasa utuambie CHADEMA kuna...
MAHALI; Mwanza mjini kati
UKUBWA: Fremu moja ila ukubwa kama wa fremu mbili pamoja na ubaraza mkuubwa
Biashara zinazofaa katika hii fremu ni zile kubwa kubwa kwa sababu frem ni kubwa na ina ubaraza mkubwa....mfano vifaa vya ujenzi, restaurant, salon kubwa, mapambo ya ndani, na nyinginezo...
Habari za leo wadau wote wa Jamii Forum
Duka letu maarufu kwa biashara ya vitenge lililoko soko kuu kasulu mjini, kigoma, Tanzania Tuna furaha kuwatangazia kuwa tunazo aina zote za vitenge vikiwemo vitenge kutoka Tanzania, Kongo, Nigeria, Ghana na China (mfano Wax aina zote, Java za Kongo na...
Ni wajinga ndio wanaweza shangilia huu ujinga, haiwezekani kijengwe the so called kituo cha biashara na asilimia 100 ya products hapo ni kutoka nje na tunaona ni sawa kabisa tena tunashangilia na kushangilia kabisa kwamba sasa maisha yatakuwa rahisi sana.
Ni sawa na Kariakoo pale na hivyo...
Awali ya yote, Nashukuru Sana kwa kutenga muda wako na kupitia Uzi huu.
Leo nimepata wazo la biashara linalohusiana na kutoa huduma kwa watu mbalimbali hasa wa mikoani na wale wote ambao wapo nje ya jiji la Dar es salaam.
Nimepitia Nyuzi nyingi na mitandao mingi ya kijamii kwa muda mrefu...
Nimekutana na Winga karikoo anatema ung'eng'e umenyooka. Baada ya kuzoeana nae. Akanipatia CV yake nimsaidie kusaka kazi.
Kucheki CV ya winga huyo wa karikoo naona primary kasoma St marys, O level kasoma Shaban robert, A level kasoma Feza. Chuo pekee ndio kasoma chuo cha kayumba Udsm...
Kuna mtu anaomba ushauri nikaona niwashirikishe wanafamilia wa jf,
Ana million moja na nusu anataka kununua bodaboda used namba d ampe mtu ampe elfu nane kwa siku au afungue saluni za mtaani kinyozi ampe elfu saba kwa siku
Wazoefu wa biashara izo toeni ushauri
Marekani ni Taifa lenye dhuluma ya Kibiashara tangu enzi za Biashara ya utumwa, haikuishia hapo bado linaendeleza dhuluma hiyo kwa TikTok
Hili Taifa la Marekani linanuka laana ya dhuluma waliotendewa mababu zetu kipindi cha biashara ya utumwa
Taifa la Marekani limekuwa ni Taifa lisilotaka...
INTRODUCTION:-
Wananchi salamaa?
Wale wanayanga wenzangu tusijali TUTAVUKA BILA CALUCULATOR zao..!!!
BODY:-
Ukiachana na utumishi wa umma, Mimi bwana ni mfanyabiashara ninaye miliki kampuni inayofanya biashara aina tatu tofauti.
Ashukuriwe Mungu mauzo kwa siku hayawi chini ya Mil 2 kama siku...
Habari wana Jamii forums? Naomba kujua zaidi kuhusu biashara ambayo naweza kuanza kwa mtaji mdogo na ikakua na kufungua fursa zingine za kibiashara. Binafsi nimekuwa nikiwaza sana kuhusu stationery yenye electronics, car wash na grocery. Naombeni mawazo yenu hapa wakuu
biashara
forums
fursa
habari
jamii
jamii forums
kibiashara
kuanza
kufungua
kuhusu
kujua
mdogo
mtaji
mtaji mdogo
naomba
naweza
ushauri
ushauri wa biashara
Wanaukumbi.
Halafu mtu anachukua form kukupinga Eti ni Demokrasia,hiyo siyo Demokrasia huo ni uchimbi kabisa, Lissu katumwa.
---
“Nimetoka mbali na Lissu. Nilikuwa ninamlipia Lissu tiketi za ndege ninamgharamia safari zake kwenda Tarime kuwatetea wachimbaji Wadogo. Wakati huo hakua hata...
anafanya
biashara
chadema
gari
hali
hii
jamaa
kwenda
lissu
mbali
mkubwa
ndege
nyumba
radhi
safari
tarime
tiketi
tiketi za ndege
uwezekano
wachimbaji
wachimbaji wadogo
wadogo
war
zake
Wakuu, Tundu Lissu alipofika Uwanja wa ndege, amehoji chanzo cha fedha kwa baadhi ya watu.
Tundu Lissu amesema, "Ni muhimu tukajua, katika Mazingira ya Tanzania halisi hii, haya Mamilioni haya yanatokea wapi na ni salama kiasi gani? Kama mtu ana biashara Nchini au Nje ya Nchi, kuna biashara...
Ubinafsi wa wabantu umekita mizizi mpaka kwenye familia, Baba kapambana kuwa na biashara iliyofanikiwa lakini hashirikishi watoto, akifariki familia haijui lolote kuhusu biashara, umasikini unaanza kuinyemelea familia.
Nimeicheki hii interview ya kijana wa miaka 25, Abdullah Mahmoud
Ni boss...
Ajira kwa Watoto limekuwa tatizo sugu sana hapa nchini, tukiachana na wadada wa kazi ambao asilimia kubwa wanakuwa ni wale ambao wameacha shule au ndiyo wametoka kuhitimu elimu ya Msingi, kuna hawa Wafanyabiashara wanaomiliki maduka kwenye masoko mbalimbali hapa nchini wamekuwa na utaratibu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.